International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wakati bado zoezi la kuhesabu kura linaendelea kwa siku ya 2 baada ya uchaguzi mkuu, pande zote mbili tayari zimetangaza kushinda huku ikiwa bado haijulikani ni nani anaongoza katika...
0 Reactions
2 Replies
823 Views
USDA approves first lab-grown meat in U.S, but Scientists, food safety experts aren’t sold on it The U.S. Department of Agriculture on Wednesday approved the sale of lab-grown meat for the first...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wale ambao huwa mnamdharau Zelenskyy kama Comedian tu uasi wa Wagner group dhidi ya "mtume" wenu Putin umewaacha watupu na aibu kubwa sana na umewafundisha kiongozi bora ni nani kati ya hao wawili...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Huyu ndio Wagner walikua wanalalamika kumhusu na kusababisha wambabaishe Putin kwa kuthubutu kutaka kuiteka nchi, jamaa alikwenda underground hadi leo ndio kaibuka na kuonekana akiongea ongea...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ule msafara wa waasi wa Wagner kuelekea Moscow kweli ulitisha japoj wengi wetu tunaofuatilia vyema vita hivi tulijuwa hautofika mwisho wa safari.Namna ambavyo ungezimwa ndio tulitofautiana,ni kwa...
10 Reactions
32 Replies
4K Views
Mzuka wanajamvi! Urusi wasikubali tena kina Ramaphosa na viongozi wengine kutoka Afrka kwenda Urusi eti kupatanisha. Hawaendi kupatanisha bali kuroga. Yani baada ya kwenda na kuondoka urusi...
4 Reactions
6 Replies
889 Views
Ujasusi ndiyo unaongoza dunia. Matukio mengi na michezo ya kisiasa mengi huchezwa kijasusi zaidi. Ujasusi hutumia aina mbili za matukio ambayo ni : (a) Tukio la uongo: Hapa hutengenezwa tukio la...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika muendelezo wa kinachoonekana ni uasi kwa serikali ya Urusi Wagner group wanaripotiwa kutekea na kutwaa makao makuu ya jeshi katika mji wa Rostov. Misururu ya wapiganaji wa Wagner katika...
7 Reactions
55 Replies
7K Views
Ukilea jini kubali iko siku litakugeukia.....haya sasa Russia-Ukraine Live Updates, June 24, 2023: Mutinous Russian mercenary fighters barrelled towards Moscow after seizing a southern city...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Asubuhi ya kuamkia leo dunia nzima imekubwa na taharuki baada ya jeshi binafsi la WAGNER lililo chini ya ndigu Prigozhin liliasi na kuvamia mji wa Rostov nchini urusi na kutwaa makao makuu ya...
14 Reactions
157 Replies
12K Views
Kwa wale wazoefu wa hizi mambo kama kina Mshana Jr watakuwa wamenielewa
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Mtawala shetani ni laana kwa watu wake, ni laana kwa majirani na Dunia nzima. Hatukuwahi kushuhudia wala kusikia hata mara moja kuna kombora au hata risasi moja imerushwa toka Ukraine au nchi...
10 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwema Wakuu! Bado natafakari wanaodhani kuwa kinachoendelea Huko Urusi ati kitaangusha utawala wa Putin. Kwa kweli Akili zao hawazitumii vizuri. Na macho Yao nafikiri hayaoni wala kujua Dunia...
35 Reactions
87 Replies
5K Views
Watu wengi walikuwa wakifuatilia zaidi kukengeuka kwa Prighozin na movements za kundi lake la Wagner kuteka miji na kuelekea Moscow lakini huenda habari muhimu zaidi haikupewa nafasi kubwa...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Anaitwa Kim Clement. Alikuwa nabii muimbaji. Alifariki November 2016 akiwa na miaka 60. Alishatabiri vita ya Ukraine na Russia. Alitabiri kwamba kuna roho itaingilia kati itakayomfanya Putin...
7 Reactions
30 Replies
4K Views
Mimi binafsi yale nayaita maandamano sio uasi. Sababu kubwa iliyowapelekea Wagner kuasi ni shutuma zao Kwa wizara ya ulinzi ya Russia kudhohofisha operation. Prigozhin anamlaumu Sergei Shoigu...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna kitu sisi huku madongo kwinama hatukijui, ila Warusi wenyewe wanakijua, kwa sababu hao PMC walikuwa na msafara wa magari sasa je walishindwa kushambuliwa? Ndege za kivita hazikuwa na mafuta...
12 Reactions
37 Replies
2K Views
Vipi wakuu, Wakati vita hii ya Rusia na Ukraine inaanza... 1. Kuna watu walihisi kwamba vita hii ni ya Ukraine na Rusia peke yake, na kwamba kwa vile Ukraine ni kanchi kaunyonge basi Rusia...
18 Reactions
153 Replies
11K Views
Haya ndio aliyosema Putin akihutubia taifa; Nchi inakabiliwa na uhaini Uasi wa Wagner ni usaliti na sawa kisu nyuma ya mgongo wa Urusi. Hali katika mji wa Rostov ni tata na "ngumu" Vita vya...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom