Inaripotiwa mamlaka za Iran zimewatia nguvuni maafisa zaidi ya 20 wa idara za ujasusi, usalama na jeshi wa nchi hiyo pamoja na wasaidizi wao wengi kufuatia tukio la hivi karibuni la kuuwawa kwa...
Kwa kuhofia kipigo cha Iran kinachokuja serikali ya Netanyahu imewaamuru watu wote kujiandaa kupokea kipigo kutoka Iran na kwamba wasafishe mahandaki yao tayari kuishi humo.
Wakati huo huo...
Kwa mujibu wa Hamas, Haniyeh na mmoja wa walinzi wake waliuawa alfajiri ya jana Jumatano Julai 31, 2024 baada ya jengo walilokuwa wakiishi kuvamiwa na kushambuliwa.
Baada ya mauaji hayo ambayo...
Wadau hamjamboni nyote?
IDF yaendelea kutembeza kichapo kwa Viongozi wa magaidi Mashariki ya kati
Muda mfupi uliopita gaidi mmoja anayehusuka na kitengo cha silaha na fedha za kikundi hatari cha...
Weekend hii iliyokwisha mamia ya wananchi wa iran waliingia barabarani kushangilia kuondolewa vikwazo dhidi ya nchi yao, hata hivyo furaha hiyo haikuzidi ya viongozi wao
Hassan rouhan kiongozi...
Safari hii tunataka kuona uwezo wao. Nyuma hapo walituletea vidrone na vikombola vyao masaa manane viko angani.
Viliishia Njiani tu. Huwezi kumpiga mu Israeli kwa kutumia vile vitoi.
Safari hii...
Naionea huruma Taifa teule la Israel nikiangalia hii picha ya makomando wa Iran.
Wako fit balaa. Hakuna yoyote jeshi Israel anaweza piga huo msamba.
Halafu huyo aliyesimama kushoto kavaa kanzu...
Bomu lililotegwa Tehran miezi miwili iliyopita” lilimuua Haniyeh - New York Times
Chanzo cha picha,AFP
Maelezo ya picha, Ismail Haniyeh, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas, akiwasili kushiriki...
Wadau hamjamboni nyote?
Kazi inaendelea kuyaua magaidi yasiyo na Huruma
Kiongozi huyo mwandamizi anaeyenda kwa jina la Ali Abd Ali ameuawa kwenye shambulizi katika mji wa Bazourieh karibu na...
Wadau hamjamboni nyote?
Ni suala la muda tu kabla ya watajwa hapo juu kutumbuliwa
Waziri wa ulinzi yeye anasubiriwa arejee kutokea ziarani Marekani nchini Marekani. Ilikuwa atumbuliwe mapema...
Moderator tafadhali rekebisha kichwa cha habari pale mwishoni kisomeke ndani ya hotel inayomilikiwa, kuendeshwa na kulindwa vikali na Jeshi la Iran
Wadau hamjamboni nyote?
Hiyo ndiyo...
Ule ukimya wa muda mrefu wa mataifa mawili makubwa ya kiarabu sasa umefika mwisho.Mataifa hayo ni Misri na Saudi Arabia.
Misri ilitoa onyo lake dhidi ya Israel na nia yao ya kupiga eneo la Rafah...
Nigeria: Watu kadhaa wauawa kwa kupigwa risasi katika maandamano ya kulalamikia gharama ya maisha
Watu kadhaa wameuawa kwa kupigwa risasi nchini Nigeria katika mji wa Kano, kaskazini mwa Nigeria...
Wadau hamjamboni nyote
Ama kweli IDF na Mossad wako kazini na hawatanii linapokuja suala la kuwasaka Viongozi wa magaidi ya Hamas na Hezbollah.
Shambulizi moja tu chini ya ardhi laua magaidi 5...
Burundi imetangaza kuufunga mpaka wake na Rwanda ikiwa zimepita wiki mbili baada ya kuituhumu Nchi hiyo jirani yake kuunga mkono Waasi waliofanya mashambulizi kwenye ardhi yake.Mtandao wa DW...
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekuchaaa! Mawaziri Israel wapigwa marufuku kutumia simu za kawaida za smart phone
Serikali ya Israel imepiga marufuku mawaziri wake kutumia simu za kawaida za smart...
Wanigeria wakabiliwa na marufuku ya kutotoka nje ya saa 24 kufuatia maandamano
Maelezo ya picha,Waandamanaji wanapinga gharama ya juu ya maisha na kile wanachosema ni "utawala mbaya"
Mamilioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.