Leo hii unaenda dubai unakutana na watu wa kila aina wenye misimamo na dini za kila aina, ili hali waishi kuendana na sheria za U.A.E
Hawa walikataa ujinga wa kuwa wahanga wa wapumbavu wachache...
Naona Firstpost hawataki mchezo.
Wanaendelea kumkomalia kooni na coverage yao ya yanayojiri nchini kuhusiana na maandamano yaliyofanyika [au ambayo hayakufanyika] jana/ juzi tarehe 23 Septemba...
Mkuu wa Hezbollah, Hassan Nasrallah amepotezwa
Kiongozi huyu mwenye ushawishi mkubwa (charsmatic leader) ameiongoza Hezbollah kwa miaka 33 yaani kutoka 1992 hadi 2024. Alikuwa nyota kuu ya...
Aiseeh!
Hii vita ya Israel Vs Hezbollah na haya mauaji ya safu ya UONGOZI wa Hezbollah ukisoma huko mitandaoni hasa mtandao X na Facebook utagundua Waarabu hawapendwi Dunia nzima.
Sio China...
Wadau hamjamboni nyote?
Kiongozi Mkuu wa Hezbollah ataongea na waandishi habari Leo jioni saa 12
Itakuwa hutuba ya kihistoria itakayotikisa Dunia yote
Tutakujuza
Live UpdateFrom the Liveblog...
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera ameitaka jumuiya ya kimataifa kufikiria kufanya marekebisho na pengine kufuta madeni ya nchi za Afrika.
Akihutubia kikao cha 79 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa...
Israel ambaye alikuwa anajisifu yeye ni super power hakuna hata risasi inaweza kupenya, leo hi analia na kupiga kelele Iran anataka kunipiga namba mnisaidie😄
Iran kafanikiwa kushinda vita kabla...
Naye hakusazwa, alikua kwenye harakati za kuratibu shughuli za magaidi wa Waislamu, Hezbollah.
Kawahishwa kwa mabikira.
Aise Myahudi namba mbaya.
-------++
Iran Revolutionary Guards' deputy...
Ni rasmi ameuawa jana kwenye Makao makuu ya Hezbollah -Beirut kwa mashambulizi ya ndege za F35 ambapo eneo alilokuwemo lilipigwa na bomu la bunker lenye pound tani 2000.
Hassan Nasrallah...
Maoni halisi nje ya utawala wa Iran na News za kidomodomo Aljazeera na Press TV.. Mioyo wa Muslims
The assassination of Mohammad Reza Zahedi, prominent commander of the IRGC and head of its...
Wanaukumbi.
Sayyid Hassan Nasrallah kuhusu uwongo wa Israel:
Adui alidai kulenga roketi 6,000 na drones na alikuwa na furaha kuzuia mashambulizi. Mawazo yao ya Hollywood hata yaliwafanya kudai...
Hezbollah ilianzishwa rasmi mnamo mwaka 1985 huku lengo kuu ikiwa ni kulinda ardhi ya Lebanon dhidi ya utawala wa Israel kuivamia Lebanon.
Hezbollah ina askari ambao ni muslims, shia, sunni na...
Jamaa wanajua wanawindwa na Israel halafu wanakula kula hovyo hovyo, haya wamewahishwa kwa mabikira....
The poisoning appears to have targeted the leadership, as all four of those killed have...
zamani tulisikia mtu kajilipua kwenye daladala huko Tel aviv, mtu kajivika mabomu na kujilipua mtaani.
Lakini hadi sasa ni karibu miaka 10+ sijawahi kusikia kuna mtu kajilipua huko middle east...
Anasema hakuna sehemu Iran na middle east yote ambapo mkono wa jeshi la Israel hauwezi kufika.
My take
Kuna haja ya Iran na wadau wake waweke tofauti zao na Israel pembeni. Maana Israel kwa sasa...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kutokea Lebanon
Wenye nchi yao sasa wamecharuka wanataka Hezbollah wafurushwe nchini mwao na Serikali yao iwe na mamlaka kamili ya kutawala Kwa nchi yote ya...
19:30 TODAY THURSDAY SEPTEMBER 19,2024
LATEST UPDATES FROM THE SPEECH OF HEZBOLLAH CHIEF NASRALLAH:
Israel strikes southern Lebanon as Hezbollah leader condemns fatal device attacks
Israel has...
Hezbollah wametuangusha sana, pamoja na mikwara yao yote wamechakazwa nje ndani kwenye mfumo mzima wa uongozi, anaehema ni moja tu kati ya 11 waliomalizwa akiwamo kiongozi mkuu, huo msako...
Habari wanajf.
Nimeamua kuandika uzi huu ili myakumbuke pia madhila yanayowakumba ndugu zetu kutoka Sudan. Sio kila siku tunazungumzia habari za Ukraine na Israel.
Lazima waafrika tuamke na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.