International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Jumanne, Machi 31, 2026, mnamo saa 3:23 usiku (9:23 PM) “Ndugu zangu, wananchi wa Israel, katika mkesha wa Sikukuu ya Uhuru, Israel iko imara kuliko wakati wowote. Dunia nzima inasikia sauti yetu...
3 Reactions
7 Replies
230 Views
Benjamin Netanyahu katika taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu Iran, Hapa kuna mambo MUHIMU ZAIDI: -"Natumai naweza kukuambia kuhusu miungano muhimu hivi karibuni". -"Utawala wa Iran unatarajiwa...
4 Reactions
8 Replies
303 Views
Mapema wiki hii (Jumatano), magaidi wa Hezbollah waliokuwa na silaha waliwakaribia wanajeshi wa IDF wa Kitengo cha 91 na wakaangamizwa. Zaidi ya hayo, wanajeshi walipata silaha nyingi, ikiwa ni...
3 Reactions
4 Replies
188 Views
Siku mbili zilizopita, gaidi wa Hezbollah Abbas Awala alionekana katika moja ya video za Hezbollah akiendesha kifaa cha kurusha roketi huku akiwa amevaa sanda ya mazishi, tayari kwa kifo chake...
3 Reactions
22 Replies
465 Views
Anaandika Gideon Rachman (Myahudi), Mhariri mkuu wa masuala ya nje wa jarida kubwa duniani, The Financial Times kwamba: Endapo malengo ya Marekani hayatatimia, basi hii vita ikiisha nchi ya Iran...
17 Reactions
24 Replies
935 Views
Iran imetangaza kuanza kushambulia makampuni binafsi ya raia wa Marekani ambayo yana ofsi ukanda wa mashariki ya kati,kampuni hizi ni kama Microsoft, Google, Nvidia, Tesla, n.k. Wameshindwa...
7 Reactions
64 Replies
1K Views
Jenerali Mohammad Ali Fath Alizadeh kamanda wa kitengo maalum cha vikosi vya Al-Fatehin wa vikosi vya Basij, aliuawa katika shambulio la Israeli. Alizadeh pia alikuwa naibu kamanda wa vikosi vya...
2 Reactions
6 Replies
231 Views
Habari za wakati huu Wana-JF, Kufuatia mabadiliko ya bei za nishati duniani, Serikali ya Zambia imechukua hatua za dharura kunusuru uchumi wake. Kuanzia tarehe 1 Aprili, 2026, serikali hiyo...
1 Reactions
1 Replies
335 Views
Waziri wa Ulinzi wa Israeli Katz: amesema; "Wakazi 600,000 wa kusini mwa Lebanon ambao wamehamishwa hawataruhusiwa kurudi hadi usalama wa wakazi wa kaskazini mwa Israeli utakapohakikishwa. Nyumba...
5 Reactions
36 Replies
634 Views
Mjumbe hauwawi, General James Mattis amekiri kwamba Marekani ina nguvu sana kijeshi. Huu ni ukweli usipingika. Lakini kasema kulipua shabaha zaidi ya 15,000 bila kutimiza malengo ya vita au...
21 Reactions
54 Replies
1K Views
  • Redirect
Serikali ya Ghana imepiga hatua kubwa katika teknolojia baada ya kuunganisha mfumo wa pochi ya kielektroniki (Digital Wallet) kwenye Kitambulisho cha Taifa (Ghana Card), hatua inayomwezesha...
2 Reactions
Replies
Views
Maandamano makubwa dhidi ya utawala wa Trump yamefanyika katika miji mbalimbali kote Marekani, yakionyesha duru ya tatu ya maandamano ya “No Kings” ambayo hapo awali yalivutia mamilioni ya watu...
1 Reactions
10 Replies
432 Views
Public hearings on Zimbabwe’s Constitution Amendment Bill No. 3 (CAB3), which proposes fundamental changes to presidential terms and electoral processes, have been marred by violence...
0 Reactions
0 Replies
139 Views
‼️WAZIRI MKUU NETANYAHU AAHIDI USHIRIKIANO WA MOJA KWA MOJA NA SAUDI ARABIA NA NCHI ZINGINE ZA KIARABU!!!!! Netanyahu: Mipango ya baada ya vita inajumuisha ushirikiano wa nishati na kiuchumi na...
0 Reactions
25 Replies
416 Views
https://youtu.be/aVbfiVTauiM?si=abCE4bBfVPTI561e Ujumbe ndio huo swali hapa Atafanya kitu gani akingia vita hahaha ikiwa USA na Israel wamemshindwa Iran iwe Saud Arabia. Walicho kipika USA na...
4 Reactions
26 Replies
752 Views
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa anafikiria kwa kina kuiondoa Marekani kutoka kwa Muungano wa NATO baada ya washirika wa muungano huo kushindwa kuunga mkono hatua ya kijeshi za Marekani...
6 Reactions
12 Replies
471 Views
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba ameeleza namna Serikali kupitia wizara zake kuandaa mikakati itakayowezesha wajasiriamali kunufaika na Mashindano ya AFCON...
0 Reactions
0 Replies
108 Views
Serikali ya Namibia kupitia Waziri wa Nishati na Madini, Modestus Amutse wamepunguza kodi ya Mafuta kwa asilimia 50 ili Makampuni yasipandishe bei ambapo itaumiza Wananchi, Amutse ametoa tangazo...
3 Reactions
9 Replies
265 Views
Vyombo vya habari nchini Israel, vikinukuu afisa mmoja wa serikali, vimeripoti kuwa Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), Alireza Tangsiri ambaye...
3 Reactions
40 Replies
880 Views
Biden alianza kwa kuizua Russia kutumia Swift payment system ilikua ni sawa na Marekani kuikalia kisu Sasa iv Iran kaikataa Dola kwenye biashara yake ya mafuta anataka Yuan hapo Marekani imekalia...
0 Reactions
0 Replies
91 Views
Back
Top Bottom