Mkuu wa Mossad David Barnea:
"Ahadi yetu itatimizwa tu wakati utawala uliokithiri nchini Iran utabadilishwa.
Hatukufikiria kwamba misheni hiyo ingekamilika mara tu baada ya mapigano kupungua...
Serikali ya Lebanon imeamua kuingia katika mazungumzo na Israel kufuatia mashambulizi makali yaliyofanywa na jeshi la Israel (IDF), pamoja na hatua ya Israel kudhibiti sehemu kubwa ya ardhi kusini...
Iran’s President Masoud Pezeshkian urged Europe to play a more active role in pushing the United States toward an agreement, saying diplomacy remains the best way to resolve disputes, according to...
Russia imeingiza takribani dola bilioni 19 (Sh49.27 trilioni) kutokana na mauzo ya mafuta na bidhaa za nishati Machi, ikiwa ni ongezeko kubwa ikilinganishwa na miezi ya hivi karibuni ambayo...
Niaje waungwana
Leo naomba niwaletee njia mbili ili mchague wenyewe wapi kwa kuelekea.
Njia ya kwanza ni Russia.
Russia ilianza vita yake na Ukraine miaka 4 iliyopita, na mpaka leo haijaonesha...
Papa Leo XIV akiwa Algeria:
"Ushirika kati ya Wakatoliki na Waislamu unachukua sura chini ya ulinzi wa Mama Yetu wa Afrika. Hapa, nchini Algeria, upendo wa kimama wa Lalla Meryem (bikra Maria)...
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa Jeshi la Wanamaji la Marekani litaanza mara moja kuzingira Mlango Bahari wa Hormuz, na kuamuru kukamatwa kwa nguvu Meli yoyote ya kimataifa iliyolipa...
Habari wandugu
Tukiwa tumemka salama huku tukisubiri mlejesho wa kikao kutoka Pakistan,nimeona kila mtu akishuka kwenye ndege na makablasha kwapani kila upande umesheheni security expert maalumu...
Mwanafunzi wa zamani wa Shule ya Sekondari ya Ufundi iliyopo Siverek, Kusini Mashariki mwa Uturuki mwenye umri wa miaka 18 amefyatua risasi leo na kujeruhi Watu wasiopungua 16 kabla ya kujitoa...
Serikali ya Italia imefanya maamuzi ya kusitisha mkataba wao wa ushirikiano wa Ulinzi na nchi ya Israel.
Waziri Mkuu Giorgia Meloni alitoa tangazo hilo leo Aprili 14, 2026, akielezea kuwa uamuzi...
Kufuatia ufuatiliaji endelevu wa kijasusi wa IDF tangu shambulio kubwa zaidi nchini Lebanon wakati wa Operesheni ya Kunguruma Simba - Operesheni ya Eternak Darkness, mnamo Aprili 8, 2026, IDF sasa...
Mzozo wa Mashariki ya Kati kunahitaji mtazamo mpana unaovuka mipaka ya kidini au kijiografia, kwa kuzingatia misingi ya sheria za kimataifa, usawa, na haki za binadamu. Hoja zangu za kusimama na...
Waziri wa Fedha wa Afrika Kusini Enoch Godongwana hivi karibuni amethibitisha kuwa, yeye na Gavana wa Benki Kuu ya nchi hiyo Lesetja Kganyago hawajapata idhini ya Marekani ya kuingia kwenye nchi...
Kulingana na ripoti kutoka kwa The Free Press (na kuangaziwa na vyombo vya habari kama Yahoo, Hindustan Times, na Daily Beast), mnamo Januari 2026 Pentagon ilimuita kardinali Christophe Pierre...
Mahakama ya rufaa nchini Burundi imemwachia huru kwa masharti mwandishi wa habari Sandra Muhoza, hatua inayohitimisha kizuizini cha karibu miaka miwili kilichoibua hofu mpya juu ya uhuru wa habari...
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu katika Mkutano wa Serikali:
"Mapigano yanaendelea wakati wote. Tunaunga mkono msimamo thabiti wa Rais Trump wa kuweka kizuizi cha majini dhidi ya Iran...
Kwa ufupi wanasiasa ndio wametufikisha hapa tulipo.
Siasa za Trumpa na Netanyahu hazina muelekeo salama ilitakiwa Dunia iwatenge ikibidi hata kivita,
Dunia inaaminishwa kuwa Marekani ndio walinda...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema Marekani itaweka “kizuizi cha kijeshi” na kuudhibiti Mlango Bahari wa Hormuz, njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani, kufuatia kushindwa kwa mazungumzo...
Wanaukumbi.
"Kulinda maji ya eneo la Iran ni jukumu la kitaifa.
Kama ilivyotangazwa hapo awali, meli zinazohusishwa na adui hazina na hazitakuwa na haki ya kupita katika Mlango-Bahari wa Hormuz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.