International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wanaukumbi. 🇰🇵 🇷🇺 Korea Kaskazini kutuma wanajeshi Ukraine kupigana pamoja na Urusi. Mkataba wa ulinzi uliotiwa saini kati ya Urusi na Korea Kaskazini mnamo Juni 19, 2024, unajumuisha kifungu...
12 Reactions
76 Replies
4K Views
Siku ya Leo jeshi la Israel lashambuliwa makao makuu ya ujasusi ya Hezbollah ya ujasusi, pia sehemuilikuwa ina sehemu ya kutengenezea mabomu chini ya ardhi. Jeshi la Israel limesema limefanya...
0 Reactions
5 Replies
729 Views
Ayatollah Khomen anasema Israel wana ota kama wanaweza kumshinda vita Hezbullah. Anasema Hezbullah haihitaji msada wa Iran, silaha alizo nazo ni nyingi sana. Israel amekadiria vibaya sana hawezi...
8 Reactions
47 Replies
3K Views
News alert IDF yafanya shambulizi kubwa Beirut, yalipua makao makuu ya Hezbollah, karakana ya kuunda silaha chini ya ardhi, yaua makamanda waandamizi 3 Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel...
10 Reactions
33 Replies
2K Views
Ndani ya wiki moja tumeshuhudia makombola ya Hezbollah yakitwanga kambi ya jeshi ya Israel na kusababisha vifo vya wanajeshi kadhaa na majeruhi wengi. Leo kumeripotiwa shambolio jingine...
8 Reactions
90 Replies
3K Views
Hii ni kwa ajili ya kupambana na magaidi wa Houthi wenye mlengo wa uislamu. Japo sijajua imekaa vipi maana huko Somaliland si ndio wale wale ambao wameathirika na uzombi pia...
12 Reactions
118 Replies
4K Views
Wakuu, Kuna hii video inasambaa. Baada ya taarifa kutapaka mitandaoni kwamba nyumba ya Benjamin Netanyahu imeshambuliwa na drone kutoka kwa Hezbollah na kusababisha wengi kuhoji usalama wa...
10 Reactions
54 Replies
5K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kikao kizito cha baraza la mawaziri kufanyika saa 1:30 usiku huu huko Kirya makao makuu ya Jeshi Tel Aviv. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: ======== October 20...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Esmail Qaani ni kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) la Iran, hasa tawi la Vikosi vya Quds, ambalo linahusika na operesheni za kijeshi nje ya Iran. Aliteuliwa kuwa kamanda...
10 Reactions
26 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Hajulikani nani aliyetoa taarifa hiyo iliyoleta taharuki hiyo ila hadi muda huu ofisi hizo huko Beirut zimebaki tupu baada ya Wafanyakazi wote kukimbia ili kuokoa maisha...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
SOURCE BBC: Benjamin Netanyahu, Israel's defiant leader "Katika umri wa miaka 18, alirudi Israeli, ambapo alitumia miaka mitano mashuhuri katika jeshi, akihudumu kama nahodha katika kitengo cha...
16 Reactions
77 Replies
3K Views
Daaaaaaaah...... Nakosa la kusema kabisa. Sielewi. Nadhani Hezbollah na Hamas sasa wabadilishe mbinu. Nani anakuwa anavujisha uwepo wao? Hii wadau imekaaje kitaalamu,kimbinu na kimedani...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimeisikiliza mara mbilimbili hii Clip, imenifikirisha Sana. Imenifikirisha kwa kuwa hivi karibuni aliyekuwa Rais wa Iran, Mahmoud Ahmedinejad, alisema kuwa, kuna wakati walianzisha kitengo Cha...
0 Reactions
0 Replies
288 Views
Top 10 African countries with the smallest government debt mid-2024 Maintaining a low government debt is critical for African countries seeking to stimulate economic growth, raise living...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kampuni hiyo inayotoa Huduma za Bandari yenye Makazi yake Dubai, imetangaza kuporomoka kwa faida ya shughuli zake duniani kote kutoka Tsh. Trilioni 1.76 mwaka 2023 hadi Tsh. Bilioni 718.15 mwaka...
6 Reactions
55 Replies
4K Views
Nchi zilizoingia kushirikiana na Iran hazina tofauti na mtu anaecheza michezo ya kipumbavu na matokeo ya mchezo huwa ni ya kipumbavu. Lebanon, Yemen, Palestine, Syria, wanaendelea kupata matokeo...
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Wayahudi ni watu wenye maadili, utu na heshima. Yahya Sinwar(kiongozi mkuu wa hamas) october 7th aliamuru wanajeshi wake wavuke mpaka, waue raia ikiwamo watoto, na kuwabaka wanawake wa kiyahudi...
16 Reactions
117 Replies
4K Views
Waliokuwa nyuma dhidi ya mauaji yenu wameanza kusambaratika. Wameanza kuonja mateso kama yale mliopitia. Wapumbavu hawa👇 sasa hawapo na vibaraka wao pia wanaendeleo kudondoka. Kufa kupo, lakin...
46 Reactions
166 Replies
8K Views
Nimeangalia mahojiano ya huyu jamaa Mossab Hassan Yousef sijaelewa kabisa. Anasema bila ya kuuawa Kwa Ayatollah vita hapo Mashariki ya Kati haitaisha. Baba yake huyu jamaa alikuwa ni...
11 Reactions
53 Replies
3K Views
Rais Donald Trump atakuwa Rais wa awamu moja tu. Kwasababu zifatavyo: 1. Kuingiza Marekani sera kubwa za kibaguzi 2. Uchumi wa Marekani kudorora 3. Kuwaletea hasara kubwa wakulima na wafugaji wa...
8 Reactions
67 Replies
6K Views
Back
Top Bottom