Mahamakama ya Uhalifu wa Kivita, ICC walitoa order ya kumkamata Putin popote atapoenda. Sasa yupo Afrika Kusini, tunasubiri wamkamate.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Hawamgusi hata kwa kulazimishwa. Atawapiga bomu moja la Nyuklia hamtaamini macho yenuICC walitoa order ya kumkamata putin popote atapoenda sasa yupo South africa tunasubiri wankamate
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Yaap yupo down south mwambaKweli? Mwamba yuko SA? Duuuh
Albashir aikuwa na warant ya kukamatwa ya ICC lakini alienda SA bila kukamatwa sembuse Putin?South africa wamempa ulinzi wa kidiplomasia,ila ulinzi ni kwa viongozi wote waliohudhuria mkutano wa BRICS.
Ngoja tuone kama watamdaka kama kina Albashir na laurent Nkunda.
Kwa hiyo SA ni super power Duniani?Albashir aikuwa na warant ya kukamatwa ya ICC lakini alienda SA bila kukamatwa sembuse Putin?
putin wa kuchonga huyo! Original yupo ndani ya mashimo (bunkers) Kama mbewa!Mahamakama ya Uhalifu wa Kivita, ICC walitoa order ya kumkamata Putin popote atapoenda. Sasa yupo Afrika Kusini, tunasubiri wamkamate.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
kaenda lini SA....nachoelewa ni mpaka August...sasa aliepo SA ni FM Lavrov....kwenye Ministerial meeting...!!Mahamakama ya Uhalifu wa Kivita, ICC walitoa order ya kumkamata Putin popote atapoenda. Sasa yupo Afrika Kusini, tunasubiri wamkamate.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Hamna mwenye jeuri ya kumkamata PutinAkikamatwa mnijuze
Ha ha ha....Labda kina mungiki uko,sio PutinSouth africa wamempa ulinzi wa kidiplomasia,ila ulinzi ni kwa viongozi wote waliohudhuria mkutano wa BRICS.
Ngoja tuone kama watamdaka kama kina Albashir na laurent Nkunda.
Leo ndo tutajua mbivu na mbichi,Hata akitua USA hawezi kamatwa
Mmeanza visingizioputin wa kuchonga huyo! Original yupo ndani ya mashimo (bunkers) Kama mbewa!
Anawindwa na Warusi wenziwe na drones!
Akifunua hijabu tu ameshaliwa kichwa!
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app