Hali ya taharuki imetanda katika Chuo cha Tiba cha Sri Siddhartha (SSIMS) baada ya mzozo mkali kuibuka darasani kati ya Profesa mmoja aliyetambulika kwa jina la Mohammed na mwanafunzi wake wa...
Ujumbe ndio huo kila meli itakayo onekana ikielekea Israel itashammbuliwa
https://youtu.be/SkIXpVcO5Gc?si=ee2rJ3HiqrHj5ccW
Pia tazameni Israel target zake siku zote civilian afu yeye akipigwa...
Polisi nchini Nepal wamemkamata aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo KP Sharma Oli na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo Ramesh Lekhak kutokana na tuhuma zinazowakabili za kuhusika...
Vyanzo vya upinzani vya Irani vinaripoti:
Ayatollah Mohammad Taqi Jannati, kaka yake Ayatollah Ahmad Jannati, aliyekuwa mshirika wa karibu wa Kiongozi Mkuu wa Iran Ali Khamenei, ameangamizwa...
Wizara ya Fedha ya Marekani imetangaza kuwa Donald Trump atakuwa Rais wa kwanza wa Marekani madarakani kuwa na saini yake kwenye noti za nchi hiyo.
Saini ya Trump itaonekana kando ya saini ya...
Niaje waungwana
Leo ndio nimeuona ujasiri wa Netanyahu kupitia picha hii, jamaa hana hofu yoyote ya mapambano baada ya kuvaa gwanda na kuliongoza jeshi lake katika vita yao na Iran.
Aisee kwa...
Viongozi wa serikali nchini Iran pamoja na wakuu wa vikosi vya usalama Iran wanavaa baibui vazi la kiislamu kwa wanawake kujificha kuhofia kuuwawa na Mossad Israel.
Netanyahu kaleta hofu Iran...
Chemical Ally alikuwa bingwa wa propaganda wa Iraq miaka hio .
Wakati Iraq inabondwa yeye anasema tunakaribia kuzimaliza Jeshi la Marekani
Sio rahisi kikosi Cha makomandoo kiwe sehemu mmoja...
Rais wa Ujerumani, Frank Walter Steinmeier, ameonya kuwa kurejea kwa Donald Trump Madarakani kwa muhula wa pili kumezua mpasuko mkubwa katika Uhusiano wa Kimataifa, hususan kati ya Ulaya na...
Mahakama ya Katiba ya Kongo-Brazzaville imetangaza kuwa Rais Denis Sassou Nguesso, mwenye umri wa miaka 82, kuwa ameshinda uchaguzi kwa asilimia 95, na hivyo kuendelea kuongoza nchi hiyo kwa...
Mahakama ya Katiba ya Kongo-Brazzaville imetangaza kuwa Rais Denis Sassou Nguesso, mwenye umri wa miaka 82, kuwa ameshinda uchaguzi kwa asilimia 95, na hivyo kuendelea kuongoza nchi hiyo kwa...
The Government of Zimbabwe has confirmed that 15 Zimbabwean nationals have died after being trafficked into foreign combat roles in the ongoing Russia-Ukraine War, while 66 others remain actively...
Marekebisho ya 22 ya Katiba ya Marekani yaliundwa kuzuia jambo hili. Sasa, mbunge mmoja anataka kuyabadilisha.
Mbunge wa chama cha Republican, Andy Ogles kutoka jimbo la Tennessee, amewasilisha...
BENJAMIN NETANYAHU AKITOA HOTUBA BAADA YA ALI LARIJANI KUUAWA NA JESHI LA ISRAELI
March 17, 2026
Tafasiri ya hotuba yake.
Kinachotokea wakati wa vita ni kile kinachoitwa uthabiti (resolve) na...
Imeshakuwa kawaida kusikia viongozi wakubwa sana wa Iran wakiuawa tena kwa precission kubwa sana.
Ni kwamba ule ulinzi wanaojisifiaga wanao ni maneno tu au ?
Ali Khamenei — Kiongozi Mkuu wa...
Toa onyo
Toa muda
Ongeza muda kidogo
Adui acheke
Halafu piga
Hiyo ndiyo style ya Trump anapotaka kufanya maamuzi mazito.
Venezuela chini ya Nicolás Maduro walipewa nafasi. Trump akasema: ondoka...
IRANI ameshafanya makosa makubwa sana kufanya majaribio ya makombora balestiki ya (intermediate-range ballistic missiles)
Viongozi wa Irani hawatumii akili na wana mihemuko sana wanakurupuka...
Taarifa ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu:
"Tunaendelea kushambulia kwa nguvu malengo ya utawala wa kigaidi wa Iran.
Jana usiku, tulimwangamiza Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Walinzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.