johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,635
Hii Dunia mambo yanaenda kasi sana na kuna Watu ni muhimu kwa Dunia kuliko tunavyowatazama
Source: Al jazeera news
Source: Al jazeera news
Alikuwa mwizi saba akitumiwa na Qatar kuiba pesa za wafadhiliHii Dunia mambo yanaenda kasi sana na kuna Watu ni muhimu kwa Dunia kuliko tunavyowatazama
Source: Al jazeera news
Tofauti kati ya muislam na asiekuwa muislam ni swala la kifo. Muislam kufa akiwa anapigania dini yake na hsehima yake kwake ufahari sana. asiekuwa muislam kufa kwake anaogopa kwa sababu anajua huko anakoenda kumoto sana. IjumalkareemHii Dunia mambo yanaenda kasi sana na kuna Watu ni muhimu kwa Dunia kuliko tunavyowatazama
Source: Al jazeera news
hata azikwe kama Yesu, hiyo ndiyo nitolee! kama Jiwe halitarudi tena on earth kuwapoteza/kuwaua watuHii Dunia mambo yanaenda kasi sana na kuna Watu ni muhimu kwa Dunia kuliko tunavyowatazama
Source: Al jazeera news
Acha kumlinganisha papa na vitu vya kipuzMnajua Hamas, ni wapigania Uislam , wao wanadai wanapigania ardhi yao takatifu.
Kuuwawa Kwa HANIYEH ni sawa na Kuuwawa Kwa Papa Upande wa RC.
Sijui mnaonaje hapo??.
Hatakama sio Mkatoriki acha kumfananisha papa na GaidiMnajua Hamas, ni wapigania Uislam , wao wanadai wanapigania ardhi yao takatifu.
Kuuwawa Kwa HANIYEH ni sawa na Kuuwawa Kwa Papa Upande wa RC.
Sijui mnaonaje hapo??.
Pope kwa RC?Are you serious?Even an inch!Mnajua Hamas, ni wapigania Uislam , wao wanadai wanapigania ardhi yao takatifu.
Kuuwawa Kwa HANIYEH ni sawa na Kuuwawa Kwa Papa Upande wa RC.
Sijui mnaonaje hapo??.
Alikuwa mwizi saba akitumiwa na Qatar kuiba pesa za wafadhili
Angalia hii Clip
Mapesa yote hayo ashindwe kuzikwa kifalme?
View: https://youtu.be/OUMl58i4m0w?si=pVHgLFp_2pT0EtnJ