International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Katika hali isiyo ya kawaida, Iran imeamua kumhamisha Ali Khamenei kutokea makazi yake ya siku zote kwenda sehemu ya siri. Iran inahofia Israel inaweza muua kiongozi wao muda wowote ule...
16 Reactions
62 Replies
4K Views
Baada ya mashambulizi mabaya kabisa ktk history ya Israel kufanyika kelele zimekuwa ni nyingi sana kushindwa kwa intelligence ya Israel ambayo siku zote imekuwa ikiheshimika. Ila jambo...
19 Reactions
112 Replies
10K Views
Israel imeandaa jeshi na imepeleka jeshi,vifaru na mifumo ya roketi mipakani na Lebanon. Na jeshi tayari limeshasogea kilometa nyingi zaidi ya Shebah farms. Ni kilometa chache tu zimebaki kwa IDF...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Hizo propaganda zenu baada ya kushindwa Urusi mumehamia Mashariki ya kati? Ukifungua page ya website ya bbc swahili kila kukicha Isreal hivi hivi huku ikishindwa kuandika kabisa mafanikio ya...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Wanaukumbi, "Upinzani wa Kiislamu nchini Lebanon sasa unachukua hatua za kijeshi dhidi ya utawala wako, ambao umeshindwa kuhakikisha usalama wako na kukuingiza kwenye vita hivi bila kuzingatia...
13 Reactions
277 Replies
12K Views
Serikali ya Iran ipo kwenye khofu endapo watajaribu kulipiza kisasi dhidi ya Israel baada ya kauli ya kibabe ya Netanyahu. vita inaweza kuwa kubwa na Tatizo la Israel huwalenga kwanza Viongozi na...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Kiongozi mkuu wa Kikundi/chama cha Kigaidi cha Hezbollah, yupo salama na mabikra 72. Ana himiza baada ya kugundulika njia rahisi ya kwenda kupokea hao mabikra ni kuwachokoza watoto wa Yakobo...
1 Reactions
2 Replies
460 Views
Kila siku humu ni mashindano tu ya kuvutia utukufu wa Mungu upande wao. Waisrael wa Simiyu wakinadi kwa nguvu zote jinsi Wana wa Israel walivyobarikiwa na kwamba ole wake kwa yeyote atakayewapinga...
3 Reactions
5 Replies
433 Views
Ukisoma maoni ya wabeba box uko U.S.A. wengi Wana chuki na Trump. Na hao hao ndo wanadanganya hapa JF kuwa Kamala Harris atashinda kirahisi sana ukweli ni kwamba mchuano ni mkali kabisa. Harris...
0 Reactions
0 Replies
328 Views
Mbio za kampeni za uchaguzi nchini Marekani zimeendelea kuwa sukari na hii ni baada ya maafisa takriban 700 wa usalama wa kitaifa na wanajeshi nchini humo kumuidhinisha na kumuunga mkono Kamala...
0 Reactions
1 Replies
806 Views
Naomba nianze kwa kudeclare interest mimi ni anti-isarel 100% ,na natamani Israeli asifanikiwe katika mapigano yake yoyote huko middle east lakini nikichambua hali ya kivita bila ya miehemko na...
14 Reactions
74 Replies
3K Views
Anaitwa Mohammed hussain srur, chief commander wa drone wa Hezbollah. Kauwawa na jeshi la anga la Israel. https://youtu.be/NLnHLkpYehk?si=IK1JJeqw15j168Px...
11 Reactions
65 Replies
5K Views
Kumetokea mlipuko kwa wafuasi wa Hezbollah ambao umesababisha madhara. Mlipuko huu umesababishwa na vifaa vya mawasiliano vya kutumia meseji tu na tena kama ishara tu! Kifaa hiki huitwa pager...
22 Reactions
272 Replies
14K Views
Hezbollah walikuwa wakitumia simu kwa mawasiliano yao. Hassan Nasrallah akawaonya Hezbollah kutotumia simu kwani kuna ueezakano simu hizo zikawa compromised na Israel. Baada ya onyo hilo ndiyo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
[emoji1630][emoji1630][emoji1630][emoji1630]Hii ni vita kamili, mstari mwekundu ulikua hakuna kwenda Beirut mji mkuu wa Lebanon au kwenda Telaviv mji mkuu wa Israel au Haifa Mstari mwekundu...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Israel has killed 450 Hezbollah terrorists since outbreak of fighting after October 7th, including half of the Lebanese terror group’s officers on the front. --- IDF has killed half of Hezbollah...
3 Reactions
71 Replies
4K Views
Nimepata kupitia speech ya rais mpya wa Iran, wakati nikiendelea kumfuatilia hapo awali alikuwa nani na alitokea wapi. Nilichogundua anajitahidi sana katika maelezo yake kujitofautisha na...
4 Reactions
7 Replies
800 Views
Wakuuu hizi ndio habari duniania Israel 🇮🇱 kupitia kikosi makini kabisa Imelipua makao makuu ya Isbollah mjini Beirut Lebanon 🇱🇧 Ikaenda na kichwa cha mkuu wao leo Huku Waziri mkuu mwenye akili...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Kamanda Mkuu wa operations za kijeshi wa kundi la Hezbollah ndugu Ibrahim Aqil ameuawa mchana leo kwa mashambulizi ya ndege za kivita za Israel Jijini Beirut nchini Lebanon. ======= Hezbollah...
25 Reactions
300 Replies
11K Views
Leo Jumatano, kundi la Hezbollah limesema kuwa ilirusha kombora la masafa marefu lililolenga makao makuu ya shirika la ujasusi la Israeli, Mossad, karibu na Tel Aviv. Hii ni mara ya kwanza kundi...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Back
Top Bottom