International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kawahishwa kwa mabikira.... The scene of an Israeli drone strike near the town of Shaat, in Lebanon's Baalbek district, July 6, 2024. (Social media; used in accordance with Clause 27a of the...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa za muda mfupi uliopita Gaidi mwingine wa Hezbollah ameuawa kwa drone ya IDF baada ya kuongoza kurusha maroketi ya kadhaa kuelekea kaskazini mwa Israel. Hata...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Hawa jamaa wameonyesha wamejipanga kusafisha mashariki ya Kati . Wamesambaratisha Gaza kila jiwe likapinduliwa huku misri ,Iran , uturuki, Hezbula na houth wakishindwa kufanya chochote zaidi ya...
20 Reactions
32 Replies
2K Views
Baada ya Iran kutangaza kujibu kwa njia ya Kijeshi dhidi mauaji ya Kiongozi wa Siasa wa Hamas Marekani imeanza kuropoka mara tutailinda Israel, Mara tunalinda Interest zetu mara tunapeleka meli 12...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Mtandao wa Reuters umeripoti Watu watatu kufariki katika maandamano yaliyofanyika Agosti 1, 2024 kwa ajili ya kupinga Utawala Mbovu wa Rais Bola Tinubu. Waandamanaji nchini huko wamelazimika...
1 Reactions
1 Replies
395 Views
Naam wakuu, karibia kila idara inaiogopa Israel, hata hapa JamiiForums kuna member alipost uzi akiomba ushauri Jinsi ya kukabiliana au kukomesha udhalimu wa Israel dhidi ya majirani zake. Uzi...
2 Reactions
32 Replies
1K Views
Kitendo cha Israel Kumuua Haniya akiwa nchini Iran kwa shambulizi ambalo hata Iran wenyewe hawajui limefanyikaje, kuwapiga wahouth na kulipua maghala yao ya mafuta na kupiga na Lebanon kwa wakati...
23 Reactions
60 Replies
3K Views
Viongozi wa Iran wanakutana na washirika wao kutoka Palestina, Lebanon, Iraq na Yemen kujadiliana uwezekano wa kulipiza kisasi kufuatia mauaji ya kiongozi mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh, aliyekuwa...
3 Reactions
44 Replies
1K Views
Israel ndilo taifa linaloongoza kwa kutengenezewa vikundi vingi vya kigaidi ili tu lisiwe na amani na pengene mpango wa viongozi wenye kutengeneza vikundi hivyo, ni kulifuta Taifa hilo. Irani...
2 Reactions
0 Replies
655 Views
Kufuatia kuuliwa kwa kiongozi mkuu wa Hamas hapo juzi,raisi Erdogan wa Uturuki amempigia simu raisi Biden na kutoa onyo kwa kusema kama ifuatavyo na kama ilivyoripotiwa na Aljazeera Turkey’s...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha na amri imeshatolewa kwa magaidi kuanza kuichakaza Israel kesho kulipa kisasi mauaji ya Ismael haniyeh Muda wa mashambuluzi ni baada ya maziko ya Ismael...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Rais Joseph Boakai amechukua hatua hiyo baada ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (GAC) kuripo kuwa Gavana Aloysius Tarlue alikataa kutoa taarifa muhimu wakati wa Ukaguzi na hivyo...
0 Reactions
3 Replies
987 Views
Inasemakana Bomb lililomuua Ismael Haniyeh kiongozi wa Hamas lilipandikizwa nyumba ya wageni miezi miwili kabla! Nyumba inayoendeshwa na kulindwa na The Islamic Revolutionary Guards Corps...
11 Reactions
27 Replies
1K Views
Hakuna Siri kwa anachopitia huyu Mzee Misiba ya watu wake wa Karibu na anaowaamini wanavyouwawa kila uchwapo Pole Wayahudi wamekusudia kumuua kwa maradhi ya Pressure tu kutokana na umri wake kama...
12 Reactions
13 Replies
1K Views
Leo wanaijeria wamefanya mgomo usio na fujo kupinga maisha magumu nchini kwao. Pichani: Je sisi tunaweza au tunasubiri upinzani. --- A curfew has been imposed in Nigeria second-biggest state...
3 Reactions
7 Replies
588 Views
Mipango ya mezani ya Israel wanayoiita baada ya vita inawafurahisha mno wafuasi wa Israel na mayahudi kote duniani.Mipango hiyo kwa upande wa pili kama inawatia huzuni wapenda haki kote duniani...
8 Reactions
63 Replies
4K Views
Hakuna kamanda wa Hamas aliyeuawa Gaza kama walivyotangaza kuwa Deif keshauawa hizo ni propaganda tu Pia hakuna kamanda wa Iran alouawa Syria hizo ni propaganda za vyombo vya habari vya Israel...
2 Reactions
14 Replies
808 Views
Rais Vladimir Putin amesema njia sahihi ya kupata amani mashariki ya kati ni kuanzisha vita kamili kauli imekuja baada Israel Jana kutuma barua ya kuomba mazungumzo na Iran pamoja na Lebanon na...
13 Reactions
65 Replies
4K Views
Amani ya Mola I we juu ya wote wapendao haki. Nchi za Magharibi na Marekani zimekuwa na mipango ya muda mrefu ya kuangamiza uchumi wa mataifa ya Mashariki ya kati na ISRAELI ndio mfanikishaji...
3 Reactions
9 Replies
730 Views
Naona maji yanazidi kuzidi unga huko Middle East Shambulizi la Hezbollah limeondoka na roho za wanajeshi 18 wa Israel papo hapo na huku makumi wakiwa majeruhi Hii inaitwa kujitumbukiza kwenye...
10 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom