International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ukisoma historia ya Lebanon, hadi miaka ya 1960, ilikuwa nchi ya Wakristu. Kama ilivyo kawaida kwa jamii za Kikristu, Focus yao kubwa ilikuwa ni elimu, kusali na kufanya kazi kwa bidii, hii...
17 Reactions
58 Replies
3K Views
Naona kama Urusi anachelewa lewa sana na anaona huruma Hivi Urusi wanangoja nini kumuua huyu mjinga? Mtu ambaye anauza watu wake kwa ajili ya madola ya kibeberu anawezaje kuwa rais? Huyu...
13 Reactions
66 Replies
3K Views
Al Jazeera inaripoti maelfu ya wananchi wa Iran jijini Tehran wameanza kukimbilia barabarani tayari kwa Maandamano ya kupinga Mauaji ya Kiongozi Mkuu wa Hezbollah mh Nasrallah Ngoja tuone
18 Reactions
77 Replies
6K Views
Hezbollah wamesema hatimaye Mwili wa Kiongozi wao hayati Nasrallah umepatikana baada ya kazi kubwa sana ya kuchimbua kifusi. --- The body of Hezbollah leader Sayyed Hassan Nasrallah has been...
13 Reactions
41 Replies
4K Views
Haya ni sehemu ya maelezo ya jinsi jeshi la Israel linavyoshambulia. @ Maelezo haya ni kama yanaleta maana fulani hivi.
5 Reactions
8 Replies
680 Views
Katika pitapita zangu za nyuzi zinazotoa taarifa kuhusu vita vya huko mashariki ya kati na jinsi Israel anavo waadabisha majirani zake, niimekutana na hili swali "Kwanini Houthi, Hamas...
8 Reactions
35 Replies
1K Views
Hahaha mwamba anasema tangu kipindi cha Daudi na Solomon hadi sasa Israel wanatumia majini na sayansi ya nyota katika harakati zao za Kivita. Msikilize zaidi katika video.
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Mwanasheria wa kimataifa Robert Amsterdam apanga kufikisha madai kwenye Jumuiya ya Madola ya kuitaka jumuiya hiyo kuifuta uanachama Tanzania kutokana na mambo yanoendelea nchini hususan watu...
8 Reactions
29 Replies
2K Views
Baadhi ya walokole aka wayahudi weusi wa JF ni kama hawana akili kabisa zimeisha kwa kukanyaga mafuta. Kama ulikua hujui kuwa RAIS wa LEBANON anatakiwa lazima awe MKRISTO, wacha nikufahamishe ili...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Mpaka sasa kuna mateka wa kutosha wa Israel hapo Gaza. Hapa naizungumzia Gaza ambayo asilimia 85% ya majengo yake yameharibiwa na Israel Nazungumzia Gaza ambayo Israel alipeleka wanajeshi kama...
0 Reactions
6 Replies
622 Views
Hezbollah imethibitisha Jumapili kwamba kiongozi wake wa juu Ali Karaki aliuawa katika shambulio la anga la Israeli kwenye kitongoji cha kusini mwa Beirut, shambulio ambalo pia liliua kiongozi wa...
3 Reactions
6 Replies
624 Views
Mapema leo huko Tel Aviv kumetokea mlipuko karibia na ubalozi wa Marekani na kusababisha majeraha. La kujiuliza ni aina gani ya drone iliyotumika kwenye shambulio hili yaani watu wanastukia kitu...
13 Reactions
174 Replies
7K Views
Kiongozi wa Hezbollah mh Nasrallah amesema wamefanikiwa kuyapiga picha maeneo yote muhimu ya Israel zikiwemo Kambi za kijeshi na sasa wanamsubiri Netanyahu aseme "su" Ili wamuwashie moto...
18 Reactions
77 Replies
6K Views
Oil tanks burn at the port in Hodeidah, Yemen, Saturday, July 20, 2024. The Israeli army said it has struck several Houthi targets in western Yemen following a fatal drone attack by the group in...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Mi ndo naona hili ndo lililobakia.kwa kipindi hiki wakati nchi za Kiarabu zikijipanga kuishambulia Israel. Najua kwa sasa. Yemen,Iran,Palestine, Syria zitakuwa na vikao kujipanga.
0 Reactions
2 Replies
268 Views
Hadi sasa tukiwa tunaelekea adhuhuri Chama Cha Hezbollah bado haijathibitisha Kifo Cha Kiongozi wao mh Nasrallah Israel Ndio wametawala vyombo vyote vya Habari kuanzia Ulaya, America, Asia hadi...
4 Reactions
83 Replies
3K Views
Shirika la kijajusi la Israel MOSSAD linadaiwa kutumia viumbe vya Allen's katika operesheni zao, Inaelezwa kuwa mossad wanawatumia Allen's kuwafanyia kazi zao, Kufuatia kuuliwa Kwa kiongozi mkubwa...
21 Reactions
109 Replies
6K Views
wadau hamjamboni nyote? Kazi kusafisha magaidi inaendelea Mungu ibariki Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: IDF says senior Hezbollah official Nabil Qaouk killed in Beirut airstrike...
11 Reactions
75 Replies
4K Views
Imeelezwa kuwa mfumo wa mgawanyo wa madaraka na utayari wa kimapambano ni mmoja ya mifumo bora katika vyama vya utetezi wa haki kwani huwa daima hautingishiki kutokana na vifo vya viongozi wao...
2 Reactions
10 Replies
721 Views
Msemaji wa IDF mh Hagai amesema mikono ya Kiongozi Mkuu wa Hezbollah mh Nasrallah aliyeuawa ilikuwa imejaa damu za binadamu wasio na hatia Yule alikuwa Kichwa Cha Ugaidi duniani na sasa...
15 Reactions
75 Replies
3K Views
Back
Top Bottom