International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Huwa mnaambiwa mjitoe mhanga ili muwahi mabikira 72, ila makamanda wanaogopa kufa wanakamatwa hai.... The IDF announced on Thursday that in its four-day operation in Shifa Hospital in northern...
9 Reactions
59 Replies
4K Views
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed, alikihutubia kwenye runinga ya kitaifa tarehe 23 Machi, 2024 kuwa nchi hiyo inatarajia kupitisha sheria kuruhusu wageni kumiliki ardhi na nyumba nchini humo...
1 Reactions
6 Replies
733 Views
Ukraine inasema mji wa kusini wa Mykolaiv umekumbwa na mashambulizi ‘’mkubwa’’ ya Urusi kufanya mashambulizi usiku kucha. Mmoja wa watu tajiri zaidi wa Ukraine, Oleksiy Vadatursky, na mkewe Raisa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Matumaini ya kupatikana nafuu kwa wapalestina karibia milioni 2 na nusu wanaoangamia kwa vita na njaa yameanza kupatikana. Katika mazungumzo ya kusitisha vita baina ya Israel na Hamas kila upande...
0 Reactions
4 Replies
711 Views
Mamia ya wanafunzi wa kike wametekwa nyara katika jimbo la Kaskazini-magharibi la Zamfara, BBC imeelezwa. Mwalimu amesema takribani wanafunzi 300 wamechukuliwa wakati wa shambulilio la siku ya...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Nini kinaendelea Urusi? Leo Msemaji wa Kremlin bwana Peskov amekiri mbele ya vyombo vya habari kwamba sasa Urusi iko vitani rasmi. Amesema kilichoanza kama oparesheni maalumu ya kijeshi( maarufu...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Bandari ya Eliat kusini mwa Israel inakusudia kuwapunguza wafanyakazi wake zaidi ya nusu baada ya mamlaka ya bandari hiyo kupata ukata mkubwa uliotokana na kukosekana kwa meli zinazotumia bandari...
4 Reactions
91 Replies
4K Views
The White House has instructed the M 23 rebels to use only light weapons when engaging in the figthing,and also to get out of DRC. This is very humane for The White House to say such a thing...
0 Reactions
0 Replies
438 Views
Vita vya mara kwa mara nchi DRC ni usumbufu wa nchi ya RWANDA.sasa sioni maana ya kuwa member wa EAC wakati nchi mwanachama anakuletea usumbufu wa mara kwa mara. Kama EAC haitangilia mzozo wa DRC...
2 Reactions
15 Replies
858 Views
Ni vyema hawa walioshambulia Russia wangejiripua au kujiua kwa namna yoyote ile. Ila kukamatwa kwao ni wa kuwaonea huruma zaidi. Aisee warusi wana roho za kikatili nikifikiri yanayo enda...
14 Reactions
82 Replies
5K Views
Netanyahu alikuwa anaongea na viongozi wa Afrika miaka michache iliyopita. Actually alikuwa anamnukuu Theodor Herzl, kiongozi wa Wayahudi aliyesema: "After I have freed the Jews,I will go to...
10 Reactions
36 Replies
2K Views
Imekuwa aibu kwa Marekani na azimio lake uchwara la kusimamisha vita Gaza. Kwamba halikupigwa veto moja bali duble duble Marekani ijitafakari sana. Wenye akili zao wanatambua, urafiki na...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Pwani ya Yemen limeokotwa gaidi la kimarekani Citizens in the Al-Tuhayta district of Al-Hodeidah governorate have discovered the body of an American soldier on the beach. Tayari Yemen wameifanya...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari za hivi punde no kwamba, Shirika la habar la Serikali ya urusi RUSSIA TODAY (RT) limeripoti kwamba magaid hao wamekamtwa mkoani BRYANSKI walipokua katika juhudi za kutoroka kupitia mpaka...
21 Reactions
188 Replies
11K Views
Scientists propose eating more python These big reptiles may be a sustainable meat source, if farming can be scaled up. Burmese pythons can reach lengths of 20 feet. DEPOSIT PHOTOSSHARE The...
0 Reactions
3 Replies
938 Views
Russia imerusha makombora kuelekea Ukraine yaliyopitia ndani ya Anga la Poland masaa machache yaliyopita na kusababisha Poland kurusha ndege zake F 16 lakini zilisha chelewa na kusababisha mzozo...
7 Reactions
13 Replies
2K Views
SENEGAL: Kura za Uchaguzi Mkuu utakaoamua muelekeo mpya wa Taifa hilo zinatarajiwa kupigwa leo Machi 24, 2024 ambapo Wagombea 19 wanawania nafasi ya Urais kwa lengo la kumrithi Rais Macky Sall...
2 Reactions
1 Replies
897 Views
Shirika la Exit International la Marekani limezindua mashine maalumu la kujiua iitwalo ‘Sarco Pod’ ambayo inafanya mtumiaji afurahi na kuchanganyikiwa kwa wakati mmoja kabla ya kuaga Dunia, pia...
11 Reactions
30 Replies
2K Views
Waziri mkuu wa poland, Donald tusk ameviamrisha vyombo vya usalama nchini Poland (POLISH SECRET SERVICE) kujiandaa ipasavyo kwa matokea yoyote ya kutisha ya kikanda baada shambulio la kigaidi...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Na yakatimia kweli! Intelligence ya Marekani ni habari ingine kabisa. But that doesn’t mean it’s foolproof https://youtu.be/M665-CETLH4?si=X_wFcE6FcXOZJAI6 Hii hapa habari kutoka New York Post...
8 Reactions
53 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…