[emoji635][emoji1690] Ndani ya muda dunia imepata kujua nani bora zaidi duniani kwenye nyanja ya Diplomatic Kijeshi na Technolojia tumeona jinsi Urussi ilivyo survive kwenye vikwazo vingi kuliko...
Waziri mkuu wa Israel mh Benjamin Netanyahu amelitaka Jeshi la nchi hiyo kupeleka Kwenye Cabinet Mpango wa Kusafisha Jiji la Rafah na kuwaondoa Wapalestina wote bila kuwadhuru
Hata hivyo balozi...
December 23, 2023
VT Condemns the ETHNIC CLEANSING OF PALESTINIANS by USA/Israel
$ 280 BILLION US TAXPAYER DOLLARS INVESTED since 1948 in US/Israeli Ethnic Cleansing and Occupation Operation...
Bunge la Madagascar limeidhinisha sheria mpya ambayo itawafanya watu waliopatikana na hatia ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto kuhasiwa na kuhukumiwa kifungo cha maisha jela.
Kwa mujibu wa...
Shirika la Haki Za Binadamu la Amnesty limesema Madagascar inafaa kuachana na Sheria mpya inayoruhusu kuhasiwa kwa kuchomwa sindano au kufanyiwa upasuaji kwa watu waliopatikana na hatia ya ubakaji...
Takriban watu 35 hawajulikani walipo baada watekaji kuwachukua wageni waalikwa waliokuwa wakirudi kutoka harusini huko kaskazini magharibi mwa Nigeria, mafisa wameliambia shirika la habari la AFP...
Wanakumbi.
Waasi wa Houthi wa Yemen walishambulia meli nne za kivita za Marekani katika Bahari Nyekundu katika muda wa saa 24 zilizopita
Ndege ya Jeshi la Wanamaji la Uingereza HMS Diamond...
Korea Kusini ni nchi ndogo sana, ina 100 Sqkm za mraba.
Ni nchi iliyoendelea sana kiuchumi, ki technologia.
Uzalishaji wa umeme wa hii nchi ni gigawatts 143. Gigawatts 143 ni sawa na megawatts...
Ni jambo LA kusimitisha Sana kuona nchi ndogo kama Singapore ikiwa na uchumi mkubwa kuliko taifa lolote ndani ya bara LA Africa
Ukubwa wa Singapore ni kama tu wilaya ya kigamboni. Ina raia...
Video kutoka eneo la tukio inamuonyesha gaidi mwenye umri wa miaka 14 akimkimbilia afisa wa Israel akiwa na kisu na kujaribu kumuua
Afisa mwingine anakimbia kuelekea kwa gaidi huyo na kisha...
Na hapo movie ndio inaanza tu....
US launches retaliatory strikes in Iraq, Syria; nearly 40 reported killed
The strikes hit targets including command and control centers, rockets, missiles, and...
Wengi wanadhani WAZAYUNI ni WAYAHUDI kitu ambacho sio sahihi kabisa
Huitaji kuwa MYAHUDI kuitwa MZAYUNI.
ndio maana RAIS WA USA JOE BIDEN alitamka wazi kuwa YEYE NI MZAYUNI na sio MYAHUDI...
Pakistan imezuia Huduma ya Internet kwa simu za mkononi nchini kote wakati zoezi la kupiga kura lilipoanza leo Februari 8, 2024 katika Uchaguzi Mkuu, huku Wizara ya Mambo ya Ndani ikisema uamuzi...
Hii Ndio Taarifa ya huzuni kabisa iliyotangazwa na BBC hivi punde
Imefafanuliwa zaidi kwamba waliokufa ni Mateka 31 Kati ya wale wanaoshikiliwa na siyo wote
Hali ni mbaya Mashariki ya Kati...
Mji umebaki ukiwa, watu wameuawa na wengine wengi kupoteana, mpaka sasa kama HAMAS hawajutii, bila shaka hao ndio magaidi wa dini haswa.
Recently, the United Nations agencies have released...
ZIMBABWE: Waziri wa Habari wa Zimbabwe, Jenfan Muswere amesema Bunge la nchi hiyo limekubaliana na pendekezo la Serikali kufanya mabadiliko ya Sheria ya Adhabu yanayotaka kufutwa moja kwa moja kwa...
BULGARIA: Wakulima wakubwa na Wadogo wameandamana kwa siku ya pili walishinikiza Serikali kuweka Uongozi Unaowajibika pamoja na kuongezwa kwa Fedha za Ruzuku ya Kilimo nchini humo.
Kamati ya...
Kutokana na mashambulizi ya Houth Uingereza imesalimu amri na kuamua kuindoa manowari yake moja ambayo imepata hitilafu za makombora ya wa Houth katika redsea.
Michuano ya 34 ya Kombe la Mataifa ya Afrika inaendelea nchini Cote d'Ivoire. Kwenye lango la kuingia katika Uwanja wa Olympic wa Abidjan, mji mkuu wa kiuchumi wa Cote d'Ivoire, mashabiki kutoka...