International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ukraine imethibitisha kuzamisha Submarine ya Russia itwayo The Rostov-on-Don ilyokuwa huko Crimean Peninsula, shambulio hilo pia limehusisha kuharibu mifumo 4 ya ulinzi ya S-400 iliyopo Cremea.
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Jeshi la Ukraine lipo nchini Mali likijiunga na waasi wa Tuareg wanaopambana na jeshi la Mali pamoja na Russia wakisaidiwa na mercenaries wake. Hii imefichuka baada ya Serikali ya Mali kutangaza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Vurugu hizi ni kufuatia Shambulio la Visu katika Darasa la Dansi huko Southport lililosababisha Vifo vya Wasichana Watatu wadogo, huku kadhaa wakijeruhiwa. Kulingana na Polisi, uvumi wa uongo...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndege ya mizigo ya Jeshi la Russia inashusha zana za Kivita huko Tehran ikiwa ni katika kuhakikisha package ya kipigo kwenda Israel kinafanyika kinatekelezwa kiustadi.. A military transport...
13 Reactions
96 Replies
6K Views
Hali ya usalama inazidi kuwa tete huko Tehran, Iran baada ya serikali ya nchi hiyo kuanza uchunguzi wa maafisa wake wa usalama kuhusu kuhusika kutoa usaidizi kwa Israel katika njama za mauaji ya...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Iran Issues NOTAM for "Military Action." IRGC Commanders did not show up at prayer ceremony AUGUST 01, 2024 The government of Iran has issued Notice(s) to Air Missions (NOTAM) closing certain...
5 Reactions
55 Replies
3K Views
Kufuatia viashiria vya vita kuibuka wakati wowote huko Mashariki ya Kati UK na US wameanza kuwaondoa Raia wa Lebanon na Iran Afrika Mashariki tuungane Ili nasi tuwaondoe Raia wetu kwa haraka...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
PM Sir Starmer amekemea Wahuni wanaochoma Misikiti na kushambulia Waislamu Amesema Wahuni wote wakamatwe na kutupwa Jela BBC
4 Reactions
37 Replies
1K Views
Mkiambiwa Waafrika tuungane tulijenge Bara letu, kwani Wazungu huwa hawatupendi hatusikii na tunawapenda tu.
11 Reactions
100 Replies
5K Views
Uturuki nayo imetuma Ndege mbili za mizigo yavsilaha kwenda Tehran Two days in row,at 31-07-2024 & 01-08-2024 , Airbus A400 of the Turkish Air Force flew twice to IRAN, on the route...
10 Reactions
122 Replies
4K Views
Jamaa kila wakikaa kwa amani miezi michache wanakwenda kuchokoza nyuki Israel. Na Israel huwa hataki mazoea. Hii iliyoanza October 7 2023 mpaka sasa Wa Israel takribani mia nne tu ndio waliokufa...
11 Reactions
19 Replies
1K Views
Marekani yasema kufuatia viashiria vya Amani kutoweka Mashariki ya Kati imelazimika kubadili Vifaa, Mikakati na Mbinu za Ulinzi Ili kulinda Israel. Mabadiliko hayo yanahusu kupeleka vikosi hatari...
6 Reactions
47 Replies
2K Views
Muda huu Marekani imetuma Wanajeshi 4,000 nchini Israel BREAKING: The U.S. has sent 12 warships, including the USS Theodore Roosevelt, with over 4,000 Marines and sailors to the Middle East! A...
22 Reactions
219 Replies
8K Views
Hatua inayofuata kutokana na vita kati ya Israel na Hamas itakuwa ni vita vigumu na vya muda mrefu sana. Tayari mataifa washirika wa Israel katika juhudi ya kupotosha na kupunguza athari zake...
2 Reactions
22 Replies
841 Views
Peace, Marekani imetoa taarifa rasmi ya shambulio la vita kamili kwa Israel kutoka Iran, huku mamlaka za Iran zikionya vikali nchi za Quatar, Saudi Arabia na Egypt kutoruhusu anga lao kutumiwa na...
20 Reactions
180 Replies
10K Views
Kufuatia minara yote ya simu na vinu vya umeme kubomolewa huko Gaza,Ellon Musk kwa kile kilichoonekana malengo ya kibiashara alisema ataunganisha jimbo hilo na mtandao wake wa mawasiliano wa star...
3 Reactions
7 Replies
733 Views
🚨Haijafahamika ni kwa dhumuni gani ila Iran imeagiza zana nzito toka Russia na China huku kuliwa na hofu kua ameagiza Electronic Jamming System na Iskender missile. Pia wamesisitiza specialist wa...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Hiki kikundi kidogo kwenye picha kimejumuisha Waziri mkuu, waziri wa ulinzi, IDF, Mossad, Shin bet na IAF wakijifungia kwenye hicho chumba kukujadili kukumaliza umekwisha.
54 Reactions
140 Replies
7K Views
Jeshi la Israel leo limethibisha kuuawa kwa mkuu wa jeshi la Hamas bwana Mohammed Deif kilichotokea 13 July 2024. Hamas wamekaa kimya kuhusu kifo cha huyu kamanda wao Mkuu. --- Israel's military...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Yan Hongsen mwenye umri wa miaka 11 tu kutoka nchini China aliyepewa jina la utani "Rocket boy" amekuwa gumzo katika mitandao na vyombo vya habari duniani. Hii ni kufuatia kuweza kutengeneza na...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom