International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Jeshi la Israel kupitia ukurasa wao wa mtandao wa X wameweza kukanusha taarifa juu ya shambulio la kombora lililoangukia Hospitali huko mjini Gaza na kuua zaidi ya watu 500 na kujeruhi wengine...
5 Reactions
115 Replies
6K Views
Raisi Biden haonekani kuwa tofauti na mtangulizi wake raisi Trump.Wote hawachagui lipi la kusema na wakati wa kuyasema maneno yao. Japo taarifa za kukataliwa kutua katika baadhi ya nchi za...
6 Reactions
73 Replies
4K Views
Mji wa Gaza unarekodiwa masaa 24, kwenye mida ya 18:59 live footage ilionyesha Hamas wameanza kurusha Makombora kuelekea Israel lakini moja ya kombora likapata hitilafu (misfire) likadondoka kwa...
10 Reactions
146 Replies
14K Views
Imerokea usiku huu huko Brussels. Mwanaume huyo wa kiarabu kaua raia wawili wa Sweden huku akiita Allah Akbar, Allah Akbar. Kakimbia anasakwa, habari zinakuja
8 Reactions
87 Replies
7K Views
Hali imezidi kuwa ngumu huko Mashariki ya Kati kufuatia Rais wa Palestine Mahamod Abbas kufuta ghafla mkutano wake na Rais Biden wa USA kufuatia mauaji ya Hospital Gaza Tuzidi kuwaombea Source...
2 Reactions
55 Replies
5K Views
Kumekuwa na Kauli kinzani kati ya viongozi wa Israel na jumuiya ya kimataifa. Wakati Israel ikitumia makosa ya HAMAS kufanya malipizi kwa raia wasio na hatia.Wakati Israel wakisisitiza wapalestina...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Hatimaye baada ya Bwana Blinken kufeli kwenye kazi aliyotumwa sas Bwana Mkubwa ametinga mwenyewe Tel Aviv kuhakikisha mambo yanakaa sawa. Msemaji wa baraza la usalama la Marekani amesema Rais wa...
0 Reactions
1 Replies
451 Views
Kuelekea mzozo kati ya Gaza na Israel mataifa mengi ya Amerika Kusini,Afrika na Asia yanaungana na Hamas na kudai kuwa sera za USA ni onevu na kandamivu na baadhi ya mataifa yakitaka kusitisha...
14 Reactions
57 Replies
5K Views
Serikali ya Israel imetoa onyo kwa washirika wa Hamas kuwa wakiingilia hii vita basi Israel haitakuwa peke yake kinyonge. Amesisitiza kuwa Marekani itaingia pia kuisaidia Israel dhidi ya Iran na...
2 Reactions
67 Replies
6K Views
Of 1948 Kashmir acceds to India: Pakistan must be tamed on terrorism to modern world
0 Reactions
1 Replies
386 Views
Ikiongozwa na uelewa kuwa changamoto za dunia zinahitaji ushirikiano wa pamoja, China imefungua milango yake kwa nchi zote na mashirika mbalimbali ya kimataifa na kikanda, kupitia program na...
0 Reactions
0 Replies
430 Views
Wakati pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia moja” (BRI) la China linatimiza miaka 10 tangu kutolewa, kuna mafanikio mengi yameonekana katika kuhimiza urafiki na ushirikiano kati ya China na nchi...
1 Reactions
0 Replies
480 Views
Abdifatah Moalim Nur maarufu kwa jina la Qeys aliyekuwa Mkurugenzi wa Somali TV amefariki kwa shambulio la bomu wakati alipokuwa kwenye mgahawa katika Mji Mkuu, Mogadishu. Anakuwa Mwanahabari wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais wa Marekani Joe Biden anatarajiwa kutembelea Israel kesho Jumatano katika kile kilichoripotiwa kuwa ni kuthibitisha kujitolea kwa Marekani kwa usalama wa Israel, hatua hiyo inakuja huku...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Mapori bado ni mengi duniani ( ingawa yana wenyewe) be it in Africa, Asia, Europe and Americas wapalestina wahamishiwe huko na kusaidiwa kuji establish as a new state! Sounds ridiculous, but can work!
20 Reactions
187 Replies
8K Views
Polisi Jeshi la Polisi jijini Maputo limetumia Mabomyu ya Machozi kuwatanya Waandamanaji wa Upinzani huku wengine wakijeruhiwa kutokana na kupinga matokeo ya Uchaguzi uliofanyika Wiki moja...
0 Reactions
1 Replies
706 Views
Rais wa Ukraine alikuwa amepanga kuongozona na Blinken kwenye ziara yake huko Israel kwa lwngo la kuonesha mshikamano lakini Israel wamemkatalia. Wakati huo cancellor wa Ujerumani, rais wa...
7 Reactions
53 Replies
6K Views
Hadi nimeogopa, Israel kwa kweli sio ya kuchokozwa, kha! Yaani wakazi wa Palestina wataikumbuka hii miaka 100 ijayo, jinsi walivyoponzwa na magaidi ya kidini. Na hapo bado wanasema kuna...
17 Reactions
92 Replies
7K Views
Kwa wale wanao ona dunia itakuja kuwa chini ya utawala wa kidemokrasia kama ilivyo vitabuni basi hawapo sahihi wanaishi katika njozi. Ili demokrasia iweze kufanikiwa duniani basi panapaswa...
0 Reactions
3 Replies
562 Views
Raisi wa Marekani ameonya kuwa kama lwngo la Israel kutaka kuikalia gaza ,hili litakuwa ni kosa kubwa sana. Lakini pia amesisitiza kuwa USA haitashiriki kwenye hii vita kwani anaamini Israel wana...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…