International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kwa mara nyengine raisi wa Ukraine Volodymr Zelensky amekiri kuwa vita vya kukomboa maeneo yaliyotekwa vimekwenda kombo na kwamba havijaenda kama ilivyotarajiwa. Kuna watu wanadhani vita ni kama...
15 Reactions
44 Replies
4K Views
Zele amekiri waziwazi wakati akiohojiwa BBC ya kuwa mashambulizi ya jeshi la Ukraine dhidi ya vikosi vya Russia hajafanikiwa kama walivyotarajia. "Progress has been slower than desired "...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Baada ya Rwanda na Kagame kuruka ruka na kukana kuhusuka na mzozo wa Mashariki ya DRC,Hatinaye ripoti Maalumu ya UN imeishutumu Kigali.. Timu maalumu ya Wataalamu wa Umoja wa Mataifa Wametoa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Johannesburg - Afrika Kusini ndiyo nchi hatari zaidi barani Afrika Pretoria iliorodhesha juu zaidi barani kwa alama za uhalifu wa 82, ikifuatiwa na Joburg, Durban, Cape Town, na Bloemfontein...
8 Reactions
58 Replies
10K Views
Wajuzi wa masuala ya kimataifa. Nigeria wanachagua Rais tarehe 25 mwezi huu wa pili. Nini kinaendelea huko? Nani anauwezekano mkubwa wa kushinda? ======= Siku ya Jumamosi, tarehe 25 Februari...
3 Reactions
93 Replies
9K Views
VIROJA: Viongozi wengi Afrika wamejaa viroja, Rais Mteule wa Nigeria Dr. Bola Tinubu yupo jijini Paris kwa ajili ya Mapumziko baada ya kampeni na Uchaguzi. Baada ya Paris ataenda London kabla ya...
10 Reactions
46 Replies
5K Views
Mfumo wa maji taka usiofanya kazi katika mji mkuu wa Pretoria umechangia mlipuko mbaya wa kipindupindu ambao umesababisha vifo vya takriban watu 15, kulingana na David Mahlobo, naibu waziri wa...
0 Reactions
3 Replies
587 Views
Amani na utulivu uliyokuwepo karibu na mji mkuu wa Afrika Kusini, Pretoria yatoweka kutokana na kelele za wachimba visima wanaotafuta maji. Kwa sehemu kubwa maji yanasambazwa na umeme, hivyo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Balozi wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Grace Olotu akiwa kwenye picha na Mhe. Toomas Lukk, Balozi wa Estonia nchini Sweden baada ya mkutano uliofanyika Ubalozini Stockholm. Mazungumzo kati ya...
1 Reactions
0 Replies
731 Views
Aliyekuwa Rais wa Korea Kusini mwanamama Geun-Hye alifungwa jela baada ya kushiriki mipango ya kuingamiza Korea Kusini kwa kushirikiana na watu wasiojali chochote kuhusu Korea Kusini Wazalendo...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Ikumbukwe hawa walikua mahabusu kule magerezani, ila Urusi kwa kuishiwa mbinu ikawapa uhuru baada ya wao kuwahusisha kwenye vita, sasa wamerudi mitaani na kuanza kupiga matukio, kunao wanabaka...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuzidi kutengwa Israel sambamba na kuundwa mhimili wa Tehran [https://media] Faisal bin Farhan, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa saudi Arabia alisema hivi karibuni katika mazungumzo yake na Rais...
1 Reactions
0 Replies
764 Views
Waziri wa ulinzi, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Washauri wao pamoja Kamishna Mkuu wa Forodha wamestaafishwa kwa lazima na Rais Bola Tinubu na nafasi zao kuchukuliwa na maafisa wapya Kwa muda mrefu...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Putin: There will no longer be a Ukraine and NATO direct intervention will not change outcome 15 JUNE 2023 Russian President Vladimir Putin made remarks in a TV interview Wednesday that make...
7 Reactions
55 Replies
5K Views
Ni ndege ya pili ya kijeshi kuanguka yenyewe ndani ya mwezi mmoja, natumai hawatailaumu Israel kwenye hili.... An F-14 fighter jet crashed on Saturday while on a mission in central Iran, causing...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Mamlaka katika jimbo la Kano lililoko kaskazini mwa Nigeria wametangaza hali ya dharura kutokana na matukio ya wizi wa simu na aina nyingine za uhalifu kukithiri Bunge la Jimbo hilo lilielezea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Pakistan yaanza kutekeleza mchakato wa kuitosa sarafu ya dola --- Pakistan imechukua hatua ya kwanza ya kivitendo ya kutekeleza sera yake mpya ya kuachana na sarafu ya dola katika miamala na...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Halfa ya ufunguzi wa kambi ya majira ya joto ya wanafunzi wa sekondari ya Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ilifanyika Julai 19 katika Chuo Kikuu cha Ualimu cha Zhejiang...
1 Reactions
3 Replies
781 Views
Mzozo wa kidiplomasia umeibuka baina ya nchi ya Poland na Afrika Kusini kwa kile kinachodaiwa ubaguzi wa rangi na mkuu wa kitengo cha ulinzi wa Rais Ramaphosa. Kundi la walinzi zaidi ya 100 wa...
16 Reactions
107 Replies
10K Views
Mfalme Abdullah wa pili wa Jordan amwaga darsa la "Nini Maana ya Kuwa Muislam" kwenye bunge la Ulaya kwa ufupi wenye kina. Darsa hili ni fundisho na faida kwa Waislam na wasio Waislam...
7 Reactions
128 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…