International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kulingana na shirika la habari la Kan (shirika la umma la Israel) na vyanzo vya Jordan vilivyo karibu na wafanya maamuzi, Mfalme Abdullah alikataa ombi la hivi karibuni la Netanyahu baada ya Amman...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
Utawala wa Trump unalenga kuhakikisha kuwa nchi washirika ambazo ni tajiri na zinafaidika moja kwa moja na usalama wa njia za biashara na nishati, zinachukua wajibu wa moja kwa moja wa kugharamia...
2 Reactions
9 Replies
297 Views
Bunge la Knesset la Israeli lapigia Kura kuidhinisha Adhabu ya Kifo kwa Magaidi Licha ya wasiwasi mkubwa kutoka kwa maafisa wa usalama na ukosoaji mkali kutoka Ulaya, Knesset jioni ya leo...
0 Reactions
0 Replies
103 Views
Muhoozi Kainerugaba, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Uganda, alisema kuwa jeshi lake linaweza kuiteka Tehran ndani ya wiki mbili — hata akapendekeza kwamba brigade moja tu ingetosha kwa operesheni...
4 Reactions
16 Replies
392 Views
Maelezo ya Marekani kushindwa katika vita ilivyoingizwa mkenge na Israel yametolewa na wabunge kadhaa wa majimbo tofatuti ya nchi hiyo Katika hali hiyo Marekani chini ya raisi Trump imelazimisha...
7 Reactions
30 Replies
777 Views
Mkazi mmoja wa Maryland nchini Marekani anadaiwa kusubiri hadi wafanyakazi wahamiaji walipowasili kuanza ukarabati wa nyumba yake kabla ya kuwapigia simu maafisa wa Uhamiaji na Forodha (ICE)...
1 Reactions
1 Replies
343 Views
Jeshi la Iran limekanusha taarifa za kuwepo kwa mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Iran, na kuibua mashaka kuhusu mpango wa amani wenye vipengele 15 unaodaiwa kuwasilishwa na Ikulu ya...
7 Reactions
33 Replies
959 Views
Makamanda wanne wa IRGC wauawa huko Lebanon walijifanya waandishi wa habari kumbe ni magaidi kutoka Iran. Walikuwa huko kuwasaidia magaidi wa Hezboullah.
2 Reactions
20 Replies
349 Views
Niaje waungwana Baada ya wazungu kufanikiwa kuwaweka watu wao pale mashariki ya kati (Palestina + Israel), Plan ya pili ilikuwa ni kuwasaidia watu hao kujitanua kutoka nchi moja kwenda nchi...
44 Reactions
304 Replies
14K Views
Wadau hizo ni tetesi kwa mujibu wa vyanzo kadhaa tuvute subira tuone hatima. Mhusika ni mhafidhina mkubwa aliyeamua kubadili gia angani baada ya kuona fursa Mchakato umesalia mdogo kabla ya...
1 Reactions
5 Replies
273 Views
Wapiganaji wa Hezbollah wameonesha uwezo mkubwa kwenye uwanja wa vita. KiryatShmona imekwenda na maji Hezbollah takes the town of Kiryat Shmona in ISRAEL This is the first time in its history...
3 Reactions
10 Replies
349 Views
Katika Hali iliyotarajiwa ya kulipa kisasi baada ya marekani na Israel kushambulia viwanda vya chuma huko Iran. Muda mfupi uliopita Iran imefanya shambulizi na kulenga eneo la viwanda kusini mwa...
10 Reactions
50 Replies
1K Views
Katika uvamizi uliolengwa na vikosi vya Shayetet 13, vinavyofanya kazi kama sehemu ya kikosi kazi cha Givati Brigade, mamia ya silaha zapatikana ndani ya shule katika kijiji kusini mwa Lebanon...
1 Reactions
13 Replies
391 Views
Iran imethibitisha kifo cha kamanda wa Jeshi la Wanamapinduzi wa Kiislamu (IRGC) kitengo cha wanamaji, Alireza Tangsiri. Katika taarifa iliyotolewa na IRGC na kurushwa na shirika la habari la...
2 Reactions
2 Replies
189 Views
Wanajeshi wa IDF wamefika Mto Litani nchini Lebanon kama sehemu ya kampeni inayoendelea dhidi ya Hezbollah. Katika baadhi ya maeneo, wanajeshi walisonga mbele kilomita nane hadi kumi ndani kabisa...
2 Reactions
16 Replies
236 Views
04 February 2024 Dakar, Senegal RAIS WA SENEGAL AFANYA MAPINDUZI YA 'KIKATIBA' KWA KUFUTA UCHAGUZI MKUU Rais wa nchi tulivu iliyokwepa Mapinduzi ya kijeshi ya Africa Magharibi ya Senegal imeigia...
6 Reactions
55 Replies
4K Views
Public hearings on the proposed Constitution of Zimbabwe Amendment No. 3 Bill have commenced across Zimbabwe, opening a critical phase in what is shaping up to be one of the most far-reaching...
0 Reactions
0 Replies
237 Views
Ndoto ya “Israel Kubwa”: Kutoka Gaza Hadi Nchi Nne za Kiarabu Kwa muda mrefu, baadhi ya watu walidhani kuwa uvamizi wa Israel dhidi ya Gaza ulikuwa ni operesheni ya kijeshi yenye malengo ya muda...
1 Reactions
10 Replies
791 Views
Wadukuzi wa kundi lijulikanalo kwa jina la "Handala Hack Team" wamefungua akaunit binafsi ya barua pepe ya mkurugenzi wa FBI bwana Kash Patel na kuianika barua pepe yake pamoja na picha zake...
6 Reactions
29 Replies
943 Views
Back
Top Bottom