Rais Abbas wa Palestine afuta mkutano wake na Rais Biden wa USA kufuatia mauaji ya Hospital Gaza, Biden naye asita kwenda Jordan!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,131
Hali imezidi kuwa ngumu huko Mashariki ya Kati kufuatia Rais wa Palestine Mahamod Abbas kufuta ghafla mkutano wake na Rais Biden wa USA kufuatia mauaji ya Hospital Gaza

Tuzidi kuwaombea

Source Al jazeera news!
 
Natamani Hezbollah waingie mara paaap Syria(kibogoyo) na Iran ziingilie mara fyuuu Misiri huyooo huku Avidiika kunawaka moto Sisi wapenda vita tunasikia Raha!

Israel's power was over hyped since then! Mm wakati nakua nilikuwa nadhani Mwisrael hadi Wala mwili wake haupenyi risasi...

Kumbe Chachandu tu, wanaogopa kupeleka jeshi Gaza Mpaka CIA, MI6 waingilie...

Vyuku tu
 
Tuzidi kuwaombea au tuzidi kuripoti?
Unaripoti tu hujawahi hata kuomba
 
Tuzidi kuwaombea au tuzidi kuripoti?
Unaripoti tu hujawahi hata kuomba
Ahahahaha huyo mpuuzi tu! Sasa maombi yake yasaidie kuzuia vita ya Israel na Palestina?
Watu wengine sijui kwanini walilewa Imani zisizo-kichwa Wala miguu-vyuku
 
Hali imezidi kuwa ngumu huko Mashariki ya Kati kufuatia Rais wa Palestine Mahamod Abbas kufuta ghafla mkutano wake na Rais Biden wa USA kufuatia mauaji ya Hospital Gaza

Tuzidi kuwaombea

Source Al jazeera news!
God Bless 🇮🇱
 
Natamani Hezbollah waingie mara paaap Syria(kibogoyo) na Iran ziingilie mara fyuuu Misiri huyooo huku Avidiika kunawaka moto Sisi wapenda vita tunasikia Raha!

Israel's power was over hyped since then! Mm wakati nakua nilikuwa nadhani Mwisrael hadi Wala mwili wake haupenyi risasi...

Kumbe Chachandu tu, wanaogopa kupeleka jeshi Gaza Mpaka CIA, MI6 waingilie...

Vyuku tu
Hata nchi zote hizo ziungane bado hawamshindi

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hali imezidi kuwa ngumu huko Mashariki ya Kati kufuatia Rais wa Palestine Mahamod Abbas kufuta ghafla mkutano wake na Rais Biden wa USA kufuatia mauaji ya Hospital Gaza

Tuzidi kuwaombea

Source Al jazeera news!
Israel imekataa kuhusika, lakini hata kama wamehusika, kuna tofauti gani kati ya waliouawa wakiwa hosp na wale waliokuwa wakiwa kwenye tamasha huko Israel
 
Hali imezidi kuwa ngumu huko Mashariki ya Kati kufuatia Rais wa Palestine Mahamod Abbas kufuta ghafla mkutano wake na Rais Biden wa USA kufuatia mauaji ya Hospital Gaza

Tuzidi kuwaombea

Source Al jazeera news!
hamas waliposhambulia israel walikuwa wamejipimia kipimo watachorudishiwa ? na hali imekuwa tofaut
 
Walidhani Israel hatalipa?
hawa jamaa kuna mitego waliiweka ndan ya Gaza ila Israel mjanja kabla hajaingia ameanza kufumua kila miundombinu yao na kuwazuia wasipewe msaada , hawakutegemea hili , walihis waisrael wataingia kichwa kichwa ndan ya Gaza
 
Shughuli ndio kwanza imeanza! Huku Iran imesema inaweza kuchukua hatua ndani ya saa 24 ikiwa hali ya mashambulizi ya Gaza itaendelea.
mfadhir kaamua jitokez kipigo kizito , hata urusi alijicha mpk 2014 hali ilipokuwa ngumu akajitokeza
 
Back
Top Bottom