SOURCE BBC: Benjamin Netanyahu, Israel's defiant leader
"Katika umri wa miaka 18, alirudi Israeli, ambapo alitumia miaka mitano mashuhuri katika jeshi, akihudumu kama nahodha katika kitengo cha...
Daaaaaaaah...... Nakosa la kusema kabisa. Sielewi. Nadhani Hezbollah na Hamas sasa wabadilishe mbinu. Nani anakuwa anavujisha uwepo wao? Hii wadau imekaaje kitaalamu,kimbinu na kimedani...
Nimeisikiliza mara mbilimbili hii Clip, imenifikirisha Sana.
Imenifikirisha kwa kuwa hivi karibuni aliyekuwa Rais wa Iran, Mahmoud Ahmedinejad, alisema kuwa, kuna wakati walianzisha kitengo Cha...
Top 10 African countries with the smallest government debt mid-2024
Maintaining a low government debt is critical for African countries seeking to stimulate economic growth, raise living...
Kampuni hiyo inayotoa Huduma za Bandari yenye Makazi yake Dubai, imetangaza kuporomoka kwa faida ya shughuli zake duniani kote kutoka Tsh. Trilioni 1.76 mwaka 2023 hadi Tsh. Bilioni 718.15 mwaka...
Nchi zilizoingia kushirikiana na Iran hazina tofauti na mtu anaecheza michezo ya kipumbavu na matokeo ya mchezo huwa ni ya kipumbavu. Lebanon, Yemen, Palestine, Syria, wanaendelea kupata matokeo...
Wayahudi ni watu wenye maadili, utu na heshima.
Yahya Sinwar(kiongozi mkuu wa hamas) october 7th aliamuru wanajeshi wake wavuke mpaka, waue raia ikiwamo watoto, na kuwabaka wanawake wa kiyahudi...
Waliokuwa nyuma dhidi ya mauaji yenu wameanza kusambaratika. Wameanza kuonja mateso kama yale mliopitia.
Wapumbavu hawa👇 sasa hawapo na vibaraka wao pia wanaendeleo kudondoka.
Kufa kupo, lakin...
Nimeangalia mahojiano ya huyu jamaa Mossab Hassan Yousef sijaelewa kabisa.
Anasema bila ya kuuawa Kwa Ayatollah vita hapo Mashariki ya Kati haitaisha.
Baba yake huyu jamaa alikuwa ni...
Rais Donald Trump atakuwa Rais wa awamu moja tu. Kwasababu zifatavyo:
1. Kuingiza Marekani sera kubwa za kibaguzi
2. Uchumi wa Marekani kudorora
3. Kuwaletea hasara kubwa wakulima na wafugaji wa...
Huduma ya Kitaifa ya Ujasusi ya Jamhuri ya Korea imetoa picha za satelaiti zinazodaiwa kuwaonyesha wanajeshi wa DPRK katika uwanja wa mazoezi wa Sergeevka huko Primorsky Krai, karibu na...
Mwaka 1982 kulikuwepo na vita Kali kati ya Fatah/ PLO ya Yasser Arafat na Israel ndani ya Lebanon. Fatah wakazungukwa na majeshi ya Israel ili wamalizww ndipo Fatah/ PLO wakaomba umoja wa mataifa...
Ni aje waungwana,
Ndugu waungwana hapa jakwaani kwetu kuna vijana wengi ambao wamekuwa waki comment ujinga katika thread za watu wenye akili, na elimu kubwa kushinda wao, lengo ni kutaka...
Lebanon yaishutumu Iran kwa kuingilia masuala yake ya ndani
Chanzo cha picha, Reuters
Waziri Mkuu wa Lebanon Najib Mikati ameelezea kughadhabishwa kwake na kauli iliyotolewa na spika wa bunge la...
Hii video niliitizama Oct 2023, kipindi Israel inajiandaa kufanya mashambulizi Gaza kama retaliation ya Oct 7.
Nikaipuuzia, baadae baada ya kusikia mauaji ya watu karibu 40K nikaitafuta kwenye...
Matukio mawili ya kutisha yametokea nchini Marekani, dunia nzima imeyashuhudia na kuyasikia lakini imepigwa na butwaa na kukaa kimya, kama imemwagiwa maji ya baridi.
Ni vipigo viwili tofauti...
Wadau hamjamboni nyote?
Mkuu wa majeshi Israel aibuka na kutinga kibabe kwenye kambi ya Jeshi la Israel huko milima ya Golan Leo
---
October 14, 2024
IDF chief visits base hit in ‘serious and...
Hezbollah Leo imeshambulia kwa kombora nyumba aliyokuwepo waziri mkuu WA Israel Benjamin Netanyahu leo,
Taarifa za kuaminika kutoka Israel zinasema waziri mkuu wao alifanikiwa Ku escape huku...
Hilo halina ubishi na wa Marekani wenyewe wanajua hasa vyombo vya usalama vinatambua uwepo wa maamuzi muhimu kama Rais hufanywa na Russia hasa kwa kutumia tech ya kuhack mifumo ya kupiga na...
Dr. Umar ni mpigania haki za Watu weusi huko Marekani, anasema Dini ya Kiislamu imejikita zaidi kwenye kusambaza Uarabu na Arabization kwenye Mind ya Mtu Mweusi.
Dr. Umar Johnson kasema kuanzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.