Khamenei katika hali mbili tofauti

Khamenei katika hali mbili tofauti

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,622
Reaction score
27,310
KHAMENEI KATIKA HALI MBILI TOFAUTI.
FB_IMG_1776236935814.jpg

😁Before attack 🇮🇱
Kabla ya shambulio.

"Sunnis are kuffar arabs are Israelis and nothing to do with prophet, they are children of Umar la'nat"

"Masunni ni makafiri, Waarabu ni Waisraeli na hawana uhusiano na Mtume, wao ni watoto wa Umar laana"


😁After attack 🇮🇱

Baada ya shambulio

"We don't cürse Sahaba cürse is Haram. No Sunni, no Shia we are one ummah. We have to unite"

"Hatutukani Maswahaba, laana ni haramu. Hakuna Sunni, hakuna Shia, sisi ni umma mmoja. Lazima tuungane"🤣🤣

Kabla ya mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran/makundi yake viongozi wa Iran hutoa kauli kali za kimadhehebu dhidi ya Masunni na Waarabu.

Ukitaka video zipo

Baada ya Israel kuishambulia Iran au washirika wake, kauli hubadilika na kuwa za umoja, kusema "tusiwatukane Maswahaba" na "tuungane kama Waislamu".

Zinduka ewe Muislamu.,utatumika na kuchezewa kama pia mpaka lini?

Naweza kusema Uislamu imekuwa chombo cha kutumika kwa malengo Fulani Kisha unatupwa kwenye dustbin

UKITAKA KUTUMIA UGAIDI,UKITAKA KUTUMIA UISLAMU KWA UPUMBAVU WOWOTE UNAFIT ,MAANA kwanza waarabu ni moja ya watu wanafiki ,nadhani hakuna watu wanafiki Duniani kuzidi waarabu na waislamu kwa ujumla

Hii ilisababisha Hadi Mtume Muhammad kuwatungia Sura maalumu Surat Munafiq.


wito wa "umoja wa Kiislamu" hutumiwa kama mkakati wa kisiasa wakati Iran inapokuwa hatarini, lakini hutoweka wakati hali ni shwari.

Mfano sasa hivi wanamshangiliia Papa ,baada ya siku mbili watamuita Shoga .
 
Haya wenye dunia yao wameshasema ni marufuku meli yoyote kufika homuz kama iran kidume apeleke meli aone moto
Iran amashafyata na kudai atatafuta njia mbadala ya Strait of Hormuz ili kusafirishia mafuta na gesi yake.
 
Back
Top Bottom