International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mwanamke mmoja wa Irana aliyejulikana kama Ahou Daryaei amezua gumzo Teheran nchini Iran baada ya kutokelezea mtaani akiwa na nguo za beach kupinga ukandamizaji unaofanywa na polisi wa maadili wa...
16 Reactions
192 Replies
6K Views
Iranian woman strips clothes in protest after being assaulted for improperly wearing hijab - report University officials claimed that the woman was suffering from "severe mental pressure...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Chaguzi zote za Marekani hufanyika jumanne ya kwanza ya mwezi November baada ya sikukuu ya watakatifu wote, what the secret behind?
0 Reactions
4 Replies
416 Views
Baada ya shambulizi la Israel dhidi ya Iran kuzuiliwa na mifumo ya anga ya Iran inaoneka wafuasi wa taifa teule wa humu JF hawaamini ndo maana kila dakika wanaanzisha nyuzi za kujifariji. Mara...
15 Reactions
78 Replies
3K Views
Israel inapata kiburi cha kuua watoto na wanawake kwa misaada ya magharibi. Bila hivyo isingelithubutu,… Msikiliza professor huyu akisema Iran ilikuwa imetengeneza silaha hizo kujihami na ubeberu...
3 Reactions
7 Replies
520 Views
asili ya mgogoro huu siyo dini bali ni ardhi. Wanagombania ardhi ya kuiita nyumbani, hawagombanii dini. Israel ni nchi moja inayokaliwa na watu ambao hawajakubaliana kuishi pamoja, wayahudi na...
43 Reactions
199 Replies
23K Views
kama unakumbuka zile ngumi za zamani za utoto wetu unaanza kwa kuputa mchanga, kuchora mstali na kujipanga kunyukana . leo hii Iran na wapambe wake wameputa mchanga kupigana na na Israel. Basi...
2 Reactions
0 Replies
312 Views
Amini au usiamini, kuna kila dalili kuwa huenda makundi ya wanawake, waarabu, waislamu na wahamiaji wanaelekea kumpa Kamala Harris urais wa USA kirahisi kabisa. H Haya ndio maoni ya wachambuzi...
0 Reactions
9 Replies
718 Views
Israeli ilifanya mashambulizi makubwa dhidi ya Iran Jumamosi asubuhi, kama sehemu ya kisasi chake dhidi ya shambulio la kombora kutoka Tehran mapema mwezi huu. Shambulizi hilo kutoka kwa Iran...
20 Reactions
748 Replies
33K Views
Habari wakuu. Kuelekea uchaguzi wa Marekani kuna kitu nimejaribu kuwaza, Sote tunazijua sera za Trump sio mtu wa kupenda mavurugu vurugu ndito maana hata uchaguzi uliopita alishinda ile deep...
0 Reactions
0 Replies
321 Views
Wanaukumbi. Bunge la Marekani limepitisha kitendo ambacho kinapiga marufuku kabisa kuongea na kupinga Israel. Hata ukihubiri sehemu za biblia zinazosema wazi siku ambazo Wayahudi walimuua Kristo...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Msemaji ofisi ya Waziri Mkuu Israel na Maofisa wanne Jeshi la Israel wamekamatwa kwa tuhuma za kuvujisha nyaraka za siri kutoka ofisi ya Waziri Mkuu Wadau hamjamboni nyote? Jisomeeni wenyewe...
2 Reactions
1 Replies
565 Views
Magaidi wa Hezbollah Wameamua kukimbia na kuyaacha maeneo yao baada ya kupata ki pigo kikali kutoka majeshi ya Israel. Huko Lebanon kusini. Kitendo hicho cha Israel kimesababisha kilio huko...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Msemaji wa Jeshi la Yemeni maarufu kama Houthis brigadier Jenerali Yahaya Saree, amesema kuwa Wanazo taarifa za kiintelijensia kuwa Serikali ya kigaidi ya Israel imeanza kufanya ujanja wa kuuza...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Video ya Hayati Anwar Sadat anasema Siwezi kamwe kuhatarisha hatima ya Egypt kwa sababu ya tabia yao ya kitoto. Anawalaumu viongozi wa Palestina kwa kukutaaa makubaliano ya Camp David. Anasema...
19 Reactions
65 Replies
3K Views
Anafurahi tu anavyogonga mbele na nyuma kwa magaidi. Amekaa tu anapiga stories na washkaji kitaa. Wanampa tano na kupiga naye stories jinsi anavyo fanya micharazo.
17 Reactions
63 Replies
3K Views
Habari ndio hio Al Hourh wa Yemen wamepeleka majeshi yao Al Hudaida bada ya kusikia fununu Saud Arabia. UAE. USA na Israel wamejipanga kuishambulia Al Hudaida. Saud Arabia kisha jiandaa na ground...
20 Reactions
175 Replies
6K Views
Kipindi ninekuwa najaribu kufuatilia hiki kikatuni cha Simpsons huwa kinalenga mambo gani. Juzi kati hapo nikakutana na scene mpeperusha bendera wa Biden akiwa white house akitoa hotuba na...
5 Reactions
14 Replies
960 Views
Watu wengi wanauliza mchango wa kobaz wakijumlisha watu wa mashariki ya kati katika mchango wa teknolojia duniani. Nawaletea makala kuhusu mchango wa Iran katika maendeleo ya teknolojia duniani...
9 Reactions
79 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Naomba wenye weledi mkubwa wa historia mtujuze. Niwatakie usiku mwema
3 Reactions
135 Replies
5K Views
Back
Top Bottom