International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

https://truthsocial.com/@realDonaldTrump/posts/116384077225474834 Trump ameichapisha mwenyewe. Ramani inaonyesha wazi. Meli kubwa za mafuta Supertanker tupu (VLCC), kila moja ikiwa na uwezo wa...
8 Reactions
23 Replies
757 Views
Mawakili wa kiongozi wa Chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), Julius Malema, wamewasilisha maombi wakati mchakato wa utoaji hukumu kwa kiongozi huyo ulipoanza katika Mahakama ya Hakimu...
0 Reactions
1 Replies
171 Views
Hawa watu wawili pichani, uhai wao ulihifadhiwa na Trump kwa ajili ya mazungumzo. Hawa ndio future ya Iran mpya. Trump alimkataza Netanyahu asiwaue. Kulikuwa na mmoja aliyekuja kuuawa — mtu...
4 Reactions
11 Replies
445 Views
Aprili 14, 2026, serikali ya El Salvador iliweka wazi sheria hiyo inayotarajiwa kuanza kutumika rasmi Aprili 26, 2026, Mabadiliko haya ni sehemu ya mfululizo wa sera kali zinazolenga kutokomeza...
0 Reactions
3 Replies
117 Views
  • Redirect
Kiongozi wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), Julius Malema, amehukumiwa kifungo cha moja kwa moja cha miaka mitano jela kufuatia kupatikana na hatia katika kesi ya umiliki na utumiaji wa...
1 Reactions
Replies
Views
Ndiyo, NIDA ni haki yako kama raia, kwa sababu taarifa za utambulisho wa taifa ni sehemu ya haki zako za msingi za kutambuliwa kisheria na kupata huduma mbalimbali za kijamii na kiuchumi kupitia...
1 Reactions
10 Replies
296 Views
Wanaukumbi. Sikiliza msimamo wa Saudi Arabia leo: “Hatuwezi tena kusimama na Trump; Trump anapaswa kwanza kujiokoa, kisha atuokoe. Tangazo kuu la Saudi Arabia.” Kwa mara ya kwanza katika zaidi...
3 Reactions
69 Replies
1K Views
Hili ni tukio la ajabu na kweli lililofanyika huko Congo miaka kadhaa iliyopita. Ilikuwa hivi: Mtoto mdogo aliumwa na nyoka mwenye sumu kali, akakata pumzi. Hakupumua kwa takriban masaa matatu...
12 Reactions
64 Replies
958 Views
The war in Mild East A DISASTER… the world is suffering
2 Reactions
8 Replies
191 Views
Maafisa wa usalama wanaomlinda Mke wa Rais wa Rwanda, Jeannette Kagame, na wale wa Mke wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Denise Nyakeru Tshisekedi, walihusika katika mzozo mkali...
0 Reactions
6 Replies
502 Views
Rwanda na mataifa mengine 11 yatanufaika na ufadhili mpya wa Marekani kwa ajili ya dawa ya kuzuia maambukizi ya virusi vya UKIMWI. Kupitia ushirikiano wa Marekani na shirika la Global Fund...
3 Reactions
25 Replies
434 Views
Amekutwa na hatia (convicted) ya kumiliki silaha bila kibali na kufyatua risasi hadharani kinyume cha sheria. Kesho saa tatu asubuhi atasomewa adhabu (sentensing) ambapo prosecutors wanaiomba...
0 Reactions
2 Replies
154 Views
Moja kwa Moja.. Leo Rais wa Marekani Donald Trump katika post yake amejipost picha yake ya kutengeneza na AI ikimuonyesha yeye akiwa katika nafasi ya Yesu . Picha hiyo imepata ukosaaji mkubwa...
5 Reactions
24 Replies
589 Views
Niaje waungwana Meli zilizowekewa vikwazo na Marekani zimeonekana kupita katika mlango wa bahari wa Hormuz licha ya kizuizi kilichowekwa na Washington, jambo linaloibua maswali kuhusu ufanisi wa...
12 Reactions
37 Replies
1K Views
Mwanadiplomasia mwandamizi wa China, Sun Weidong, ameondolewa katika nafasi yake kama Naibu Waziri wa Mambo ya Nje. Habari hizi zilitangazwa na Wizara ya Rasilimali Watu Jummanne, Aprili 14, 2026...
2 Reactions
7 Replies
283 Views
Zimbabwe has marked a significant moment in its post-colonial heritage journey following the official handover of the sacred Zimbabwe Bird (Chapungu) and ancestral human remains to President...
0 Reactions
0 Replies
144 Views
Serikali ya Uingereza imesema kuwa imefanya maboresho katika sekta ya umeme, hatua inayotarajiwa kuwanufaisha Wananchi kwa kuwapatia umeme wa bure au wa gharama nafuu endapo watatumia vifaa vyao...
1 Reactions
3 Replies
160 Views
Sad! A Tunisian man died after eating 28 raw eggs in one go for a bet. Dhaou Fatnassi, 20, allegedly wagered a friend he could eat 30 raw eggs in a row, for which he would receive an undisclosed...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KHAMENEI KATIKA HALI MBILI TOFAUTI. 😁Before attack 🇮🇱 Kabla ya shambulio. "Sunnis are kuffar arabs are Israelis and nothing to do with prophet, they are children of Umar la'nat" "Masunni ni...
2 Reactions
8 Replies
246 Views
Kitabu cha Torati kinachoingia Lebanoni. Katika utamaduni wa Kiyahudi, kila Jumatatu Alhamisi na Shabbat kitabu hicho husomwa. Wanajeshi wa Israel wamekiingiza kitabu hicho ili kiwe kinasomwa!!!
0 Reactions
0 Replies
82 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…