International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Meya wa Hamtramck Michigan Amer Ghalib, alipata wadhifa huo wa Umeya, mnamo 2021 baada ya kumkosoa mtangulizi wake kwa kupeperusha bendera ya LGBTQ nje ya ukumbi wa jiji. Baraza la jiji la...
18 Reactions
131 Replies
6K Views
Kampuni ya Umeme ya Tokyo ya Japan hivi karibuni imeanza kazi ya majaribio ya mitambo ya kupeleka maji machafu ya nyuklia baharini. Baada ya kumalizika kwa majaribio hayo, Japan inatarajia kuanza...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kyiv haipigiki, ptriot ipo imara.... Six hypersonic Russian missiles were shot down over Kyiv on Friday, the Ukrainian air force has claimed. The Kinzhal missiles were accompanied by a further...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Mwanamke ambaye aliishi nje ya nchi kwa miaka 10 amejizawadi kwa kujijenga nyumba, na aliianika picha za jengo hilo la kifahari kwenye mtandaoni. Mwanamke huyo aliyetambuliwa kwenye TikTok kama...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Hawa watoto wa Obama sijawaona tena kwenye mitandao tangu baba yao astafu urais wa marekani. Hata account yoyote ya mitandao ya kijamii hawana, shida nini? Ajabu kuliko yote sijawahi ona clip...
4 Reactions
106 Replies
8K Views
Mwanadiplomasia mkuu wa China amesema chanzo kikuu cha msuguano katika uhusiano kati ya China na Marekani ni "mtazamo mbaya" wa Marekani kuhusu nchi yake. Wang Yi alimwambia Blinken "hakuna...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bw. Antony Blinken anafanya ziara nchini China, ikiwa ni ziara ya kwanza ya ofisa mwandamizi wa serikali ya Marekani nchini China tangu Rais Joe Biden aingie...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
Rais Volodymyr Zelensky ametoa maoni yake kuhusu matamshi ya Vladimir Putin kwamba jeshi la Urusi linadaiwa kuharibu mifumo mitano ya ulinzi wa anga ya Patriot ya Ukraine iliyotolewa kwa Kiev na...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Kuanzia Februari hadi Juni, zaidi ya miezi minne baada ya "tukio la puto", Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken hatimaye aliwasili Beijing asubuhi ya tarehe 18 na kufanya ziara ya...
2 Reactions
1 Replies
624 Views
Urusi walisifia sana kinzhal kwamba inapiga bila kuonekana, kwenye hii video Putin aliisifia kama ndio kila kitu, yaani inakwenda kwa hypersonic speed, sasa Marekani kaipa Ukraine patriot chache...
9 Reactions
5 Replies
1K Views
Supapawa aendela kushindwa kuzuia mawimbi na mapigo ya wanajeshi wa Ukraine, aachia eneo la Piatykhatky..... Ukraine has captured the village of Piatykhatky on the western edge of the...
9 Reactions
19 Replies
2K Views
Usitishaji vita wa saa 72 kati ya majenerali wanaopigana nchini Sudan ulianza Jumapili ili kuruhusu kufikishwa kwa misaada inayohitajika sana nchini humo. Jeshi linaloongozwa na Abdel Fattah...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Mungu fundi kwa kweli jiji la stocklohom uswedish jua huzama majira ya saa nne usiku kwa msimu huu. Maisha yanakuwa si ya kawaida watu wanatembea kama hawatembei. Watu wanalala kama hawalali...
26 Reactions
79 Replies
7K Views
Rais Zelensky wa Ukraine alipigia debe sana kupewa vifaru vya ujerumani vinavyoaminika sana ulaya. Ujerumani ilikuwa haitaki kutoa vifaru vyake. Lakini mwisho wa siku ujerumani ikakubali kuipa...
10 Reactions
57 Replies
7K Views
Treasury Secretary Janet L. Yellen said on Tuesday that it would be a mistake for the United States to try to “decouple” from China and called for deepening economic ties between the world’s two...
5 Reactions
143 Replies
9K Views
Husemwa hata katika jambo baya kunaweza kupatikana au kuibuka jambo zuri ndani yake. Kwa usemi huo basi hata katika vita vinavyoendelea kati ya Urusi na Ukraine huenda kuna mambo mazuri pia...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Jiji la Bukavu ni Jiji la 4 kwa maendeleo La kwanza ni Kinshasa La pili Lubumbashi La tatu Goma Na la Bukavu
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Ladies and Gentlemens, Mawaziri wa Ulinzi Jumuiya ya kujihami NATO Jana wameshindwa kuafikiana na kua na msimamo wa pamoja juu ya hatua muafaka za kijeshi zinazokusidiwa kuchukuliwa dhidi...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Ni mafanikio makubwa miamba hii ya Ukrain ambayo kabla Urusi walipovamiwa Jeshi la Ukraine lilipewa masaa kusarenda waweke silaha chini.,
4 Reactions
7 Replies
867 Views
Ombi la Misri la kujiunga na BRICS; ishara ya kupunguza uhusiano wake na nchi za Magharibi --- Ikiwa ni katika mwenendo wa nchi za dunia kuvutiwa na miungano pamoja na mashirika yasiyofungamana...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…