International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wanaukumbi. Israel itawapa makaazi ya kudumu takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza. Haya nafasi ndiyo hiyo Waisrael weusi wa; Tunduma...
13 Reactions
113 Replies
3K Views
Ni rahisi sana kuhubiri kuhusu free market (Biashara Huria) iwapo upo kwenye advantage. Lakini ukiwa unajitafuta biashara huria ni ugonjwa mbaya sana. Nchi za magharibi zimehubiri sana kuhusu...
14 Reactions
36 Replies
2K Views
Kwenye mdahalo wa wagombea uchaguzi huko Marekani uliofanyika hapo jana,mgombea uraisi kupitia chama cha Democratic, Kamala Harris ameahidi kuendelea kuipa nguvu Israel kuendelea kujilinda dhidi...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Mgombea Urais wa Marekani Rais mstaafu Donald Trump amekuwa consistent na hoja yake (pia hajaikanusha)aliyoitoa wakati wa mdahalo kwamba katika mji wa Springfield Ohio wananchi wanakula paka na...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Benjamin Netanyahu amezidi kukasirishwa na usugu wa kimapigano wa Houth ambao hawana hofu kabisa kulenga shabaha maeneo nyeti ya Israel. Bila shaka masaa machache yajayo dunia inaweza ikashuhudia...
8 Reactions
58 Replies
3K Views
Ni kipi hasa kinaendelea huko kwa kina Oga, Tulishazoea kwa muda mrefu Naira moja ni shilingi 5.x ila kwa sasa imeshuka mpaka 1.79
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Mzuka umepanda. Sio mbaya kujifunza kwa aliye Fanikiwa. USA 🇺🇸 wamepeleka kikosi hiko ili kupata uzoefu wa kupambana na drone na Electorinical war fare. Zama za kupigana vita Ofisini...
9 Reactions
99 Replies
4K Views
Uvamizi huo umefanywa na vikosi maalum vya Israel kwenye "kituo cha kutengeneza makombora cha Hezbollah" nchini Syria. Serikali ya Israel haijasema lolote kuhusu operesheni hiyo ambayo kwa mujibu...
15 Reactions
85 Replies
3K Views
1. Hapo kabla eneo lote lilikuwa koloni la Uingereza baada ya himaya ya Ottoman kushindwa vita ya dunia, ndipo uingereza akachora mipaka kuwe na Israel na Palestine, upande wa Israel hawakuona...
9 Reactions
71 Replies
3K Views
For many years, nuclear-escalation theory has believed that countries with atomic weapons were mostly exempt from attack because an aggressor could trigger another world war. Even relatively small...
2 Reactions
6 Replies
842 Views
Siku moja tu tangu wanamgambo wa Houth wavurumishe kombora la ballistic katikati ya Israel,mmoja ya wasemaji wao amesema wana makombora ya kutosha ya masafa marefu kuendeleza vita na Israel...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Ryan Wesley Routh: Picha na Reuters. Shirika la upelelezi la FBI laendelea na uchunguzi wa jaribio la kumuua mgombea wa kiti cha uraisi wa Marekani bwana Donald Trump katika viwanja vya mchezo wa...
8 Reactions
23 Replies
3K Views
Uzuiaji wa makombora ya Iran 110 yaliyofanywa na Israel majuzi imeishtua dunia nzima. Hata hivyo kwa India tukio hili lina umuhimu wa kipekee kabisa kwa kuzingatia ushirikiano kati ya Israel na...
10 Reactions
57 Replies
3K Views
Kwa sisi tunaofutilia siasa za dunia kwa maslahi mapana ya nchi yetu, macho yetu yanaangalia kwa umakini kampeni za urais zinazoendelea Marekani. Siasa ina mambo mengi. Kuna michezo michafu pia...
0 Reactions
7 Replies
903 Views
Serikali imetangaza kurejea kwa Ugonjwa wa Kipindupindu nchini humo ikiwa ni ndani ya miezi miwili tangu iliporipotiwa kumalizika kwa maambukizi. George Jobe, Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa...
1 Reactions
6 Replies
768 Views
Mtu mmoja aliyekuwa na silaha amesababisha maafisa wa usalama wa Donald Trump kupiga risasi Hata hivo walinzi maalumu wa Trump walijibizana Kwa Risasi, haijafahamika mpaka Sasa ikiwa Wamemuua...
4 Reactions
48 Replies
6K Views
Wanaukumbi. Jeshi la Israel limethibitisha kwa mara ya kwanza habari zilizoripotiwa na Channel 12: mateka Ron Sherman, Nick Beizer, na Elia Toledano waliuawa kutokana na mashambulizi ya...
2 Reactions
5 Replies
619 Views
Marekani na Washirika wake wamepeleka zana nyingi mashariki ya kati kwa lengo la kuikinga Israel dhidi ya Makombora toka Iran na Yemeni leo tumeshuhudia Israel imepeta kipigo cha aibu makombora...
17 Reactions
159 Replies
6K Views
Bibi Jacquie anaishi katika kijiji cha Mayeba kilichoko misituni kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ingawa kijiji hicho kiko karibu na migodi maarufu ya KFM na TFM, ambayo ina...
0 Reactions
0 Replies
360 Views
Hili ni shambulizi kubwa zaidi kufanywa na Kombora na kuleta uharibifu mkubwa hivi. Hili kombora limeleta maafa makubwa sana upande wa Israel inaripotiwa kuna majeruhi wengi sana na vifo bado...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom