Demokrasia ya watu wa China ni bora kuliko ya nchi za Magharibi (Marekani & Ulaya)

Xi Jinping

JF-Expert Member
Jun 14, 2023
525
1,816

Mzungumzaji amesema suala la kupiga kura na uchaguzi ni mchakato tu. Watu katika nchi zinazoendelea hawahitaji mchakato bali wanahitaji matokeo. Wanahitaji huduma za afya, mavazi nk. Kwa demokrasia ya China wamefanikiwa kuwapa wananchi wao zaidi ya 1.4 bilioni huduma hizo.

Amehoji kama Demokrasia ya China ni mbaya, kwa nini China ni tajiri mara tano zaidi ya India ambayo inafanya demokrasia ya magharibi?
 
P.umbavu zako
1706650640581.png
 
Back
Top Bottom