Israel yamkatalia Zelensky kwenda kutembelea Tel Aviv

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
Rais wa Ukraine alikuwa amepanga kuongozona na Blinken kwenye ziara yake huko Israel kwa lwngo la kuonesha mshikamano lakini Israel wamemkatalia.

Wakati huo cancellor wa Ujerumani, rais wa Ufaransa, Waziri mkuu wa Uingereza na baadhi ya viongozi wengine waliopanga kwenda Israel wameruhusiwa.

WHY?
I bet ni kwa sababu ya mahusiano yaliyopo kati ya Russia na Israel.

Ama ni kwa sababu Israel wanahisi Zele anataka kufanya hiyo ziara kudraw attention ya West kuwa wasimsahau kwenye misaada kwani Ukraine na Tel Aviv wote ni wahanga.

More:
Netanyahu's officials reportedly informed the Ukrainian president that “the time is not right”

Ukrainian President Vladimir Zelensky wished to visit Israel, in an attempt to link his country's cause to that of the Jewish state, but was asked to stay away, Ynet reported on Monday.

Zelensky was allegedly told “the time is not right” for making such a trip, the outlet explained. The Ukrainian president allegedly wanted to travel to the country alongside US Secretary of State Antony Blinken.

His intention to visit Israel to show “solidarity” was first reported by Axios last Wednesday. The trip would have boosted “international support for Israel’s counteroffensive against Hamas in Gaza,” the report suggested.
 
20231013_230048.jpg
 
Israel kumkaribisha Zelensky ni kuifanya Russia kuwa side ya Hamas na kuipa nguvu Hamas, na hili ndilo myahudi anajaribu kulikwepa kijanja.

Mchezo mzima ni kama kuchagua sides hivyo itapelekea mgogoro wa Hamas na Israel kuwa mtamu zaidi, ndio maana Zelensky kajibiwa si wakati sahihi lakini baadae anaweza kutembelea.

Hamas haina uwezo huo kupambana na Israel lakini hamas wanapowezeshwa kwa silaha na mafunzo toka mataifa yenye nguvu kama Russia, Iran na vikundi kama Hezbollah inaweza pelekea Israel kudhalilika sana na pengine kuomba amani.

Cha mwisho medias ziwe zina balance taarifa uharamia Israel inaofanya Palestine sio sawa, si vizuri kuona wananchi wasio na hatia ndio wanaumia tokea upande wowote ule Palestine au Israel.
 
Zele kama Zele .

Nasikia wabunge wa Romania wamemgomea asihutubie Bunge.

Daaah.

Nimeanza kujisikia vibaya sana kuhusu Zele.
 
The real problem is that, in the eyes of the world, Israel seems to be doing to Palestinians almost exactly what Russia is doing to Ukraine, even if this may not be altogether accurate.

His visit ^up-handed,^ Zelensky would have had a hard time defending Israel without jeopardizing his own cause and country.

Israel sees him as being more of a liability & disruptor than a dependable strong link in a mission of solidarity to inflict such harm to Gazans as has never been done before, so they vowed.

Don't believe me? Imagine Zelensky watching the disastrous images of the ruins from Gaza Strip as a result of IDF continuous bombardment and air strikes.

What do you think would come foremost in his mind if not the same debilitating images of the ruins as a result of what the Russians are doing to his own country?

I don't think he would be in a position to tell Israeli forces: ^Well-done guys; continue!^
 
Israel na urusi?? Weeee, kihoja hiki
Kwamba hawako linked ?

Ask urself, kwanukaribu na undugu alionao Israel kwa US , vp participation ya Israel ktk kuisaidoa Ukraine.?

Wayahudi walijiweka nyuma mpaka Zele aliamza kuwalalamikia
 
Mchawi lugha
 
Hili balaa linalo endelea huko mashariki ya kati watu wana elewa nyuma yake yupo nani na nani😂😂
 
Zele mwenyewe ni jew.Wamemkatalia sababu aliona wivu kuwa attention imekuwa kwa Israël na si kwa Ukraine tena.
 
Back
Top Bottom