Sijawaona kwenye mitandao Sasha na Maria Obama tangu watoke Ikulu

chakula cha watoto

JF-Expert Member
Apr 25, 2023
462
974
Hawa watoto wa Obama sijawaona tena kwenye mitandao tangu baba yao astafu urais wa marekani. Hata account yoyote ya mitandao ya kijamii hawana, shida nini?

Ajabu kuliko yote sijawahi ona clip yoyote Ile wanaongea, hata kutoa sauti tu, why this?
images%20(13)%20(13).jpg
 
Back
Top Bottom