International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Prigozhin ahofiwa kufariki katika Ajali ya Ndege Watu 10 wameripotiwa kufariki kwenye ajali hiyo ya ndege Watanzania tumuombee apumzike kwa amani! Source: Al jazeera ==== Kwa mujibu wa Idara...
18 Reactions
469 Replies
52K Views
Rais wa zamani Donald Trump anasema atajisalimisha kwa mamlaka katika jimbo la Georgia siku ya Alhamisi kujibu mashtaka katika kesi inayomtuhumu kwa kupanga njama kinyume cha sheria, ya kugeuza...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Ikulu ya Urusi (Kremlin) imekanusha vikali kuhusika kwa namna yoyote na ajali ya ndege inayosemekana kumuua Mkuu wa kundi la mamluki la Wagner, Yevgeny Prigozhin, ikisema tuhuma hizo ni uzushi...
10 Reactions
27 Replies
2K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Zimbabwe (ZEC) imetangaza kuwa Kiongozi huyo aliyeingia Madarakana mara ya kwanza mwaka 2017 kwa kumpindua Robert Mugabe, ametetea Kiti chake kwa 53% ya Kura...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
DILEMMA ni Ile hali ya kujikuta njiapanda ukiwa na pande mbili,tatu, au zaidi hambazo zote zinaitaji sana attention yako kwa wakati huohuo Ni bahati mbaya sana hii Hali ndio inawakumba watetezi...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Warusi wanaishi maisha ya kukazia macho angani muda wote Russia blocks fresh drone attack on Moscow, says mayor Russia reported a new drone attack on Moscow in the early hours of Saturday which...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Sasa BRICS itakuwa na wanachama 11 wenye sifa zifuatazo ● BRICS itakuwa na mataifa 6 kati ya 9 ambayo ni wazalishaji wakubwa wa mafuta na gesi duniani. ● BRICS itakuwa na mataifa ambayo yana 80%...
35 Reactions
148 Replies
11K Views
Mamlaka ya huduma za dharura na zile za usalama zimewataka raia na wageni mjini Makkah kuchukua tahadhari husika ili kujilinda na dhoruba ya upepo mkali, mvua na mafuriko iliyoikumba mji huu wa...
3 Reactions
22 Replies
5K Views
1. Umoja wa Ulaya (EU) Huu ndio mfano wa umoja wa nchi bora zaidi kuwahi kutokea duniani. Wana pesa yao yenye nguvu na heshima duniani. Wana vigezo thabiti vya kujiunga na umoja huo, hakuna...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Mafanikio makubwa yamepatika Kusini Ukraine na kwamba ngome za Urusi zimemungunyuka na kupoteana hivyo wanazidi kusonga mbele kwa haraka haraka kukomboa ardhi yao
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Mahamakama ya Uhalifu wa Kivita, ICC walitoa order ya kumkamata Putin popote atapoenda. Sasa yupo Afrika Kusini, tunasubiri wamkamate. Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
24 Reactions
150 Replies
11K Views
Huu ndiyo ukweli hata kama ni mchungu. Siku Urusi au Uchina, au Iran mojawapo ikawa ndiyo inasimamia maslahi ya ulimwengu wetu huu, dunia itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana na mwenye nguvu mpishe...
22 Reactions
107 Replies
5K Views
Bado dunia iko kwenye kizungmkuti cha kinachoitwa kifo cha Boss wa Wagner PMC Prigozhin na wenzake katika ajali ya ndege. Huyu mwamba aliwahi kufeki kifo chake hivihivi kwa jina lake kuonekana...
12 Reactions
49 Replies
5K Views
Reuters yasema kuwa leo Urusi imeipelekea Ukraine moto mkali mno na kuchoma vibaya vituo vya kijeshi vya Zelensky. Mashambulizi ya anga yamechoma uwanja wa ndege wa kijeshi pamoja na ndegevita...
9 Reactions
30 Replies
3K Views
Kupitia ripoti yao, Waangalizi kutoka Ujumbe wa Umoja wa Ulaya (EU EOM) wamesema Uchaguzi huo ulikuwa na Uminyaji wa Haki, Ukosefu wa Fursa Sawa na Mazingira Magumu kwa Wapiga Kura. EU EOM...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Vilianzia Crimea, vinaishia Crimea, hivi karibuni Urusi itaitapika Crimea..... Ukrainian defence forces, together with the Security Service of Ukraine (SSU), have launched a drone strike on the...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwenye Mazungumzo ya Wakuu wa China na Afrika yaliyofanyika tarehe 24 mjini Johannesburg, Afrika Kusini, rais Xi Jinping wa China alisisitiza kuwa ni watu wa Afrika ambao wana haki ya kuamua ni...
0 Reactions
0 Replies
403 Views
Putin alisema Crimea ikiguswa, atafanya jambo, sasa imepigwa mabomu na leo hii kuna kundi la wanajeshi limeingia, sijui aguswe wapi ndio afanye..... A battle took place in occupied Crimea, as...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Ghafla bin Vuuu... watu wanashuhudia Helikopter ya Jeshi la Urusi aina ya Mi-8 inaingia kwenye kituo cha anga cha Poltava nchini Ukraine. Hilo halikua shambulizi bali ni tukio la Mwanajeshi huyo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom