International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Huyu mjane wa Rais habyarimana ni wakati wake wa kurudi Rwanda maana hali ni shwari kabisa Mimi naona Ufaransa wamrejeshe kwa sasa
4 Reactions
78 Replies
6K Views
Kinachoendelea Gaza kwa sasa ni matokeo ya level ya juu zaidi ya ujinga wa wapalestina na kiburi cha Hamas. Wapalestina wanaendelea kufa pasipo ulazima na eneo la Gaza kwa sehemu kubwa linakwenda...
37 Reactions
147 Replies
8K Views
Miji ya Lusaka na Zimbabwe imekumbwa na tatizo la kipindupindu. Mji wa Lusaka watu wanakufa na kipindupindu kama walivyokuwa wanakufa kipindi cha Corona. Sijui ni mlipuko au ni Uchafu. Wajuzi wa...
0 Reactions
3 Replies
456 Views
Wanajeshi wa Israel wamepiga bomu Makaburini na kufanya makaburi kupasukapasuka na miili ya marehemu waliozikwa hivi karibuni kutapakaa hovyo Wapalestina wameiomba Marekani iingilie Kati...
7 Reactions
93 Replies
4K Views
Mpaka sasa Israel wanaendelea kuonya tu, wanapiga mdogo mdogo na kuonya Hezbollah maana kitu watakachokifanya pale Lebanon, mtaanza kulia lia kwamba wanaua hadi watoto....... Hapa wamemuua...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Israel bado wanaonya, ifahamike hawajafanya kitu Lebanon, hapa wanaendelea kuonya tu. Endeleeni kuwachokoza ila msije mkalalamika na kulia lia kama inavyotendeka Gaza. ======= Israeli strike in...
6 Reactions
50 Replies
3K Views
Madaktari Wasio na Mipaka ambao wamekuwa Msaada mkubwa kwa majeruhi wa Palestine huko Al Aqsa Hospital Gaza City wametangaza kuondoka kwa Sababu za kiusalama Madaktari hao wamesema Israel imekuwa...
1 Reactions
13 Replies
687 Views
Haka kadunia ketu naona tunaelekea kukafuta hivi hivi tukiona. ======== AIKEN, U.S. -- While China is bolstering its nuclear capabilities, the U.S. -- the first country to produce atomic...
1 Reactions
0 Replies
747 Views
  • Closed
Haya mataifa mawili yaani Russia na China yanawachukia Sana Waislam kuliko USA. Waislam USA wanaabudu kwa Uhuru zaidi kuliko China na Russia lakini cha kushangaza waislam wanaichukia Sana...
11 Reactions
94 Replies
5K Views
Wanaukumbi.. ⚡️[Itathibitishwa] Habari za kuuawa kwa mwandishi wa habari wa Kiyahudi Jerry Yorkam, ambaye aliandika ripoti inayoelezea idadi ya Wayahudi waliouawa katika vita vya Gaza baada ya...
16 Reactions
150 Replies
9K Views
Wanaume kazini. ========== The IDF says it has hit a Hezbollah "command centre" in Lebanon in retaliation for strikes towards Israeli territory. An Israeli fighter jet carried out the strike in...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Hivi karibuni, Balozi wa Ufilipino nchini Marekani, Jose Manuel Romualdez alipohojiwa na chombo kimoja cha habari alidai kuwa, Bahari ya Kusini ya China, na si Taiwan, ni sehemu ya hatari, ambapo...
2 Reactions
1 Replies
605 Views
2023 umetajwa kuwa Mwaka ulioshuhudia idadi kubwa zaidi ya vifo na majeruhi ya raia kuliko wakati mwingine wote ndani ya kipindi cha miaka 10 iliyopita, hiyo ni kutokana na Utafiti wa Shirika la...
1 Reactions
0 Replies
756 Views
Ubalozi wa China nchini Marekani umefanya hafla ya kumbukumbu ya miaka 52 ya Diplomasia ya Ping-Pong, ambapo Balozi wa China nchini Marekani Xie Feng, alitoa wito kwa pande hizo mbili kutumia...
0 Reactions
2 Replies
476 Views
Kwa miaka mitano mfululizo, kila mwaka dola za Marekani milioni 300 zimekuwa zikitengwa, hivi karibuni msomi wa Ulaya Bw. Jan Oberg alifichua katika mahojiano kuwa Marekani imetoa mswada wa kutoa...
1 Reactions
1 Replies
641 Views
Waziri mkuu wa Israeli katoa kilio Cha uchungu baada ya kunyeshewa mvua ya mabomu na Hezbollah sasa anaomba msamaha na ombi la kusitisha mapigano kati ya Israel na Hezbollah, Ni matarajio yangu...
14 Reactions
64 Replies
24K Views
Kiongozi huyo aliyeingia Madarakani mwaka 2009 akichukua nafasi ya Baba yake, Omar Bongo aliyetawala kwa zaidi ya miaka 40, atawania nafasi hiyo tena katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 2023. Bongo...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Ifahamike Israel imekua ikitengeneza na kuuza mizinga ya kisasa yenye uwezo wa maangamizi makubwa sana na pia uwezo wa kusafiri masafa marefu ikiwemo ICBM. Sasa hapo Gaza wamekumbwa na changamoto...
5 Reactions
81 Replies
4K Views
General Salam kamanda wa IRGC amewaambia Marekani na Israeli kama wao wanaume basi waje kupigana na Iran waache kuimba taarabu na kupigana na wanawake na watoto wasio na hatia. General Salami...
22 Reactions
100 Replies
6K Views
Makazi mapya ya "hiari" ya Wapalestina kutoka Gaza polepole yanakuwa sera rasmi ya serikali, huku afisa mkuu akisema kuwa Israel imefanya mazungumzo na nchi kadhaa kwa ajili ya kufyonzwa kwao...
4 Reactions
61 Replies
4K Views
Back
Top Bottom