Marekani imerejesha uagizaji wa mafuta tokea Urusi

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,495
99,295
Serikali ya marekani chini ya raisi JOE BIDEN imerejesha uagizaji wa mafuta kutokea urusi kwa Mara ya kwanza kwa kipindi Cha mwaka mzima tangu mwaka Juzi december walipoamua kususia bidhaa za urusi.

Hii ya mafuta, inafuatia bidhaa za uranium ambazo nazo hapo awali walizisusia lakini hivi Sasa wamerejesha Tena uagizaji wake kutokea urusi.

Source: Globe eye news, foxy news
701783002.jpg
 
Serikali ya marekani chini ya raisi JOE BIDEN imerejesha uagizaji wa mafuta kutokea urusi kwa Mara ya kwanza kwa kipindi Cha mwaka mzima tangu mwaka Juzi december walipoamua kususia bidhaa za urusi.

Hii ya mafuta, inafuatia bidhaa za uranium ambazo nazo hapo awali walizisusia lakini hivi Sasa wamerejesha Tena uagizaji wake kutokea urusi.

Source: Globe eye news, foxy newsView attachment 2883931
Lakin urusi hapokei dollar anataka ruble yake
 
Serikali ya marekani chini ya raisi JOE BIDEN imerejesha uagizaji wa mafuta kutokea urusi kwa Mara ya kwanza kwa kipindi Cha mwaka mzima tangu mwaka Juzi december walipoamua kususia bidhaa za urusi.

Hii ya mafuta, inafuatia bidhaa za uranium ambazo nazo hapo awali walizisusia lakini hivi Sasa wamerejesha Tena uagizaji wake kutokea urusi.

Source: Globe eye news, foxy newsView attachment 2883931
mwana FA ana nyimbo yake moja kuna mstari anasema ''hata uwe kiboko vp kuna mahali tu utazidiwa'' mazafaka US
 
Serikali ya marekani chini ya raisi JOE BIDEN imerejesha uagizaji wa mafuta kutokea urusi kwa Mara ya kwanza kwa kipindi Cha mwaka mzima tangu mwaka Juzi december walipoamua kususia bidhaa za urusi.

Hii ya mafuta, inafuatia bidhaa za uranium ambazo nazo hapo awali walizisusia lakini hivi Sasa wamerejesha Tena uagizaji wake kutokea urusi.

Source: Globe eye news, foxy newsView attachment 2883931
Marekani wamejitia kidole wenyewe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
USA ilikuwa inaendelea kuagiza MAFUTA kutoka RUSSIA haikuwai kusitisha ilikuwa inaingiza Kimazabe ila kuanzia mwaka Jana mwishoni ikaona isiwe tabu NGoja watu wajue tu akaliazisha GOMA parestina alijua fika nikiazisha mchezo masharaiki ya kati Kuna uwezekano nikakosa mafuta huko 7bu urusi atafanya Kila njia kulipiza niyakose mafuta Kwa namna yoyote Kwa kisingizio Cha vita ikabidi atumiwe akili za kikubwa
 
Serikali ya marekani chini ya raisi JOE BIDEN imerejesha uagizaji wa mafuta kutokea urusi kwa Mara ya kwanza kwa kipindi Cha mwaka mzima tangu mwaka Juzi december walipoamua kususia bidhaa za urusi.

Hii ya mafuta, inafuatia bidhaa za uranium ambazo nazo hapo awali walizisusia lakini hivi Sasa wamerejesha Tena uagizaji wake kutokea urusi.

Source: Globe eye news, foxy newsView attachment 2883931
Marekani ni taifa la kitapeli linalowatumia vibondr kwa amslahi yake. Ujerumank walivyo wajinga uchumi wao ulipata misukosuko kisa eti wanafuata maagizo ya US ambaye yeye akiona yamemshinda anaacha.
Mwaka jana tu kaninia uranium ya kutosha from russia.
 
Back
Top Bottom