Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,760
- 3,858
This is the most contravesal thing ever encountered on Internet
Putin alishitakiwa na ICC kupitia USA kwa kuwahamisha watoto wa Ukraine kutoka kwene ukanda wa vita KOSA lilikua KUWAHAMISHA
B.Netenyau waziri mkuu wa Israel Kalipua watoto zaidi ya 5000 badala ya kulaumiwa ANASIFIWA
NB:uzi huu si wa vita kati ya israel na palestina/ Nan kati ya israel na Palestina sijui Hamas
NI SPECIFIC JUU YA CONTRAVERSE on Internet