International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Naona Rais Emmanuel macron kaamua kumpa makavu live maana jamaa anabwatuka hovyo. Nchi yenyewe imepatikana kwa kura za Umoja wa mataifa na kura ya veto ya Marekani Leo hii anawaletea kiburi UN...
25 Reactions
139 Replies
5K Views
Stuxnet ilikuwa ni programu hasidi (malware) ambayo iliundwa kwa ajili ya kushambulia miundombinu ya viwanda, hususan vinu vya nyuklia vya Iran. Iliibuka mwaka 2010 na inahusishwa na mashambulizi...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Wanaukumbi Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa imesema kuwa UNIFIL, kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Lebanon, lazima kiruhusiwe kuendelea na kazi yake, na kukataa ombi la...
5 Reactions
90 Replies
3K Views
Jeshi la ulinzi la israel limefanya shambulio la angani lililolenga Kamanda wa Hezbollah mjini beirut kufuatia shambulio lililosababisha vifo vya watoto wengi katika eneo la Golan heights eneo...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Waziri wa Ulinzi Yoav Gallant amesema mazungumzo yoyote ya kumaliza mapigano nchini Lebanon lazima yafanyike "chini ya moto" wakati wa tathmini ya hali ya eneo la...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Korea Kaskazini imetuma mabomu mazito huko Korea kusini na karibu miundombinu na madaraja Kati Kati ya jiji la Seoul. Hii unakuja mara baada ya kuonekana kwa drone za kipelelezi za Korea Kusini...
19 Reactions
122 Replies
6K Views
Jeshi la China limesema lipo tayari kukishughulikia kisiwa cha Taiwan. Linakirudisha kisiwa chake kilichoasi na imeshapeleka zana vita eneo la oparation.....meli na ndege vita kuzunguka kisiwa...
20 Reactions
186 Replies
11K Views
Wanakumbi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken na Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin waliifahamisha Israel kwamba ikiwa misaada ya kibinadamu haitaingia Gaza ndani ya siku 30, utawala wa...
7 Reactions
70 Replies
3K Views
MHESHIMIWA Léopold Sédar Senghor Rais kwa kwanza wa Senegal Alistaafu kwa hiari December 1980 MHESHIMIWA Ahmadou Babatoura Ahidjo Rais wa kwanza wa Cameroon Alistaafu kwa hiari November 1982
7 Reactions
46 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? IDF imesema kuwa imewakamata wapiganaji watatu wa kundi la Hezbollah wakati wa operesheni zake kusini mwa Lebanon. Wapiganaji hao watatu wa kikosi cha Radwan walipatikana...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
BREAKING NEWS 🚨 Iran's nuclear sites under massive cyber-attack. Almost all services of the Iranian Government have been disrupted. Important information has also been stolen as a result. Iran's...
13 Reactions
63 Replies
3K Views
Picha: Rais wa Rwanda, Paul Kagame Rais wa Rwanda, Paul Kagame amefanya mabadiliko hayo makubwa pasipo kuweka kwa sababu ya kuchukua maamuzi hayo yaliyohusisha Mkuu wa Jeshi na Waziri wa Ulinzi...
2 Reactions
66 Replies
9K Views
Au Dunia iko mtegoni ilikuyafikia yaliyosikika kabla, yasioonekana ambayo hayana budi kutokea na na kuipata Dunia? Namaanisha USA! Nawaza kuhusu Hilary nakumbuka Winnie Nov 4!
2 Reactions
11 Replies
607 Views
Wadau hamjamboni nyote? Israel imeamua na haipoi Kuanzia saa 2:30 usiku huu Waziri Mkuu Benjamin Netanyau ataongoza kikao maalumu cha baraza la mawaziri kujadili maandalizi ya kujibu shambulizi...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Inakuwaje ndani ya nchi moja wao kuwa na kauli ya "nchi yetu" wakati nchi ni China. Na hii hata hapa Tanzania wenzetu hawa Wazanzibari na kauli zao za kusema "nchi yetu" inakera sana! Kwa hiyo...
0 Reactions
3 Replies
768 Views
Kwa hizi akili za Kim Jong Un na namna ambavyo anahangaika kutafuta vita na the Western world ni dhahir kuwa nchi imemshinda na tusipokaa vizuri mjinga huyu atatupeleka kwenye WWIII Kwanza Kim...
17 Reactions
181 Replies
5K Views
Wadau hamjamboni nyote? Shughuli inaendelea huko Lebanon Gaidi anaswa live chini ya ardhi huko Lebanon, apelekwa sehemu maalumu kwa ajili ya mahojiano Mungu ibariki Israel Taarifa zaidi kwa...
9 Reactions
47 Replies
3K Views
Kwanza naanza kwa kuwapa pole Iran kwa kile kitakacho wajia hivi karibuni. Pili nataka kujua sababu iliyopelekea vita vya wenyewe kwa wenyewe za wazungu kuitwa vita kuu za dunia wakati vita za...
14 Reactions
55 Replies
3K Views
Nauliza tu maana Nilidhani ni Muhoozi peke yake ndiye Mwanajeshi hapa Africa Mashariki Nasubiri majibu 🐼
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Guterres asema shambulizi la jeshi la Israel dhidi ya kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon linaweza kuwa uhalifu wa vita. Msemaji wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres tarehe...
8 Reactions
55 Replies
2K Views
Back
Top Bottom