Chanzo cha picha,AFP
19 Septemba 2024
Takribani watu 20 wameuawa na zaidi ya 450 kujeruhiwa na wimbi la pili la milipuko kutoka kwenye vifaa vya mawasiliano visivyo na waya nchini Lebanon, wizara...
Mwili wa Kanali wa Guinea ambaye alitoweka karibu mwaka mmoja uliopita uliwasilishwa jana kwa mkewe katika mji mkuu wa Conakry, mmoja wa Wanasheria wao alisema.
Kanali Celestin Bilivogui ni afisa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kila siku huwa ninawaambia na kuwaelekeza mambo mengi sana juu ya changamoto katika uongozi.huwa ninawaambia kuwa changamoto huwa hazikosekani.
lakini kikubwa...
Chonde chonde Watanzania mlioko Lebanon rudini nyumbani tafadhali
Ni Wazi Israel haitarudi nyuma hivyo twawasihi Wakati mataifa makubwa duniani yanaondoa Watu wao nanyi rudini nyumbani
Ahsanteni...
Hayo mliosema Yemen hata jibu mko wapi, huko Israel kunawaka moto. Missiles za Al Houth zimeisha fika Central Israel na bado watajuta, wanafatwa kwa miguu safari hii...
Baada ya mashambulizi yasiyokoma kutoka Lebanon kwenda Israel, siku ya jana Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alikutana na maafisa wa kijeshi na usalama na kuja na uamuzi wa kuanza...
Viongozi wanaoheshimika wamekwisha Afrika. ANC kitasambaratika kwasababu ya kukamiana wenyewe kwa wenyewe na kutengeneza a vicious cycle. Ramaphosa na mbeki wanamsulubu legendary mwenzao Zuma...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa za muda mrefu uliopita ni kuwa Jeshi la Israel IDF limeanza kuitembezea kichapo Lebanon kujibu mapigo dhidi ya shambulizi la magaidi ya Hezbollah.
Taarifa kamili...
NBC News wametangaza kifo cha Dame Maggie Smith, kilichothibitishwa na watoto wake na mratibu wa habari. Wanawe, Chris Larkin na Toby Stephens, walitoa taarifa ya pamoja wakisema:
"Kwa huzuni...
Katika medani za kivita IDF ndio jeshi bora zaidi kwa record za kukacover military missions duniani akiwa na washirika wake na katika kitengo cha ujasusi Mossad ndio wanaongoza positive plus...
Baada ya vita kali toka mwaka 2013 hatimaye refinery ya Dangote imeanza kazi. Mwaka 2013 Dangote alitangaza kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta. Gavana wa jimbo alilotaka kujenga akataka rushwa...
Baada ya mashambulizi makubwa hapo jana yaliyofanywa Lebanon na jeshi La Israel kwenye maeneo IDF iliyosema ni zaidi ya 1300.
Muda huu Hizbullah wanarusha mvua ya maroketi kuelekea vituo vya...
Inaaminika siku za kuishi Zelensky zinakaribia kufika ukingoni. Anasema mchambuzi mwandamizi wa maswala ya kivita na siasa za kimataifa Scott Ritter, ambaye nijasusi mstaafu wa US.
Ritter...
Mkutano wa Kilele wa Zama Zijazo wa Umoja wa Mataifa hivi karibuni ulipitisha “Mkataba wa Zama zijazo”, ambao unaelezea muhtasari wa maendeleo ya siku zijazo duniani. Lengo la Mkataba huo ni...
Zaidi ya walebanon 580 wamekufa Toka Jana Hadi Leo kwenye mashambulizi ya anga ya Israel pia zaidi ya watu 1,835 wamejeruhiwa.
Waziri wa afya wa Lebanon ametoa ripoti hii Leo asubuhi
Toka Jana...
Narudia tena Israel anaenda kupigwa vibaya mno na Wana Lebanon Hezbollah.
Kwa kilichowahi kutoka 2006 ambako Israel alipigwa na Hezbollah Hadi akakimbia ndio naona hii inatokea tena,
Hezbollah...
Marekani tayari ina jumla ya askari 400,000 maeneo ya mashariki ya kati pamoja na meli kadhaa za kivita zilizowasili hivi karibu muda mfupi kabla Israel kuanza mashambulizi makali nchini Lebanon...
Ghala hilo kubwa lilikuwa limejengwa sehemu yenye makazi ya watu kwajili ya kutunzia silaha za kuishambulia Israel.
Baada ya kushambuliwa, silaha hizo zimeanza kufumuka bila mpangilio, nyumba...
Chama Kikuu cha Upinzani (PUDEMO) Nchini Eswatini, kimesema hali ya Afya ya Kiongozi wake, Mlungisi Makhanya inaendelea kuimarika baada ya kulishwa sumu akiwa Uhamishoni Afrika Kusini, katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.