Waswahili wanasema uongozi ni karama. Huyu bwana sinwari anaonekana si wa mchezo mchezo.
Kwanza kaongoza Hamas tawi la kijeshi kuanzia Oktober 7 mpaka Leo. Israel anauwa Lebanon , Syria , Iraq...
Wadau hamjamboni nyote?
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei anatarajiwa kuongoza sala ya Ijumaa na kutoa hotuba ya hadhara ambayo wengi wanadhani inaweza kueleza mipango Iran baada ya...
Muhammad Kamel Naim, kamanda wa kikosi maalum cha Radwan cha jeshi la Hezibollah, kikosi maalum cha makombora ameuawa kwenye shambulio la Israel kusini mwa Lebanon.
Pia Israel imefanya shambulio...
Wadau hamjamboni nyote?
Jeshi la Israel halipoi hata kidogo na muda tayari yule Naibu kamanda alihusika na kurusha roketi Israel keshaliwa kichwa
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
3min ago...
Yeeeerrrrreeeeh!
He is dead. Kafa ama hajafa?
Hamas sympathisers sasa hivi wanajifariji wakiwa na maumivu makali ooh kila mtu atakufa sijui Hamas ni ideology.
Kwani nani hajui kila mtu atakufa...
HAVANA (AP) — A massive outage left millions of Cubans without power and prompted the government Friday to implement emergency measures to slash demand, including suspending classes, shutting down...
Wadau hamjamboni nyote?
Hiyo ndiyo Hali halisi huko Iran Kila siku wafungwa 5 wananyongwa
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Iran executes 92 prisoners in 17 days, rights groups say
2...
Kuuawa kwa kiongozi wa Hamas 'haisaidii' mazungumzo ya kusitisha mapigano, asema Biden
Rais wa Marekani Joe Biden amesema kuwa mauaji ya kiongozi wa Hamas Ismail Haniyeh "hayasaidii" mazungumzo...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya...
Ni maisha ya mashaka mashaka sana kwa kweli. Viongozi wa mashujaa wetu kwa sasa wana hali mbaya sana. Moja haikai mbili haisimami. Wanaishi kwa kujificha ficha sana. Kama panya. Wanaishi mashimoni...
Kesi ya Mwanamke aitwae Sarah Boone (46) wa Florida Nchini Marekani anayetuhumiwa kwa kusababisha kifo cha Mpenzi wake ( Jorge Torres 42) kwa kumfungia kwenye sanduku la nguo na kumsababishia...
Wadau hamjamboni nyote?
Mjisomee wenyewe hapo chini:
October 18, 2024
IDF says Hezbollah commander in Taybeh area of southern Lebanon killed in airstrike
Today, 8:12 am
2
The military...
Wadau hamjamboni nyote?
Mkuu wa majeshi ya Israel Luteni Jenerali Herz halev ametembelea vikosi vya Jeshi hilo huko Milima ya Golan
Asema kuwa Hezbollah kila siku inazidi kusinyaa na kusinyaa...
Wadau hamjamboni nyote?
Jeshi la Israel limetangaza kuwa msako wa Mohamed Sinwar ambaye ni kaka wa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hamas aliyeuawa jana unaendelea kwa kasi kubwa.
Taarifa zaidi...
Wakuu hii ndiyo habari mpya kwa Sasa, Israel imetangaza dhamira ya kumuangamiza kiongozi mpya wa Hamas Yahaya Sinawar kwa kile ilichodai ni kuhusika kwake na mashambulizi ya Octoba 7 nchini...
Urusi imerudia kutoa onyo kwa Israel isithubutu kushambulia nuclear facilities ya Iran ⚡️BREAKING
Russia warned Israel against striking Iranian nuclear facilities
We have repeatedly warned and...
Jana Yahya Sinwar ameondoka Gaza akiwa amevaa Hijab
---
Hamas leader Yahya Sinwar has been hiding among Palestinians “dressed as a woman” after abandoning Gaza’s terror tunnels, Israeli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.