Katika siku za hivi karibuni Rais Xi Jinping wa China aliongoza mikutano ya kamati mbalimbali za Chama cha Kikomunisti cha China. Kikiwa ni chama tawala cha China, na mchango wake katika kuleta...
Ubinafsi umekuwa ni tatizo kubwa sana kwetu Africa kuzidi umoja wa uafrika wetu hasa katika Loyalty ya ukabila / ukoo / mru binafsi,
Mwafrika yupo tayari kumnyima nafasi mwafrika mwenye uwezo kwa...
Serikali ya Houthi ya Yemeni imeshambulia Israel kwa kutumia ballistic missiles kutokea Yemen.
Huu ni muendelezo wa hatua ya pili baada ya awali kua inashambulia meli za mizigo zinazoelekea...
Jana nilikuwa na tour za kutembelea bar kadha hapa mjini dodoma
Kwanza nilianza kwa Steve liquor area C ,pale Nimekuta kundi kubwa la vijana wamejazana ktk viti wakipiga ulabu na nyama kwa wingi...
Waziri wa Usalama mh Ben amesema Marekani haitoi ushirikiano timilifu kwa Israel kwani kwa kitendo cha kutoa Misaada ya Mafuta, Chakula na Dawa kwa Palestine Misaada hiyo inaangukia mikononi mwa...
Marekani yasema inachofanya huko Mashariki ya Kati ni kupeleka Amani kwa nchi za Waarabu
Kazi ni moja tu kuvisambalatisha Vikundi vyote vya Magaidi ikishirikiana na Washirika wake
Source Al...
Raisi Biden wa Marekani na wasaidizi wake wametangaza kuwa mipango yote ya kupiga vituo vya Iran ndani ya Syria na Iraq imekamilika.Kinachosubiriwa ni hali ya hewa tu iwe rafiki kwa kile...
Hili jamaa linalo ongoza Senegal lina sababu gani za msingi kuhairisha uchaguzi ? Au ndio upuuzi wa kung'ang'ania madaraka kama kawaida ya maviongozi ya Afrika ?
Hivi hivi Senegal inaweza kuingia...
Serikali ya marekani chini ya raisi JOE BIDEN imerejesha uagizaji wa mafuta kutokea urusi kwa Mara ya kwanza kwa kipindi Cha mwaka mzima tangu mwaka Juzi december walipoamua kususia bidhaa za...
Subscribe
Politics
Putin to Visit Turkey in First Trip to NATO Country Since War
Russia has forged ties with Turkey as relations with EU soured
Talks with Erdogan expected to focus on...
Hivi karibuni Hezbollah wameonyesha silaha zao wanazotumia kumchapa nazo Isael daily. Miongoni mwa operations ambazo hezbollah wamefanya katika siku hizi za karibuni ni kulipua assets za kijasusi...
The Shivadham Temple in Saharanpur, India, where construction was halted because of investigations into the Gupta family, which financed it.CreditCreditSaumya Khandelwal for The New York Times
In...
Kuna waislam, wasomi wa dini ya Kiislam ambao wanasema wazi kuwa Quran imetamka wazi kuwa Israel ni ardhi ya Wayahudi, na kama wao waislam watataka kuichukua ardhi hiyo, wataanguka na kushindwa...
Watu 112 wamepoteza maisha kutokana na moto ulioanzia katika Msitu eneo la Valparaíso ambapo mamlaka zimetangaza Hali ya Hatari huku zoezi la uokoaji likiendelea.
Inaaminika huo ni moto mkubwa...
Namibia imempoteza Rais wake, Hage Geingob ambaye amefariki Dunia wakati akiendelea na matibabu ya Saratani hospitalini katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Windhoek.
Taarifa ya Makamu wa Rais wa...
Sasa wameachwa mayatima, Marekani inapiga, na hakuna mwenye uwezo hata wa kujifanya anajikuna, jana wamepiga maslahi 85 ya Iran huko nje.........
Si Iran imewatelekeza?
Iran denies involvement in...
PENTAGON : MAREKANI YAANZA MASHAMBULUZI YA KULIPA KISASI KWA KUPIGA NGOME ZA VIBARAKA WA IRAN NCHINI IRAQ NA SYRIA.
SPECIAL REPORT
https://m.youtube.com/watch?v=ckOSPG_A8AI
Marekani yashambulia...
Waziri mkuu wa Afrika Kusini ametoa angalizo kuwa Israel inaendelea kupingana na hukumu iliyotolewa na mahakama ya kimataifa juu ya jinai za kivita iliyotolewa hivi karibuni.
Katika maelezo yake...
The World Mosquito Program (WMP) is a not-for-profit group of companies owned by Monash University that claims it works to protect the global community from mosquito-borne diseases such as dengue...
Mzungumzaji amesema suala la kupiga kura na uchaguzi ni mchakato tu. Watu katika nchi zinazoendelea hawahitaji mchakato bali wanahitaji matokeo. Wanahitaji huduma za afya, mavazi nk. Kwa...