As long as wana capture vijiji na miji iliyoporwa hata kama ni kwa pole pole hakuna shida, kumbuka juzi juz Jeshi la Ukraine walipiga kazi mpaka wakaingia ardhi ya Romania wakaambiwa huku siko kwenu tena rudini, urusi hamna kitu ni kelele tu
na Good News ni kwamba sasa Zelensky anatafuta hela na tayari hela imepatikana $ bil 514 ya kuyajenga upya majengo yaliyoharibiwa na vamizi ili kurudisha Ukraine halisi ama bora zaidi, ni habari njema sana
Ukiona sasa Ukraine wanafanya hesabu kujenga upya miji yao jua vita imeisha na russia hana nguvu tena baada ya huko pembeni alikobaki nako anaendelea kufurushwa kama paka mwizi, $514 bilioni sio 50Ukweli unafichwa.
Raia wa Ukraine wanaangamia kila kuchwao huku Urusi ikizidi kuitwaa ardhi ya Ukraine.
Sasa jiulize, hiyo USD 50 billions itajenga Ukraine ipi kama taifa zima litatwaliwa kimabavu!?.
Inakuwaje nchi zaidi ya 30 wameshindwa kumtoa Uikrane?As long as wana capture vijiji na miji iliyoporwa hata kama ni kwa pole pole hakuna shida, kumbuka juzi juz Jeshi la Ukraine walipiga kazi mpaka wakaingia ardhi ya Romania wakaambiwa huku siko kwenu tena rudini, urusi hamna kitu ni kelele tu
na Good News ni kwamba sasa Zelensky anatafuta hela na tayari hela imepatikana $ bil 514 ya kuyajenga upya majengo yaliyoharibiwa na vamizi ili kurudisha Ukraine halisi ama bora zaidi, ni habari njema sana
Ukiona sasa Ukraine wanafanya hesabu kujenga upya miji yao jua vita imeisha na russia hana nguvu tena baada ya huko pembeni alikobaki nako anaendelea kufurushwa kama paka mwizi, $514 bilioni sio 50
Waliingia makubaliano urusi isiteke kiev.Ukraine tayari ishatekwa yote na pale Kyiv Urusi ndiyo yaongoza
Jamaa pamoja na comedian ni jizi pia anawahadaa wananchi wake, utafikiri liafrikaZelensky is a comedian ( an entertainer)View attachment 2666512
Hv unajuwa kiilugha cha malkia? Tafuta mkaliman mapema [emoji23] [emoji23] slow ndo kutokufanikiwa?Zele amekiri waziwazi wakati akiohojiwa BBC ya kuwa mashambulizi ya jeshi la Ukraine dhidi ya vikosi vya Russia hajafanikiwa kama walivyotarajia.
"Progress has been slower than desired "
Anaongeza zelensky .
View attachment 2665120
Hizo nchi 30 zimetoa michango tu kama vile wewe unavyochangiwa ukipata msiba.Inakuwaje nchi zaidi ya 30 wameshindwa kumtoa Uikrane?
Kipi kinachowafanya wasiingie kijeshi NATO?Hizo nchi 30 zimetoa michango tu kama vile wewe unavyochangiwa ukipata msiba.
Si kwamba Eti hizo nchi 30 zimejitoa kikamilifu kwa 100% kuikabili Russia, yaani UK,US,FRANCE, GERMANY,CANADA,na nchi zingine 25 ziamue kupigana na Russia 100%,jamaa yako Putin ataikimbia nchi na kuomba hifadhi China.
Panua ubongo wako,weka pembeni ushabiki,uishi ktk uhalisia