International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Marekani na washirika wake hawana nafasi kanda ya Asia Magharibi Jun 16, 2023 11:40 UTC Imamu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran ametaja maendeleo ya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Akihutubia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC), Waziri wa Mambo ya Ndani Nchini #Mali, Abdoulaye Diop amevishutumu Vikosi vya kulinda amani chini ya #UN (MINUSMA) kuwa chanzo cha matatizo...
0 Reactions
1 Replies
749 Views
Baada ya Rais Biden kuapa kuweka Vikwazo vya kiuchumi kwa Saudi Arabia kwa kufyeka uzalishaji wa mafuta mwaka jana, Mohammed bin Salman alitishia kwa faragha kuvunja uhusiano na kulipiza kisasi...
12 Reactions
195 Replies
10K Views
Ifuatayo ni orodha ya nchi 10 za kiafrika zenye dola millionaire wengi. =============== Top 10 countries in Africa with the highest number of millionaires in 2023 Business Insider Africa...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Vincent Magwenya, Msemaji wa Rais Cyril Ramaphosa amesema tuhuma za kuficha Mabilioni ya Fedha shambani kwake zikithibitishwa kuwa na ukweli Rais atawajibika. Hata hivyo amemtetea kwa kusema kuwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa hatajiuzulu licha ya kashfa ya fedha zilizoibwa kutoka kwa shamba lake. Mzozo huo unatokana na madai kwamba aliweka pesa nyingi kwenye mali yake kisha...
1 Reactions
2 Replies
872 Views
Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Umma, imemwondoa Rais katika kashfa hiyo baada ya kubaini aliwajibika kutangaza maslahi yake katika mashamba ya Phala Phala na kuripoti Polisi. Ripoti hiyo ikiwa ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Can you imagine US anauza 90% ya silaha Ulaya kwa mwamvuli wa NATO Nchi za ulaya zenye ndege zao(local) made ni Eurofighter ambayo ni nchi za UK; Germany; Italy and Spain ndio zimechangia Sweden...
11 Reactions
34 Replies
2K Views
Leo Rais Biden wa USA ameanguka jukwaani wakati akisalimiana na Wahitimu wa chuo cha kijeshi cha Anga huko Colorado, chanzo cha kuanguka hakijulikani kama amejikwaa au ni umri mkubwa kiasi kwamba...
4 Reactions
50 Replies
6K Views
Baada ya mamilioni ya watu zaidi ya 30,000,000 kufa katika nchi mbalimbali kutokana na vita kuu ya pili ya dunia, washauri wa mambo ya vita wa marekani walimshauri raisFranklin Delano Roosevelt...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Marekani inao wanajeshi 3000 nchini Saudi Arabia kulinda miji inayoitwa mitakatifu. Nilidhani Allah ndio alipaswa kuilinda miji hiyo dhidi ya Iran na Yemen
5 Reactions
132 Replies
7K Views
Husika na kichwa hapo juu kwa mwenye kujua anisaidie. Nafanyaje niweze renew VISA ya mzee wangu, yeye alishakuwa raia wa Canada kitambo ila ashastaafu kazi. Yupo hapa na VISA yake inakaribia...
0 Reactions
1 Replies
497 Views
Jameni Waswahili mlioaminishwa na mwarabu kuichukia Israel, tambueni hali imebadilika kule, mwarabu amesalimu amri, ananunua silaha kutoka Israel tena kwa gharama kubwa sana. ============...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Kama matendo yako yatakuwa na mchango unaowahamisha wengine kufikiri zaidi, kujifunza zaidi na kufanya zaidi basi wewe ni Kiongozi mzuri na wa aina yake. Maneno hayo yaliwahi kutamkwa na...
24 Reactions
80 Replies
13K Views
RAIS wa Nigeria, Bola Tinubu, amemsimaisha kazi Mkuu wa Tume ya Uhalifu wa Kiuchumi na Kifedha (EFCC), Abdulrasheed Bawa, ili kupisha uchunguzi wa kashfa za matumizi mabaya ya madaraka...
0 Reactions
1 Replies
515 Views
Walikua wanasubiri hotuba ya kuwatia hamasa, maskini hawakujua satelite inawaona. =========== As many as 100 Russian troops gathered for a motivational speech near Ukraine’s eastern frontline...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Christian mingles sin with the disobedience of the first man in the Garden of Eden's playpen. Everyone tries to stop sinning no matter what since everyone knows that sin sometimes brings people...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Hivi ndivyo viwanja 10 vya ndege katika Afrika vyenye kuhudumia abiria wengi zaidi. Airport Weekly one-way June flights* Top two airlines for international flights % of #1 carrier Cairo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Putin anasema wapiganaji wake walio vitani hawaelewi kabisa kwa nini kuna makubaliano ya kutoshambulia meli za ngano kutoka Ukraine zinazopita bahari nyeusi. Hata hivyo Putin amesema amekuwa...
14 Reactions
31 Replies
3K Views
Mohamed Adel amehukumiwa adhabu ya kifo baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa kukusudia Mwanafunzi mwenzake wa Chuo Kikuu Mwaka 2022 baada ya kukataa ombi lake la Ndoa Video inayoonesha...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom