Moto wa Msituni watu 112 Nchini Chile

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,462
Watu 112 wamepoteza maisha kutokana na moto ulioanzia katika Msitu eneo la Valparaíso ambapo mamlaka zimetangaza Hali ya Hatari huku zoezi la uokoaji likiendelea.

Inaaminika huo ni moto mkubwa kuwahi kurekodiwa Nchini hapo na waathirika wengi walikuwa wakiishi maeneo ya jirani na eneo hilo na wengine walienda kwa ajili ya kutembelea eneo la Pwani kwa ajili ya mpumziko.

Aidha, Waziri wa Mambo ya Ndani, Carolina Tohá amesema idadi ya waliofariki inaweza kuongezeka kutokana na baadhi ya maeneo kutofikika kirahisi kutokana na moto huo kuendelea.

=============

At least 112 people have been killed by forest fires in Chile's Valparaíso region, local authorities have said.

Gabriel Boric declared a state of emergency and said he would make "all necessary resources" available to tackle the situation.

It is believed to be Chile's deadliest forest fire on record. Many of those affected were visiting the coastal region during the summer holidays.

A health alert was put in place in Valparaíso by the health ministry.

The ministry called for the suspension of elective surgeries and authorised temporary field hospitals to be set up.

Medicine students nearing the end of their studies will be hired to help ease pressures on the health service, the ministry announced in the same statement.

Rescue services have struggled to reach the most badly affected areas and Interior Minister Carolina Tohá said the death toll would "reach much higher figures" in the coming hours.

The Chilean government has urged people not to travel to the areas hit by the fires.

A 61-year-old resident from El Olivar described the ordeal as "hell".

Speaking to the AFP news agency, Rodrigo Pulgar said he tried to help his neighbour but then realised that his own house had started to burn.
"Ash was raining down on us," Mr Pulgar added.

He explained that most residents in El Olivar are older people, and said his neighbour died because they couldn't get her out.

The housing ministry said between 3,000 and 6,000 houses were impacted by the fires.
On Saturday, a curfew was put in place for those in Viña del Mar, Limache, Quilpué and Villa Alemana.

Source: BBC
 
Picha?
 
FB_IMG_1707117432563.jpg
 
Mataifa ya America na ulaya wamekuwa na haya matukio sana kuna muda nadhani huwa yanaandaliwa na mamlaka husika ila kwenye lengo kuu ndio sijui labda wataalamu wa matukio kama haya mnaweza kutuambia faida zake tu pengne sio athari kama tunavyoamini sisi.
 
Back
Top Bottom