Shirika la Utangazaji la Israel lisema kuwa uteuzi wa Sinwar unashangaza na ni ujumbe kwa Israel kwamba yu hai na kwamba uongozi wa Hamas huko Gaza uko imara, upo na utabaki.
Kwa upande wake...
Vikosi vya Arab Force's vinavyomuunga mkono Bashir Asad vimeteka visima vya mafuta vilivyokua vikidhibitiwa na Marekani vya Al Omar oil refinery pamoja Water station wanajeshi wa Marekani...
Nukuu muhimu wakati wa vita hiyo kutoka kitabu cha mambo ya Walawi 26:7
Leviticus 26:7
Nanyi mtawafukuza adui zenu, nao wataanguka mbele zenu kwa upanga
And ye shall chase your enemies, and...
Vita ya kwanza na yapili ya dunia ilisababishwa na Magaidi gani?
Heading inajitosheleza sidhani kama kutakua na majibu ya ngonjera mm nataka kuelewa hvo na maelezo yanayoeleweka tu.
Wanaukumbi
Mkuu wa Hamas anasema mkataba wa kubadilishana lazima uhusishe wafungwa wote wa Palestina katika magereza ya Israeli.
Inasema inawashikilia mateka zaidi ya 200 wa Israeli Gaza...
Waziri wa ulinzi wa Korea Kusini, Kim Yong-hyun, amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa kwamba wanajeshi sita wa Korea Kaskazini waliuawa katika shambulizi la makombora nchini Ukraine karibu na...
Rais wa Misri Generali Abdel Al Sisi amesema swala la kulinda maji ya mto Nile ni jambo la uhai wa Taifa la Misri na kwamba wao hawataruhusu tone hata Moja Kupunguzwa kwenye mto Nile.
Alikuwa...
Nikiangalia vyanzo mbali mbali vya milengo yote nimegundua kuwa, Israel hana presha kama ile aliyo kuwa nayo gaza. Nimegundua sababu zifuatazo:
1. Pre-emptive strike iliyopelekea kumuua...
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amezitaka nchi zote za kiarabu kuungana Ili wamshughulikie Adui
Khamenei amesema Adui wa Waislam ni mmoja tu
BBC
Huyo Adui ni nani? Yahudi au...
Mkitaka kujua anaye pigana vita hi kati ya Israel na Hamas, pamoja na Hezbullah ni US. Leo US eti anaipiga sunction Hezbullah, nimecheka kweli kweli, toka lini Hezbullah ana biashara na US. Wacha...
Elon Musk anaendelea kuboresha kanuni za mawasiliano ya mitandaoni kwa hatua nyingine ya juu kabisa.
Sasa Elon anasema kama umaweeka bandiko ama post na imechagua hilo bandiko liende kwa umma ama...
Serikali ya Taliban nchini Afghanistan kupitia Wizara yake ya Maadili, imeahidi kuanza kutekeleza sheria mpya inayopiga marufuku Vyombo vya Habari Nchini humo kuchapisha picha za viumbe hai ambapo...
Marjayoun- Lebanon.
Kifaru cha jeshi la Israeli kilifanya doria kwenye mpaka wa Israeli na Lebanon mapema leo asubuhi. Picha na Aya Margolin wa Flash90
Israeli imetangaza kuingiza majeshi yake...
IDF yagundua handaki lenye Vifaa vya kivita ambayo vingetumika kufanya uvamizi na mauaji makubwa kwa Raia wa Israel.
Handaki hilo lililochimbwa na Hezbollah kutoka kusini mwa Lebanon (Ramya)...
Tarehe 16, mwezi Oktoba ni Siku ya Chakula Duniani, na kauli mbiu ya siku hiyo kwa mwaka huu ni “Chakula chaleta usalama duniani, Kujenga kwa pamoja maisha bora na mustakabali mzuri”.
Msemaji wa...
Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu akana Israel kuangusha Helicopter iliyomuua Raisi wa Iran asema kama ingetaka kulipiza kisasi Kwa Iran Kwa shambulio waliloishambulia Israel Kwa kuwarushia...
Wakuu,
Pengine kuna kitu ntakuwa sielewi kuhusu Marekani lakini inaonekana suala la bangi kuwa halali ni suala nyeti sana huko Marekani na hii ni baada ya Harris kusema kuwa atahalalisha...
Naona Rais Emmanuel macron kaamua kumpa makavu live maana jamaa anabwatuka hovyo.
Nchi yenyewe imepatikana kwa kura za Umoja wa mataifa na kura ya veto ya Marekani Leo hii anawaletea kiburi UN...
Stuxnet ilikuwa ni programu hasidi (malware) ambayo iliundwa kwa ajili ya kushambulia miundombinu ya viwanda, hususan vinu vya nyuklia vya Iran. Iliibuka mwaka 2010 na inahusishwa na mashambulizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.