Zambia gizani, Raia kupata umeme kwa Saa 3 tuu kwa siku

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,085
1,768
Shirika la Umeme Nchini humo, ZESCO Limited, limetangaza mgawo Mkali wa umeme ambapo wateja wa makazi watapata umeme kwa takriban saa 3 kwa siku, kutokana na upungufu mkubwa wa umeme

Kampuni hiyo imesema hatua hiyo ni baada ya upungufu wa umeme kukwamisha mpango wao wa Mwanzo wa kutoa huduma ya Umeme kwa Saa 17 kwa siku, uliopangwa kuanza Septemba 1, 2024

ZESCO imesema itahakikisha huduma muhimu kama maji na afya zinapewa kipaumbele wakati wa mgawo, Pia imepanga kufunga jenereta za dizeli katika baadhi ya masoko ili kusaidia kuendeleza biashara

..........

Total darkness looms, as ZESCO tells residents to expect electricity supply only three hours a day

ZESCO Limited has announced that it will be rationing electricity to residential customers, providing less than three hours of power per day on a rotating schedule. The company cited a significant power shortfall that has hindered its ability to implement the 17-hour power rationing schedule initially set to begin on September 1, 2024.

In a statement released in Lusaka on Sunday, ZESCO attributed the decision to reduced power imports from the southern circuit through Namibia, caused by a converter fault on the transmission line. “During this import route constraint, ZESCO is receiving only 33 Megawatts (MW) of the 160 MW scheduled imports,” the statement read. ZESCO also pointed to annual maintenance works at Maamba Collieries Limited, which have temporarily removed 150 MW from the national grid.

To mitigate the impact of the power supply shortfall, ZESCO emphasized that it would provide up to three hours of electricity per day to residential customers on a rotational basis to ensure access to essential household needs, such as water pumping. The company also stated that it would prioritize essential services like health, water pumping, and security.

Additionally, ZESCO announced plans to install diesel-powered generators in some markets to support business continuity.

“With the installation of these generators, ZESCO also expects to ease grid pressure by freeing up some power initially reserved for exempted loads, which can then be redistributed on the network,” the statement added.

Source: Zambia Monitor
 
Shirika la Umeme Nchini humo, ZESCO Limited, limetangaza mgawo Mkali wa umeme ambapo wateja wa makazi watapata umeme kwa takriban saa 3 kwa siku, kutokana na upungufu mkubwa wa umeme

Kampuni hiyo imesema hatua hiyo ni baada ya upungufu wa umeme kukwamisha mpango wao wa Mwanzo wa kutoa huduma ya Umeme kwa Saa 17 kwa siku, uliopangwa kuanza Septemba 1, 2024

ZESCO imesema itahakikisha huduma muhimu kama maji na afya zinapewa kipaumbele wakati wa mgawo, Pia imepanga kufunga jenereta za dizeli katika baadhi ya masoko ili kusaidia kuendeleza biashara

..........

Total darkness looms, as ZESCO tells residents to expect electricity supply only three hours a day

ZESCO Limited has announced that it will be rationing electricity to residential customers, providing less than three hours of power per day on a rotating schedule.
The company cited a significant power shortfall that has hindered its ability to implement the 17-hour power rationing schedule initially set to begin on September 1, 2024.

In a statement released in Lusaka on Sunday, ZESCO attributed the decision to reduced power imports from the southern circuit through Namibia, caused by a converter fault on the transmission line.
“During this import route constraint, ZESCO is receiving only 33 Megawatts (MW) of the 160 MW scheduled imports,” the statement read. ZESCO also pointed to annual maintenance works at Maamba Collieries Limited, which have temporarily removed 150 MW from the national grid.

To mitigate the impact of the power supply shortfall, ZESCO emphasized that it would provide up to three hours of electricity per day to residential customers on a rotational basis to ensure access to essential household needs, such as water pumping.
The company also stated that it would prioritize essential services like health, water pumping, and security.

source: Zambia Monitor
Afrika inabaki kuwa Afrika tu.
"Let us agreed that Black people cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Kipindi unasema hivyo jirani zako Namibia wanaishi vizuri tu.
Wacheni vijisababu na muanze kujitambua ama tuanze kujitambua.
 
Hivi Wachina waliotaka wapewe kuendesha hili shirika, walipewa?

Ova
 
Tanzania tuliteseka sana na umeme kabla ya Magufuli na mama Samia kufanya jambo lao kule stieglers gorge
Kwa kuwa bado hata ulioongezwa ni umeme wa vyanzo vya maji, wala hatuko salama sana. Wahimize nchi iwe na mifumo ya kisasa ya kuzalisha umeme.

Ova
 
"Let us agreed that Black people cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
  • Despite rapid progress in electricity access across developing Asia and Pacific, millions still lack access to adequate electricity supply, or have none at all.
 
Kipindi unasema hivyo jirani zako Namibia wanaishi vizuri tu.
Wacheni vijisababu na muanze kujitambua ama tuanze kujitambua.
Kwa nini mpaka uende Namibia huko kote je nchi yako yenyewe ikoje..?
 
Bila Magufuli muda huu tungekuwa tunateseka. Sasa hawa wasibweteke wakidhani umeme wa Stiegler unatosha. Tunatakiwa walau tufikishe MW 10,000.
Puuzi wewe. Magu ameondoka akiwa na 22% tu huko bwawa la Nyerere. SSH ndiye wa kumsifu kutoka kujenga hadi kuzalisha
 
Back
Top Bottom