International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Duniani kuna vifaru vitatu hatarishi kwa mapigano katika uwanja wa vita. Vifaru hivyo ni Abraham's cha Marekani, The challenger (Uingereza) na Leopord (Ujerumani) Hata hivyo waswahili wanausemi...
9 Reactions
4 Replies
1K Views
Sasa hivi madogo wanao endesha hizi drones wanachagua pakupiga ndani ya Urusi bila shida yoyote..... A RUSSIAN plant that makes crucial parts for missiles has gone up in flames after being...
9 Reactions
13 Replies
1K Views
Ndege ya kivita ya Russia iliruka umbali wa mita chache kutoka katika ndege ya Marekani isiyokuwa na rubani kwenye anga ya Syria na kupiga baruti. Ndege hiyo iliipiga ndege ya Marekani na...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Na Jumaa Kilumbi 10.11.2022 KaskazIni Magharibi mwa Afrika kuna mzozo kati ya nchi ya Morocco na nchi ya Jamhuri ya Waarabu ya Kidemokrasia ya Sahara (Sahrawi Arab Democratic Republic, SADR...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
MORE THAN 1,600 SCIENTISTS SIGN A DECLARATION WHICH CONFIRMS THAT “NO CLIMATE EMERGENCY” EXISISTS AT ALL. 02 September,2023 Not everyone in the field of science has abandoned the truth that...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwendo wa mpwito mpwito... Ukrainian troops continued their offensive actions near the city of Bakhmut and in the western part of Zaporizhzhia Oblast on 7 September and they had gains on both...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
"Bosi wa sarafu ya Kidijitali (cryptocurrency) nchini Uturuki na ndugu zake wawili wamefungwa kifungo cha miaka 11,196 kila mmoja kwa udanganyifu dhidi ya wawekezaji ambao walipoteza mamilioni ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hawa majenerali wanasakwa kote, manyumbani hadi ofisini, yaani wawe waangalifu na muda wote kugeuza geuza kichwa huku na kule, maisha ya wasiwasi kama digidigi. Huyu kapokezwa simu ya mkononi...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Katika Nchi ndogo iliyopo Ulaya iitwayo Montenegro, mashindano ya kumtafuta Mtu mvivu zaidi hufanyika kila mwaka na mwaka huu washindani saba wamejilaza kwenye mikeka wakipambania kombe hilo...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Chifu Mangosuthu Buthelezi, Muanzilishi na kiongozi wa muda mrefu wa chama cha Inkatha Freedom Party(IFP) amefariki dunia Jumamosi ya leo, Septemba 09, 2023. Buthelezi alianzisha IFP na baadae...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Hivi karibuni, Japan ilianza kumwaga maji taka ya nyuklia baharini kutokea kituo cha nyuklia cha Fukushima. Hatua hii ya Japan imelalamikiwa sana na Wajapan wenyewe pamoja na jamii ya kimataifa...
0 Reactions
1 Replies
911 Views
Ni kauli ya Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye amesema ukaguzi huo ulioanza Machi 2021, lazima ukamilishwe hivi karibuni ingawa hajaweka wazi tarehe kamili ya utekelezaji wake. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Wizara ya Elimu imetangaza kuwa Kanuni hiyo inatarajiwa kuanza kutumika Mwaka mpya wa masomo unaoanza Septemba 4, 2023 katika shule zote za Serikali. Waziri wa Elimu, Gabriel Attal amesema...
7 Reactions
264 Replies
18K Views
Putin alipowaambia waingereza walipokuwa wanajidai kupeleka vifaru vyao wanavyoviamini nchini ukraine kuwa na vyenyewe vitaungua hakua anatania. Kilipopelekwa tu kimoja uwanja wa mbele kupima...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa jinsi huyu jamaa wanavyozidi kumlea ni aibu sana na huyu jamaa anapaswa wamuue haraka ili vita iishe Zelensky kwa ujinga wake ameamua kuwatoa maelfu ya raia wake kafara kwa kiburi cha...
9 Reactions
58 Replies
4K Views
Miaka karibu 50 tangu kile kilichoelezwa kusitishwa kwa safari za kwenda mwezini mwaka 1972,sasa kituo cha anga cha NASA kimesema kinataraji kurejea safari hizo hivi punde. Hapo Jumatatu chombo...
5 Reactions
176 Replies
11K Views
Sep 06, 2023 06:32 UTC Kansela wa Austria amesema kuwa kuendelea kununua gesi kutoka Russia hakufurahishi, lakini gesi ya Russia ni muhimu kwa usalama wa nishati wa nchi za Ulaya. Shirika la...
9 Reactions
11 Replies
2K Views
Rais wa Egypt Abdel Fattah Al Sisi amewataka Raia wa Nchi hiyo Kupunguza Kasi ya kuzaana Ili Kuepuka Janga la Nchi yake Kushindwa kuwapa Huduma stahiki. Rais Al Sisi amekosoa mtizamo wa Waziri wa...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Idara ya ulinzi ya Marekani mapema wiki hii wameweka wazi tovuti mpya ambayo itakwenda kuonyesha videos na maelezo ya ukweli kuhusu vyombo vya angani vinavyosadikika kutoka Nj'e ya sayari ya Dunia...
11 Reactions
118 Replies
8K Views
Polisi nchini Uingereza wamezuru kwenye darasa la yoga katikati ya jiji baada ya raia mmoja kutoa taarifa ya mauaji ya halaiki. Maafisa walikimbilia mahali hapo huku ving’ora vya gari vikilia na...
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Back
Top Bottom