Wakuu hii ndiyo habari mpya kwa Sasa, Israel imetangaza dhamira ya kumuangamiza kiongozi mpya wa Hamas Yahaya Sinawar kwa kile ilichodai ni kuhusika kwake na mashambulizi ya Octoba 7 nchini...
Urusi imerudia kutoa onyo kwa Israel isithubutu kushambulia nuclear facilities ya Iran ⚡️BREAKING
Russia warned Israel against striking Iranian nuclear facilities
We have repeatedly warned and...
Jana Yahya Sinwar ameondoka Gaza akiwa amevaa Hijab
---
Hamas leader Yahya Sinwar has been hiding among Palestinians “dressed as a woman” after abandoning Gaza’s terror tunnels, Israeli...
ISRAEL ISRAEL ISRAEL
Kila nchi ulimwenguni hasa ZILE kubwa zinajikomba Kwa ISRAEL , hata UMOJA wa mataifa kuna Muda unakuwa na kigugumizi juu ya Mienendo ya ISRAEL .
Israel inaogopeka saana na...
Wadau hamjamboni nyote?
Kiongozi huyu ataongoza kundi hilo la Hamas kwa muda akisubiri uteuzi wa Kiongozi wa kudumu wa kundi hilo na anaenda pia kwa jina lake maarufu Abu Omar Hassan. Serikali...
Sisi wayahudi wa Matosa, Chamwino, Goba na kijichi hatuamini kama kweli umeogopa kulipa kisasi kama ulivyoahidi. Mkwala wote ule tukajua kesho mapema tu F 35 zinakwenda kuisawazisha Iran...
Viongozi kadhaa wa Hamas wameondoka Qatar kuelekea kusikojulikana, na wamezima simu zao.
Kulingana na idhaa ya lugha ya Kiarabu ya KAN, Saleh al-Arouri, mwanachama mkuu wa Hamas, pia aliondoka...
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa nchi za Magharibi kuwa na kiherehere cha kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine hasa katika masuala ya kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni.
Nchi hizi zimekuwa...
Uzi huu hauna cha kufanya na ushabiki wala udini.
Haipo siri Marekani na Israel ni wamoja katika kukabiliana na wanavyoita vitisho kwao. Hii bila kujali kuwa vilivyo vitisho kwao vinaweza kuwa ni...
Ni huzuni kuu kwa Hamas na washirika wake na ni furaha kwa Israeli na washirika wake
Siku 5 zilozipita Netanyahu alitangaza mauaji (assasination) ya viongozi wa Hamas na Hezbollah.
Leo IDF...
Wakuu,
Inaonekana Kamala Harris leo atafanya sherehe kwani muda mchache uliopita ametoa tamko mara baada ya kiongozi wa Hamas Yahaya Sinwar kuuwawa.
Katika tamko lake Kamala amesema kuwa dunia...
Mkutano uliopita wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC uliofanyika mwezi Septemba mjini Beijing, kaulimbiu ya “Kuungana Mkono ili kuendeleza Usasa na Kujenga Jumuiya yenye...
Hivi karibuni kiongozi wa Kanisa la Katoliki Papa Francis alihutubia mkutano wa Vatican kuhusu Msukosuko wa Madeni katika eneo la Kusini mwa Dunia", kwenye hotuba yake Papa alikemea vikali...
Baba wa Mtoto mmoja (Zahwa Arafat), Mohammed Abdel Raouf Arafat al Qudwa al Husseini ndilo jina lake halisi ingawa utotoni alipewa jina la 'Yasir/Yasser' likimaanisha asiye na makuu/Easy Going...
Weusi wamepigania Uhuru wao dhidi ya ubaguzi wa rangi (apartheid) mpaka mwanzoni mwa Miaka ya 1990s wanapata Uhuru.
Baada ya hapo, wanatokea weusi wenzao toka Zimbabwe, Malawi, Nigeria...
MODS: Mumeharibu uzi wangu kwa kuchanganya na habari za uwongo. Narudia ku-post upya. Tafadhali uacheni.
Yahya Sinwar ameteuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Hamas kumrithi Ismail Haniyeh aliyeuliwa...
Wanaukumbi.
Katika pembe tatu ya Aita al-Shaab-Ramya-Qawzah kusini mwa Lebanon wanajeshi 30 wa Israel wametolewa nje na Hezbollah.
Tazama uchanganuzi wangu na jinsi nilivyotabiri hii itatokea...
Tumeonya Sana, tumehubiri Sana, tumeshuhudia sana kuhusu Vita zinazoendelea ya middle East.
Viongozi na watu mbalimbali wameonywa Sana kuhusu taifa LA Israel. Mpango wa Mungu kuhusu Israel lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.