Urusi ilivyosema sitishiwi na vifaru vya Ujerumani leopords-2, vitaunguzwa kama vilivyounguzwa vifaru vingine. Kweli imevitia kiberiti

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,663
18,037
Rais Zelensky wa Ukraine alipigia debe sana kupewa vifaru vya ujerumani vinavyoaminika sana ulaya. Ujerumani ilikuwa haitaki kutoa vifaru vyake. Lakini mwisho wa siku ujerumani ikakubali kuipa ukraine vifaru vyake na kuruhusu nchi zingine kuipa ukraine vifaru vya Leopords-2.

Vyombo vya magharibi vikasema vifaru hivi vitabadilisha kabisa mwelekeo wa vita (game changer) wakati ukraine itakapoanza kujibu mashambulizi/counter offensive.

Urusi ikasema haya acha vije maana vitaunguzwa kama vinavyounguzwa vile vingine maana havina chochote cha ziada. Labda ziada yake tu ni kwamba vinauzwa kwa bei kubwa.

Western Tanks Will "Burn Like All The Rest" In Ukraine, Says Russia.
Moscow:

The Kremlin said Wednesday that if Western countries supply Ukraine with heavy tanks they will be destroyed on the battlefield, as Kyiv awaits a decision from Berlin on deliveries of Leopard 2 tanks.

"Technologically, this is a failed plan. This is an overestimation of the potential that this will add to the Ukrainian army," Kremlin spokesman Dmitry Peskov told reporters.
"These tanks burn like all the rest. They are just very expensive."

Alichokisema urusio ndicho alichokifanya mara tu baada ya Ukraine kuanza "counter offensive" aliyokuwa anaishadadia kwa muda mrefu!! Leopords-2 na magari mengi ya kivita toka nchi za magharibi yameishia keteketezwa!! Kwanza walikanusha, lakini sasa kwa ushahidi wa picha na video utakanushaje? Wameishia kukaa kimya!!

VIDEO shows destroyed Ukrainian Bradleys and Leopard tanks​

Russia previously reported that Kiev had lost over 30 armored fighting vehicles in a failed counteroffensive
VIDEO shows destroyed Ukrainian Bradleys and Leopard tanks

© Telegram / voin_dv
Videos emerged on Friday purporting to show the destruction of a Leopard 2A6 tank as well as several US-made Bradley infantry fighting vehicles during a failed Ukrainian offensive in Russia’s Zaporozhye Region.
Another video apparently shot by Ukrainian soldiers showed a Leopard 2A4 that had been blown up by a mine during an unsuccessful attempt to break through the front line near the town of Orekhov in Zaporozhye.

On Thursday, Colonel-General Aleksandr Romanchuk, a commander of a Russian unit operating in Zaporozhye Region, reported that Kiev’s forces had lost over 30 tanks during an overnight offensive. Ukrainian losses also reportedly included up to 350 personnel, as well as three Leopard tanks and more than 10 infantry fighting vehicles.
 
Ukiona mpaka CNN wanakiri ukraine kuelemewa vibaya ujue maji yamezidi unga!!

Ukraine has taken ‘significant’ losses this week – CNN​

Kiev’s long-promised counteroffensive has met “stiff resistance,” senior American officials have told the network
Ukraine has taken ‘significant’ losses this week – CNN

FILE PHOTO: Ukrainian soldiers shelter in a trench under Russian shelling near Artyomovsk, Russia, March 5, 2023 © AP
The Ukrainian military has suffered “significant” casualties in its faltering attempt to mount a counteroffensive against Russian forces, US officials told CNN on Thursday. While Kiev has kept quiet about its losses, Moscow estimates that the offensive has already cost Ukraine almost 5,000 lives.
Ukrainian troops hoping to break through Russia’s defensive lines have met “greater than expected resistance from Russian forces,” the American network reported, citing anonymous “senior US officials.”
 
Rais Zelensky wa Ukraine alipigia debe sana kupewa vifaru vya ujerumani vinavyoaminika sana ulaya. Ujerumani ilikuwa haitaki kutoa vifaru vyake. Lakini mwisho wa siku ujerumani ikakubali kuipa ukraine vifaru vyake na kuruhusu nchi zingine kuipa ukraine vifaru vya Leopords-2. Vyombo vya magharibi vikasema vifaru hivi vitabadilisha kabisa mwelekeo wa vita (game changer) wakati ukraine itakapoanza kujibu mashambulizi/counter offensive.

Urusi ikasema haya acha vije maana vitaunguzwa kama vinavyounguzwa vile vingine maana havina chochote cha ziada. Labda ziada yake tu ni kwamba vinauzwa kwa bei kubwa.

Western Tanks Will "Burn Like All The Rest" In Ukraine, Says Russia.
Moscow:

The Kremlin said Wednesday that if Western countries supply Ukraine with heavy tanks they will be destroyed on the battlefield, as Kyiv awaits a decision from Berlin on deliveries of Leopard 2 tanks.

"Technologically, this is a failed plan. This is an overestimation of the potential that this will add to the Ukrainian army," Kremlin spokesman Dmitry Peskov told reporters.
"These tanks burn like all the rest. They are just very expensive."

Alichokisema urusio ndicho alichokifanya mara tu baada ya Ukraine kuanza "counter offensive" aliyokuwa anaishadadia kwa muda mrefu!! Leopords-2 na magari mengi ya kivita toka nchi za magharibi yameishia keteketezwa!! Kwanza walikanusha, lakini sasa kwa ushahidi wa picha na video utakanushaje?? Wameishia kukaa kimya!!

VIDEO shows destroyed Ukrainian Bradleys and Leopard tanks​

Russia previously reported that Kiev had lost over 30 armored fighting vehicles in a failed counteroffensive
VIDEO shows destroyed Ukrainian Bradleys and Leopard tanks

© Telegram / voin_dv
Videos emerged on Friday purporting to show the destruction of a Leopard 2A6 tank as well as several US-made Bradley infantry fighting vehicles during a failed Ukrainian offensive in Russia’s Zaporozhye Region.
Another video apparently shot by Ukrainian soldiers showed a Leopard 2A4 that had been blown up by a mine during an unsuccessful attempt to break through the front line near the town of Orekhov in Zaporozhye.
On Thursday, Colonel-General Aleksandr Romanchuk, a commander of a Russian unit operating in Zaporozhye Region, reported that Kiev’s forces had lost over 30 tanks during an overnight offensive. Ukrainian losses also reportedly included up to 350 personnel, as well as three Leopard tanks and more than 10 infantry fighting vehicles.

<div style="position: relative;padding-bottom: 56.25%; padding-top: 25px; height: 0;"><iframe style="position: absolute;top: 0;left: 0;width: 100%;height: 100%;" src="https://www.rt.com/russia/577781-destroyed-leopard-bradley-video/video/6483391c85f540294a613c7e" frameborder="0" allowfullscreen></iframe></div>
Habari njema sana hii Mkuu. Naamini familia yenu itafaidika sana na hii achievement ya Urusi.
 
Ngoja msemaji wa majeshi ya Ukraine na NATO MK254 aliyepo Kibera, Nairobi aje athibitishe.🤣
 
Kiukweli hii vita imemfundisha na kumuimarisha sana Russia tofauti na kule Syria..hapo anapigana na professional Army ambayo inapewa msaada wa kila aina kuanzia Pesa Logistics na Silaha Nzito zenye technology ya hali ya juu ...ila bado anawakalisha vizuri tu.
Big up to RUSSIA 🇷🇺
 
Rais Zelensky wa Ukraine alipigia debe sana kupewa vifaru vya ujerumani vinavyoaminika sana ulaya. Ujerumani ilikuwa haitaki kutoa vifaru vyake. Lakini mwisho wa siku ujerumani ikakubali kuipa ukraine vifaru vyake na kuruhusu nchi zingine kuipa ukraine vifaru vya Leopords-2.

Vyombo vya magharibi vikasema vifaru hivi vitabadilisha kabisa mwelekeo wa vita (game changer) wakati ukraine itakapoanza kujibu mashambulizi/counter offensive.

Urusi ikasema haya acha vije maana vitaunguzwa kama vinavyounguzwa vile vingine maana havina chochote cha ziada. Labda ziada yake tu ni kwamba vinauzwa kwa bei kubwa.

Western Tanks Will "Burn Like All The Rest" In Ukraine, Says Russia.
Moscow:

The Kremlin said Wednesday that if Western countries supply Ukraine with heavy tanks they will be destroyed on the battlefield, as Kyiv awaits a decision from Berlin on deliveries of Leopard 2 tanks.

"Technologically, this is a failed plan. This is an overestimation of the potential that this will add to the Ukrainian army," Kremlin spokesman Dmitry Peskov told reporters.
"These tanks burn like all the rest. They are just very expensive."

Alichokisema urusio ndicho alichokifanya mara tu baada ya Ukraine kuanza "counter offensive" aliyokuwa anaishadadia kwa muda mrefu!! Leopords-2 na magari mengi ya kivita toka nchi za magharibi yameishia keteketezwa!! Kwanza walikanusha, lakini sasa kwa ushahidi wa picha na video utakanushaje? Wameishia kukaa kimya!!

VIDEO shows destroyed Ukrainian Bradleys and Leopard tanks​

Russia previously reported that Kiev had lost over 30 armored fighting vehicles in a failed counteroffensive
VIDEO shows destroyed Ukrainian Bradleys and Leopard tanks

© Telegram / voin_dv
Videos emerged on Friday purporting to show the destruction of a Leopard 2A6 tank as well as several US-made Bradley infantry fighting vehicles during a failed Ukrainian offensive in Russia’s Zaporozhye Region.
Another video apparently shot by Ukrainian soldiers showed a Leopard 2A4 that had been blown up by a mine during an unsuccessful attempt to break through the front line near the town of Orekhov in Zaporozhye.

On Thursday, Colonel-General Aleksandr Romanchuk, a commander of a Russian unit operating in Zaporozhye Region, reported that Kiev’s forces had lost over 30 tanks during an overnight offensive. Ukrainian losses also reportedly included up to 350 personnel, as well as three Leopard tanks and more than 10 infantry fighting vehicles.
Viva Putin, Viva Russia
 
Haya maneno kuwa hivi vifaru vya Ujerumani havina ziada yoyote zaidi ya kuwa na gharama kubwa watu hawakuyaamini yaliposemwa mara ya kwanza!! Lakini yalipokutana na moto wa urusi kila mmoja timu NATO anatafuta pa kujificha!!

Back
Top Bottom