International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kiongozi mkuu wa Hamas,ndugu Yahya Sinwar ametoa pongezi kwa viongozi wa Hizbullah ya nchini Lebanon kutokana na kuwaunga mkono wapalestina kwa njia ya kuwashambulia Israel bila kuchoka. Pongezi...
5 Reactions
47 Replies
2K Views
After recent rumblings surfaced of how many nations would embrace the impending BRICS Pay system, the bloc has confirmed 159 participants are set to adopt the new payment system. Indeed, the...
5 Reactions
87 Replies
4K Views
Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran Hossein Salami ametangaza Israel isubiri jibu baada ya mauaji ya mshauri wao wa kijeshi nchini Syria Saeed Abyar...
11 Reactions
102 Replies
6K Views
Rais Ian Khama, amerejea Botswana baada ya kuishi uhamishoni Afrika Kusini kwa takriban tangu Mwaka 2021. Ijumaa ya Septemba 13, 2024, alifikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka 14, ikiwemo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mahakama ya Kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewahukumu adhabu ya kifo watu 37, wakiwemo Wamarekani watatu, baada ya kuwatia hatiani kwa mashtaka ya kushirki katika jaribio la...
0 Reactions
4 Replies
829 Views
Ingawa wakristu wanajieneza kwa kupinga sana uislamu, ni wazi kwa nini uislamu umekuwa unasambaa sana Marekani siku za hivi karibuni huku ukiristo ukisinyaa. Mim ni nilikuwa nasali kanisa la...
20 Reactions
195 Replies
8K Views
Mdahalo (debate) utaanza saa 10:00 alfajiri ( Saa za Afrika Mashariki) siku ya Jumatano na itaenda hadi around saa 12asubuhi.. Kwa watakaotaka kufuatilia, TVs zote za dunia CNN, BBC, FOX NEWS...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Shirika la Umeme Nchini humo, ZESCO Limited, limetangaza mgawo Mkali wa umeme ambapo wateja wa makazi watapata umeme kwa takriban saa 3 kwa siku, kutokana na upungufu mkubwa wa umeme Kampuni hiyo...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Rais Bassirou Diomaye Faye amevunja Bunge linaloongozwa na Upinzani kwa kile kilichoelezwa ni kuondoa mvutano uliopo kati ya Wabunge na Mhimili wa Serikali. Hatua hiyo inakuja ikiwa ni miezi 6...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Toka Kamala Haris ateuliwe kua mgombea wa Urais Marekani na chama chake cha democrat, jana amefanya public interview ya 3, ya kwanza ilikua ya cnn ambayo alikua na mgombea mwenza wake, interview...
1 Reactions
1 Replies
386 Views
Ndege hiyo ya Marekani ya NAVY, Boeing P–8A Poseidon, ilikuwa ikipita katika anga la kimataifa katika Bahari ya Kusini ya China. Jeshi la China kwa kutumia vifaa vya teknolojia vyenye uwezo wa...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Mdahalo wa kwanza baina ya Donald Trump na Kamala Harris katika kinyang'anyiro cha urais wa USA umefanyika usiku wa kuamkia leo huko marekani, baadhi yetu tulifanikiwa kuufatilia kwa kina katika...
16 Reactions
110 Replies
5K Views
Shambulizi linalodaiwa kufanywa na Israel karibu na mji wa Aleppo nchini Syria mapema jana Jumatatu, lilimuua jenerali wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Saeed Abiyar, chombo cha...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakati Ukraine ikikumbwa na hamas za chini kabisa katika vita na upungufu wa askari na silaha,imeelezwa wapiganaji kutoka Chenchnya wamefanikiwa kuwasukuma nyuma wapiganaji wa Ukraine...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Wallah! sauti ya Kamala imenikosha sana, kabda akilini mwangu nilikosa sauti nzuri kutoka kwakwe nyingi ya sauti zake nilizowahi kumsikiliza nilimwona kama mtu anayeongelea puani kitendo...
1 Reactions
7 Replies
569 Views
Kwa mara nyengine tena raisi wa Uturuki ,Tayyib Erdogan amekuja na pendekezo la kupambana na Israel ili kuwatetea wapalestina na kujikinga na hatari za kujitanua kwa Israel kwenye maeneo ya...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Zaidi ya watu 179 wamefariki dunia nchini Vietnam kufuatia maporomoko ya ardhi na mafuriko yaliyosababishwa na kimbunga Yagi. Habari kutoka Vietnam zinasema watu wengine zaidi ya 140 hawajulikani...
0 Reactions
2 Replies
465 Views
Mchungaji wa Ufilipino, Apollo Quiboloy mwenye ushawishi mkubwa na aliyekuwa akisakwa nchini Ufilipino na Marekani kwa tuhuma za biashara ya ngono kwa watoto na usafirishaji haramu wa binadamu...
4 Reactions
2 Replies
717 Views
Privatisation Gone Mad or State Capture! Kenya's privatisation is nothing short of a masterclass in state capture, a system so drenched in corruption that it's impossible to discern where public...
0 Reactions
1 Replies
469 Views
Waziri mkuu wa Taifa Teule Israel ameomba radhi baada ya Mateka 6 kukutwa wamekufa Source: BBC Mlale Unono 🐼
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Back
Top Bottom