Pakistan yazuia Intaneti kwa simu za Mkononi huku zoezi la Kupiga kura likiendelea

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616
Pakistan imezuia Huduma ya Internet kwa simu za mkononi nchini kote wakati zoezi la kupiga kura lilipoanza leo Februari 8, 2024 katika Uchaguzi Mkuu, huku Wizara ya Mambo ya Ndani ikisema uamuzi huo ni kutokana na hali mbaya ya Usalama Nchini humo

Siku moja kabla ya Uchaguzi, (Februari 7, 2024) mabomu Mawili yalilipuka na kuuwa watu takriban 28 karibu na Ofisi za Wagombea, hivyo kuongeza hofu kwamba vituo vya kupigia kura vinaweza kulengwa na kushambuliwa

Kabla ya Uchaguzi huo Wakosoaji walionya kuwa kuzuia Intaneti kunaweza kudhoofisha juhudi za Chama cha Waziri Mkuu wa zamani Imran Khan cha Pakistan Tehreek-e-Insaf (PTI) kinachotegemea sana Mitandao ya Kijamii kueneza ujumbe na siasa zake

Wananchi wa Pakistan wanapiga kura kuchagua Serikali ya Kitaifa na Wabunge, ambapo Bunge litateua Waziri Mkuu wa baadaye

..........


Pakistan suspended mobile internet service across the country on Thursday just as voters went to the polls for the country's general elections, adding to the controversy swirling around the process.

The Interior Ministry said in a statement that mobile internet service was being restricted due to the country's deteriorating security situation. On the day before the elections, twin bombings killed about a dozen people near candidates' offices, fueling fears that voting stations could be targeted.

In the run-up to the polls critics warned that internet restrictions could hamper efforts by jailed former Prime Minister Imran Khan's Pakistan Tehreek-e-Insaf (PTI) party to get out the vote. The PTI, currently at odds with the country's powerful military establishment, relies heavily on social media to spread its message. Its virtual rallies appeared to be targeted by network outagesduring the campaign.

 
Back
Top Bottom