International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

This is the most contravesal thing ever encountered on Internet Putin alishitakiwa na ICC kupitia USA kwa kuwahamisha watoto wa Ukraine kutoka kwene ukanda wa vita KOSA lilikua KUWAHAMISHA...
3 Reactions
9 Replies
657 Views
Wanaukumbi. Serikali ya Marekani wameweka kwenye ukurasa wao wa Ikulu ya taifa hilo, misaada ya kibinadamu ambayo wanaipeleka nchini Palestina kwenye ukanda wa Gaza. Hivi mnawaelewa kweli hawa...
6 Reactions
43 Replies
4K Views
Haya maeneo manne kwa sasa ndio yamekuwa kimbilio la kisiasa kwa wakimbizi wa kisiasa na kiuchumi kote duniani. Watu wanaoteswa na madikteta wakatili na watawala waovu katika nchi zao wanapambana...
1 Reactions
0 Replies
349 Views
Inaleta faraja pale unapobahatika kukutana na mtu ambaye mnaweza kuzungumza lugha ya kwenu pale unapokuwa ukiishi mbali na nyumbani kwenye nchi za watu. Nimekuwa Dubai kwa kitambo sasa na...
26 Reactions
69 Replies
6K Views
JAMHURI YA IRELAND 23 November 2023 Dublin, Jamhuri ya Ireland Wananchi waingia mitaani kufanya vurugu kubwa dhidi ya serikali yao ya mrengo wa kiriberali wakidai inafungua milango na...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
BREAKING: US official says a container ship owned by an Israeli billionaire was attacked by a suspected Iranian drone in the Indian Ocean
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Miaka ya hivi Karibuni aliripotiwa na Al Arabiya kuwa asilimia zaidi ya 90 ya Hadith za Mtume hazifai kuwa vyanzo dini ya kiislam; sasa hivi amesema hadithi zote kwa sababu ziliandikwa miaka...
10 Reactions
303 Replies
17K Views
Waziri mkuu wa Israel mh Netanyahu amesema Baada ya mapumziko ya Kubadilishana Mateka wataishushia Hamas Kipigo kitakatifu Source Al jazeera news
6 Reactions
33 Replies
2K Views
1. Mara kadhaa ameshaanguka tu hadharani. 2. Kusahau sahau anachotaka kusema. 3. Kumtukana, "What a stupid son of a bitch", mwandishi aliyemuuliza swali khhusu inflation.....huku kipaza sauti...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilisema kuwa Hamas imewaficha mateka kwenye mahandaki kumbe ni uongo baada ya kushindwa kujua walipo mateka wakaamua kudanganya, kumbe mateka wote...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Kwa sababu Hamas wao walivamia kwa makusudi Israel na kuua watu hovyo hovyo na kuondoka na mateka wengine ambao tena wa nchi mbali mbali wakiwemo watanzania wawili lakini mwisho wa siku Israel...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Jeshi Nchini Sierra Leone linasema kuwa watu 19 waliuawa wakati wa shambulio kwenye Kambi ya Kijeshi na magereza katika Mji Mkuu, Freetown, Jumapili Novemba 26, 2023. Kanali Issa Bangura alisema...
1 Reactions
3 Replies
936 Views
Za asubuhi wakubwa, weekend inaendeleaje? Leo nawaletea muendelezo wa kile kinachojiri huko Congo katika oparation ya jeshi la kanda yetu hii ya EAC. Oparation hii mahsusi imebuniwa kwa lengo la...
8 Reactions
72 Replies
7K Views
Mmoja ya wanasiasa machachari wa Marekani na aliyekuwa mshauri wa mambo ya ulinzi wa raisi Donald Trump, John Bolton amesema katika vita vinavyoendelea Israel imeshindwa na Hamas. Katika makala...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Na mbaya zaidi wanarusha hizi rockets huku wakitumia makazi ya watu yenye watoto na familia, hivyo Israel inajibu kwa umakini la sivyo Israel ina uwezo wa kuangamiza Gaza na kuifanya majivu tena...
6 Reactions
75 Replies
4K Views
Ni fursa adimu sana jeshi la Israel limetoa la kusimamisha vita kwa siku chache ili kupisha zoezi la kubadilishana mateka na kuruhusu misaada ya kibinadamu kuingiza Gaza kabla ya zoezi la...
4 Reactions
8 Replies
847 Views
Kumekuwa na maoni mbalimbali hasa ya wale wanaoongozwa na Hisia kusema kwamba Israel imeshindwa vita dhidi ya Hamas. Sababu kuu ni kwamba wanadai malengo ya Israel ya kuivamia Gaza ilikuwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hamas has revealed the truth that they are not terrorists as named by the israelis and alies but they are rather fighting for their nation and siblings. This exchange of victims, hostages and...
2 Reactions
3 Replies
779 Views
Kumlinganisha felix tshisekedi na moise katumbi ni matumizi mabaya ya akili. Hata vitabu vya Mungu vinasema kuwa Kila mtu uongezewa kitu akiwa nacho Sio kwamba ataongezewa akili na wakati Hana...
1 Reactions
1 Replies
489 Views
Ulimwengu unafuatilia makabidhiano ya Mateka wanaoshikiliwa na Hamas wakibadilishana na Wafungwa wa Kipalestina walio katika magereza ya Israel Tayari Waziri mkuu wa Thailand amesema raia wake...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…