Waafrika wanaoishabikia urusi hudai kuwa haikuwa kuwa na makoloni afrika kama mabeberu. Wasichojua ni kwamba urusi ilikuwa na makoloni makubwa sana huko Asia na bado inayamiliki hadi leo pamoja na...
| Jamhuri ya Nicaragua, Republic of Nicaragua au República de Nicaragua ni taifa linalopatikana Amerika ya Kaskazini. Nicaragua yenye ukubwa wa 129,494 Square Kilometers sawa na 49,998 Square...
Israel is now China's second-largest foreign supplier of arms after Russia with China having purchased a wide array of military equipment and technology, including communications satellites China...
Mara baada ya madhara kutokea huko Israel kufuatia mashambulizi ya makombora kutoka Iran,wataalamu wa makombora kutoka magharibi wanatoa sababu mbalimbali.
Miongoni mwa sababu hizo ni kutumika...
USA ni habari Nyingine.
Uchumi wa California tu unakaribiana na nchi tajiri ya Japan
Hilo ni Jimbo moja tu katika majimbo 50
Ni haki Marekani kutawala dunia
Waokoaji nchini Uhispania wanapambana kufikia maeneo ambayo bado yamekatwa kutokana na mvua kubwa wakati idadi ya vifo kutokana na mafuriko ya janga ikiongezeka hadi 205 katika janga baya zaidi la...
Iran imetangaza jioni hii kuanzia tarehe 4 saa 8 mchana Anga lake litafungwa Hadi tarehe 6 November saa 12.30 jioni.
Vyombo vya habari vya kimataifa vinasema tayari mambo yameiva ni wazi Iran...
Wadau hamjamboni nyote?
IDF yaua Kamanda mwingine mwandamizi wa Hezbollah aendaye kwa jina la Jafar Qasir.
Aliongoza kitengo maalumu almaarufu unit 4,400 kilichopewa jukumu la kusafirisha...
News alert Ibrahim Qubaisi kamanda Mkuu idara ya urushaji maroketi na makombora wa Hezbollah auawa jioni hii na ndege za IDF
Mamlaka za Lebanon zinasema watu 6 wameuawa na 15 kujeruhiwa katika...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Mungu ibariki nyumba ya Yakobo
October 23, 2024
IDF: Prominent member of Hezbollah drone unit killed in airstrike
By Emanuel...
Jeshi la Israel limesema Jumanne hii limeanza operesheni za ardhini kusini-magharibi mwa Lebanon, likipanua uvamizi wake hadi eneo jipya ikiwa ni mwaka mmoja tangu IDF na Hizbollah waanzishe...
Explosions after an Israeli airstrike that reportedly targeted ‘Hezbollah weapons depot’ in Lebanon
An Israeli strike on Monday evening targeted a Hezbollah arms depot in Lebanon's eastern Bekaa...
Mji mkuu wa Israel Jerusalem una maajabu mengi.
Neno Jerusalem lina maana (misingi ya amani)
1) Uko katikati ya dunia.
2) Umezungukwa na milima
3) Manabii wote walifia Jerusalem
4) Yesu...
HALIJAWAI KUWAPO TAIFA LINALOITWA PALESTINA! NI HAKI YA WA ISRAEL KUKOMBOA ARDHI YAO! Kama hujapita shule au kufuatilia historia huwezi Jua haya
1. Kabla ya Taifa Kuundwa Upya na kuitwa Israel...
Wanajeshi 30 wa Israel WAMEUWAWA leo Huko Lebanon kufuatia shambulizi la kushtukiza yaani ambush lililofanywa na Hezbollah,
Hezbollah waliwavamia wanajeshi wa Israel ghafla na kuanza mashambulizi...
IRAN inakwenda kufuta laana ya Ushoga wa taifa la ISRAEL
Operesheni True Promise 3 inakuja Safari hii wazayuni wakimbie nchi tu maana Iran inaenda kufanya jambo zito
Hawa Wairan ni vichaa ile...
Hii clip tazama Israel Netanyahu anajaribu kila njia kuwaingiza wamarekani kwenye vita kuipiga Iran, kama alivyofanya kwa Iraq,
Huyu jamaa anapenda kuona umwagaji wa damu. Hapendi Amani...
Habari ndiyo hiyo kwa sasa, Iran pamoja na axis of resistance aka muqawama watamjibu Israel kwenye operesheni promise 3
Safari hii achomoki mtu
[emoji298]️BREAKING
The entire Axis of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.