Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,086
Rais Donald Trump atakuwa Rais wa awamu moja tu. Kwasababu zifatavyo:
1. Kuingiza Marekani sera kubwa za kibaguzi
2. Uchumi wa Marekani kudorora
3. Kuwaletea hasara kubwa wakulima na wafugaji wa Marekani baada ya nchi ya China kukataa kusimamisha kununua bidhaa kutoka kwa wakulima hao.
4. Wawekezaji kusimamisha kuwekeza nchini Marekani kwa sera za Rais huyo za kiuchumi kushindwa kueleweka.
5. Kuanzisha vita vya kibiashara na washirika wa Marekani wa miaka mingi kama Canada Mexico nk.
6. Kushindwa kujenga serikali imara na kumfanya kiongozi huyo kufanya teuzi nyingi kuwahi kufanyika katika historia ya nchi hiyo.
7. Kuandika taarifa nyingi kwenye tweeter za kipuuzi.
[emoji879][emoji879][emoji879][emoji879][emoji879][emoji879][emoji879][emoji879][emoji879][emoji879]