Australia imetangaza kuwa kwa mara ya kwanza katika historia yake, mwanamke ataongoza jeshi la nchi hiyo, ikiwa ni sehemu ya mabadiliko ya uongozi ndani ya vikosi vya ulinzi.
Luteni Jenerali...
Erick Mandala ni mjasiriamali na mfanyabiashara maarufu Congo DRC alliyekamatwa January 2025 na zaidi ya kilo 200 za madawa ya kulevya nchini Hispania. Lilikuwa tukio lililotikisa dunia.
Lakini...
Wakuu,
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio linalotambua biashara ya utumwa wa Waafrika kama uhalifu dhidi ya ubinadamu, hatua iliyopigiwa kura 123 za kuunga mkono.
Katika kura hiyo...
Tukio la kusikitisha limeripotiwa kutoka katika Jimbo la Indiana Nchini Marekani ambapo Mtoto wa miaka miwili amefariki dunia kutokana na hali mbaya ya malezi na ukosefu mkubwa wa chakula Nyumbani...
Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF, Eyal Zamir, anadaiwa kuagiza utayari mkubwa wa kijeshi kwa ajili ya uwezekano wa kurudi vitani na Iran kufuatia kuvunjika kwa mazungumzo kati ya Marekani na Iran nchini...
Rais wa Djibouti, Ismael Omar Guelleh, ameshinda tena uchaguzi kwa kupata asilimia 97.8 ya kura, kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la Serikali, Radio Television Djibouti, siku ya Jumamosi...
Uchaguzi wa urais nchini Peru uliofanyika Jumapili, 12 Aprili 2026, umechochea maandamano baada ya changamoto kubwa za kiutendaji kusababisha maafisa wa uchaguzi kuchelewesha kuhesabu kura na...
Wakati wa mahojiano, Rais wa Marekani Donald Trump alionekana kuidhinisha sharti la Iran katika kusitisha mapigano jana usiku linalowaruhusu kutoza ushuru kwa meli zinazopitia Mlango-Bahari wa...
Papa Leo ameanza ziara ya siku 10 barani Afrika siku ya Jumatatu, akilenga kuwahimiza viongozi wa dunia kushughulikia mahitaji ya bara hilo ambako kwa Takwimu za Vatican zinaonyesha kuwa zaidi ya...
Ambassador Kombo Meets Singaporean Minister in Mauritius to Boost Bilateral Ties
Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation Mahmoud Thabit Kombo held a bilateral meeting with...
Kwa muda mrefu Papa mkuu wa kabisa katoliki duniani "Pope Leo" ambaye ni Mmarekani amekuwa mstari mbele kukemea mauaji na vita mbalimbali zinaondelea duniani mfano Gaza alikemea Hamas, mauaji...
Huko Mashariki ya Kati mambo yanazidi kupamba moto katika huu mgogoro unaoendelea kati ya Marekani, Israel na Iran. Lakini safari hii, kuna sarakasi mpya imeibuka ambayo inaacha maswali mengi...
Vatican ilitangaza Jumatano kuwa Papa Leo wa Kumi na Nne atafanya ziara ya siku 10 barani Afrika mwezi Aprili, akitembelea nchi za Algeria, Angola, Cameroon na Equatorial Guinea, chini ya mwaka...
Wakuu
Watu mbalimbali duniani wameendelea kutoa matamko kuhusu ya kinachoendelea huko Venezuela na sasa ni zamu ya kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Leo XIV
Akizungumza hivi karibuni Papa...
Ndiyo maana wamarusha penseli na vipepeo ovyo ovyo.
Huko mbele wataanza kurusha penseli na vipepeo wakiwa kwenye mahandaki maana huku nje wanakandwa kama unga wa chapati.
Na hapo Trump anasema...
Baada ya Iran kukubali shurti la Trump na kufungua mlango wa bahari ili kuepuka ile kufuru ambayo ingefanywa usiku wa kuamkia leo, Israel imesema yenyewe haitasitisha kutoa kichapo pale Lebanon...
.
Akizungumza na Fox News muda mfupi baada ya kutangaza mpango wa kuweka zuio (blockade) kwenye njia hiyo muhimu ya usafirishaji wa mafuta, Trump alisema kuwa Marekani ilikuwa “imesikitishwa sana...
● Rais wa Uturuki Erdogan:
Je, kuanzisha adhabu ya kifo si kwa wafungwa wa Palestina pekee kimsingi ni ubaguzi wa rangi? Je, si kutumia sheria kama chombo cha ubabe wa kibaguzi? Je, kimsingi kuna...
Najua kaamua kumuonyesha Mmarekani kwamba mimi pia nakuja! Hizi za hadharani, za sirini je???
Nuclear triad
China for the first time displayed a full array of nuclear weapons that can be...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.